Felix sunzu kujichubua uso anatufundisha nini watoto wetu wanaokimbilia mpira wa miguu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Felix sunzu kujichubua uso anatufundisha nini watoto wetu wanaokimbilia mpira wa miguu!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by BASIASI, Mar 26, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Sikatai kila mtu ana haki ya kuamua kitu lakini nimekuwa nikijiuliza kaka yetu sunzu ataacha lini
  kujichubua na hili linamfanya hata alipoumia kwa kweli upande wa kushoto ukiangalia namkumbuka
  dada yengu mmoja pale sinza mori alivyojichubua dawa ikamgonga kawa wa kijani nusu uso

  so naamini walio karibu watampa mwelekeo hasa kipindi hiki cha joto dawa zinaweza kumharibu na tukampoteza mchezaji wetu mahiri
   
 2. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yeye ni mtu mzima,anajua anachofanya!Wale wote wanaoiga mambo mabaya kutoka kwa watu wengine hao ni masikini wa kufikiri!
   
 3. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mtu mzima awezakuwa hovyo bado. Kama Mungu kakuumba mweusi au weupe nini mantiki ya kumkosoa?Huenda ana ugonjwa ambao huwafanya baadhi ya wanaume kuwa na hisia za kike hukuna baadhi ya wanawake kuwa na hisia za kiume. Tunao tomboys wengi tu dunianiukiachia mbali homosexuals japo sitaki kufanya hitimisho kati ya haya. Kila palipo na tomboys sharti wawepo tomgirls.

   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Vipi wanaosuka?
   
 5. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Kwa Wanaume,Wanaojichubua,Wanaosuka(Isipokuwa wale Rasta),Wanaovaa Hereni,Tamaa za Pesa kirahisi bila kufanya kazi,bila shaka
  1.Walishawahi kuwa MASHOGA au Ndio Wanauanza
  2.Maisha yao huwa mafupi sana
  3.Wanamuwasho fulani hv Sehemu za nyuma
  4.Watakuja KUGEUZWA.
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,386
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unamaanisha hata Ndugu Mgombea Ubunge a.k.a Mungiki anahusika hapo??
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kama umeshindwa kufundisha watoto wako maadili nyumbani usitegemee kufundishwa na mtu mwingine........

  kama umewalea vyema watoto home, wala hawatahangaika na mikorogo na tabia zote za kifedhuli watakazozion....
   
 8. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Tuwekee tumwone.....
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kama umeshindwa kumfundisha mwanao kwako nyumbani atafunzwa na ulimwengu.
   
 11. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kah.......!!!!!
   
 12. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Alishawahi kukaa Lubumbashi DRC so inawezeka aliiga hayo mambo huko(maana wazambia hawana hiyo tabia).Kule ni kawaida tu wanaume kujichubua. God forbid Samatta asiingie kwenye tabia hii
   
 13. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,485
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Watoto walishaanza kuharibika hata kabla ya ujio wa Sunzu, wapo wengi tu ambao walianza kuvaa heleni (siwataji),...................FS asiwe mbuzi wa kafara
   
Loading...