Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

msanii wa bongofleva Qchief a.k.a 'Asali' amekuwa akienda kupiga show nyingi sana uko Mombasa na mara zote amekuwa akiongozana na promota wake Pedeshee Chief Kiumbe...kwa wadau waliowai kufika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Akichezesha taya na mwananchi wa kawaida(castro dickson) wa claus tv,oten aliweka wazi biashara inayomuweka mjini kwa sasa tofauti na muziki. Nawasilisha.
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Nipo naangalia program yao kupitia TBC,yaonekana wamechoka.Hata kipindi cha leo,just imagin mambo ya jairo na igunga ya mwezi wa kumi mwaka jana.IVI KWA NINI WALIMTUKANA MAMBA HALI HAWAJAVUKA...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Katika siku za karibuni katika tasnia ya muziki wa bongo zimeibuka bifu nyingi hasa kwa wasanii wa HIP HOP TANZANIA mfano: Roma/izo B chid beenz/Afande sele soggy/afande sele kikosi cha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Mrs. Majani, malkia wa Bongo Records na sasa Bongo Movie actress Kajala Masanja, mapema leo amechukuliwa na kufungwa Segerea kufuatia mashitaka ya ufujaji wa pesa za umma...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Yaonekana mwanadafada Wema siku hizi baada ya kuachana na almasi a.k.a diamond amekuwa wa kujiachia na kufanya matanuz amabyo duuuuhhhhhhh!!!!!! amekuwa mtu wa shoppings hapa home, na sasa yuko...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
A Death by Skin Cancer? The Bob Marley Story Dr Cleland Gooding MD., F.A.A.D., a physician with a specialty in Skin Diseases employed by the Bahamas Government, has...
2 Reactions
7 Replies
16K Views
The Kenyan government has been urged to implement the laws on sex tourism. Truth, Justice and Reconciliation Commission acting chair Tecla Namachanja said lax laws are to blame for sexual...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wenye wajukuu kama Baba_Enock na walikuwa wapenzi wa Mpira wa Kikapu nadhani mtakuwa mnamkumbuka sana Rodman aka "BadBoy"... Inasemekana hali yake ya kifedha si njema sana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WaKATI NCHI IKO Kwenye janga kubwa la afya kuwahi kutokea, na wengi wakitaharuki baada ya kusoma matokeo ya kidato cha nne...huko kwenye burudani yanayojiri ni haya...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Mimi binafsi nisikiapo sauti ya kiongozi wa nchi Redioni au kwenye luninga roho hunidunda najua kuna kitu muhimu nakuja kusikia Sasa hawa wa jamaa clouds naona kama wanaitumia vibaya sauti ya Mkuu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Yani na kelele zao zote hapa mjini ni asilimia 20 tu ndo wana miliki magari yenye thamani zaidi ya milioni kumi na tano. Wengine wote ni chini ya hapo. Alafu makelele kila kukicha..kwenye...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Sikatai kila mtu ana haki ya kuamua kitu lakini nimekuwa nikijiuliza kaka yetu sunzu ataacha lini kujichubua na hili linamfanya hata alipoumia kwa kweli upande wa kushoto ukiangalia namkumbuka...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
huyu padri alikua ni mwalimu wangu pale Visiga enzi izo.....hongera padri kwa katoto! h Skendo ya ngono inaitikisa Kanisa la Katoliki, Parokia ya Mburahati lililopo wilayani Kinondoni jijini...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Yani na kelele zao zote hapa mjini ni asilimia 20 tu ndo wana miliki magari yenye thamani zaidi ya milioni kumi na tano. Wengine wote ni chini ya hapo. Alafu makelele kila kukicha..kwenye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
eti mbna orinjino komedi atuwasiki cku hz?nan ana habar zao?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Omotola and husand celebrate 16 years of marriage The star actress wed her pilot husband Mathew Ekeinde exactly today (March 23 1996) 16 years ago at the Ikeja registry. Their white wedding held...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo katika kipindi cha SUPER MIX EAST AFRICA RADIO,alikuwepo seleman msindi AFANDE SELE amezungumza mambo mengi tena kwa uchungu kwa mfano amesema kuwa harakati za kupinga virus wa huu mziki...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Upo poa sana ndio nasikiliza interview yake na Michael Baruti na Zembwela. Nawasilisha.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…