Mastaa wa bongo(movie na muziki) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mastaa wa bongo(movie na muziki)

Discussion in 'Celebrities Forum' started by supermario, Mar 27, 2012.

 1. s

  supermario Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani na kelele zao zote hapa mjini ni asilimia 20 tu ndo wana miliki magari yenye thamani zaidi ya milioni kumi na tano. Wengine wote ni chini ya hapo. Alafu makelele kila kukicha..kwenye magazeti,redioni na tv!
  kazi kuvaa vitu feki na kujigamba. Look at kenya n uganda. People are serious with their music and acting cause thats their work and they value.
  I really appreciate someone who talks and his words are supported by his actions! Non of our so called celebs here in Tzd own a house or if there is its not above 10% of them. So why the talk talk? borrowing money n nguo to look good on videos and movies while your own nothing is a shame.
  I live close to a musician who thinks is on top of his game when hes behind the radio na kuongea na kucheka kama yeye ni supasta wa juu kumbe anakoishi na ndugu zake walio kuja kutoka nao mkoani ni kwa kushangaza..jamaa alibidi hadi ampeleke demu kwa msela anayeishi jirani na kwake kwa madai ndipo anapoishi.
  Tembelea blog ya millard ayo ujionee wanavyo tabasamu ndani ya opa!
  These guys need to be told the truth rather than kucheka nao na kusoma habari zao za ovyo kila siku. Hawaoni kina bebe cool na wenzao..tutabakia nyuma milele!
  Millard Ayo
   
 2. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  tumekubali sawa wanamiliki magari, awaulize je? na nyumba wamejenga? ama ikifika usiku wanalala ndani ya magari?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  " Taswira ndani ya mboni wasanii kumiliki magari(yale aliyozungumzia fid#) nyumba za kulala hatuzioni,mtangazaji bila mkwanja uitia nyimbo kapuni,wadau wa mziki wananeemeka wasanii tuna hali duni mdosi ananiambia toka nigonge kopi mia hajauza hata kumi"---Inspector Haroun Babuu Triple 5.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  "Magazeti yanauza kwa skendo za wasanii,machinga wanauza kopi cosota wamekula jii,shabiki ana burn nyimbo na shoo anaingia free"---Roma ehhee Tanga is mine.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  "Jasho la mc ndio maziwa ya mdosi ,sasa tunageuza sumu hautaki kunywa tunaforce,mkwanja mbuzi mnaotulipa hautoshi kununua mavazi,vp malazi?? Mnataka tuwe wote majambazi,john mjema kajiua kisa nyinyi ndio source"---Solo Thang Ulamaa wa mbagara
   
 6. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wenyewe walishaimba Bongo fleva is all about MISOSI, MITUNGI na PAMBA .....usikute hata starlet zao ni za kugongea kwa washkaji.
   
Loading...