Clouds iheshimu sauti ya JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clouds iheshimu sauti ya JK

Discussion in 'Celebrities Forum' started by bob nasta, Mar 24, 2012.

 1. b

  bob nasta Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Mimi binafsi nisikiapo sauti ya kiongozi wa nchi Redioni au kwenye luninga roho hunidunda najua kuna kitu muhimu nakuja kusikia Sasa hawa wa jamaa clouds naona kama wanaitumia vibaya sauti ya Mkuu wa kaya kila mara DUNIA YAKO CHAGUO LAKO yani naona wanamfananisha RAIS wachekeshaji JAMANI SAUTI RAIS INA THAMANI au wenzangu mnaonaje
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  walianza kwenye wimbo wa taifa....wapuuzi sana hawa...hata hivyo mwenyewe baba mwanaasha ndo anapendaga hayo mambo...
   
 3. T

  TUMY JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sioni kosa la Clouds Fm kutumia sauti ya rais, wao kama clouds sauti hiyo hawajai foji ikiwa na maana Rais aliridhia kuwepo katika tangazo hilo labda kwa lengo la kuongeza hamasa kwa wananchi. Na pia hata wewe mwenyewe ukiamua kuchukua sehemu ya mahojiano ya rais ukayafanya kuwa ring tone kwenye simu yako hakuna atakaye kushtaki as long as haujaongeza wala kupunguza neno.
   
 4. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  lincolin mwenyewe maneno yake ya miaka zaidi ya arobain iliyopita
  Yanarudiwa na media nyingi tu hapa u.s
  Ww ndio unajifanya unajua sana kuhusu itifaki..
  Rudi darasani...
   
 5. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  bado kidogo watamwimbisha taarabu....
   
 6. S

  Shelisheli Senior Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mwenyewe akiisikia anafurahia, wewe unalalamika lol!
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  i see ......watu wa aina yako wakisikia wimbo wa taifa redioni watasimama..... Haijalishi uko wapi....

  Unadhani redio mawingu wameweka hiyo sauti bila ridhaa yake?
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye RED ndio wapi mkuu ni USA river?.......maana nitashanga kama ni Obamaland halafu wewe ndio unaongoza kwa kupost udaku wa Dar es salaam humu!!
   
 9. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  do you know the meaning of world wide web?
   
 10. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,525
  Likes Received: 5,671
  Trophy Points: 280
  Kwani alishikiwa bastola kurekodi sauti yake?
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  World wide web ya kuripoti mtu amefungwa miaka saba wakati kesi yake hata tarehe ya hukumu bado?
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  ametaka mwenyewe.
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  wewe inakuuma nini?
   
 14. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Husiniambie!!!!!!!!!!!!!! Makubwa.
   
 15. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  rais wetu mtu wa mwambao....... vikolombwezo kama hivyo ndio anapenda mmesahau mambo yake ya ukitaka kula lazima uliwe
   
 16. c

  calvingyan Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama alitaka kusikia sauti yakke angeenda redio ya taifa huko....hate it...
   
 17. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Huyo ndo msela wa zamani wa kile kijiwe chao maaruf cha Saigon kariakoo,ukitaka kuona vizuri angalia kwenye TV ya clouds angalia tishert alovaa wakati wa tangazo hilo ndo ytaamini!juzi Pinda kifua chake kiligeuzwa bango la matangazo ya Vodacom,mijitu ya protocal akili zimeishia kwenye perdiem na unafki!
   
Loading...