Afande Sele atoa wimbo: Mr President | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande Sele atoa wimbo: Mr President

Discussion in 'Celebrities Forum' started by King Kong III, Mar 23, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Upo poa sana ndio nasikiliza interview yake na Michael Baruti na Zembwela.

  Nawasilisha.
   
 2. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nitaupateje?niliusikia kwa ufupi ila umenibariki
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kaimba nini humo ndani...nimemsikia mchana anawaponda wabana pua
   
 4. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  anakosea kuwaponda watu ambao nyimbo zao ndo zinabamba!
   
 5. N

  N series Senior Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sele namkubali ila sometimes anakosea sana, sasa anamponda J Makini anategemea nini???????
  napata shaka kama ile darubini kali alitunga yeye, kwani kusema 'wachukua tuzo wanavuja kama fistula' ye katafsiri vipi???
  kwa tafsiri yangu mi nadhani makini alimaanisha kuna watu wanapewa tuzo ila hawstahili ndo maana baada ya siku tatu, nne hawako tena kwenye vyombo vya habari na wameshapoteza mwelekeo, thats it, wacheki akina j4 iddi walopewa hadi gari,wako wapi sasa???????
  kiupande flani mnyama leo dizain hivi kachemka ila namkubali sana
   
 6. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  yupo chanal 5 ana mdiss chidi benz na tanesco wanachua umeme wao naomba update please
   
 7. Jayonepey

  Jayonepey JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 320
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Anatafuta umaarufu tu, bangi tupu
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  bangi nyingi
   
 9. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Yeye ambaye anajiona poa,nini kilimsababisha enzi hizo akavua suruali jukwaani?
   
 10. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ah! Hemed PHD!!!! lazima uibuke wabana pua wakitajwa!
   
Loading...