Mastaa wa bongo(movie na muziki) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mastaa wa bongo(movie na muziki)

Discussion in 'Celebrities Forum' started by supermario, Mar 27, 2012.

 1. s

  supermario Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani na kelele zao zote hapa mjini ni asilimia 20 tu ndo wana miliki magari yenye thamani zaidi ya milioni kumi na tano. Wengine wote ni chini ya hapo. Alafu makelele kila kukicha..kwenye magazeti,redioni na tv!
  kazi kuvaa vitu feki na kujigamba. Look at kenya n uganda. People are serious with their music and acting cause thats their work and they value.
  I really appreciate someone who talks and his words are supported by his actions! Non of our so called celebs here in Tzd own a house or if there is its not above 10% of them. So why the talk talk? borrowing money n nguo to look good on videos and movies while your own nothing is a shame.
  I live close to a musician who thinks is on top of his game when hes behind the radio na kuongea na kucheka kama yeye ni supasta wa juu kumbe anakoishi na ndugu zake walio kuja kutoka nao mkoani ni kwa kushangaza..jamaa alibidi hadi ampeleke demu kwa msela anayeishi jirani na kwake kwa madai ndipo anapoishi.
  Tembelea blog ya millard ayo ujionee wanavyo tabasamu ndani ya opa!
  These guys need to be told the truth rather than kucheka nao na kusoma habari zao za ovyo kila siku. Hawaoni kina bebe cool na wenzao..tutabakia nyuma milele!
  Millard Ayo
   
 2. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  ukweli mtupu huo..
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kumbe nimaoni ya yule mbana pua miadi ya miayo..
   
 4. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  Hii kitu ni kweli,namjua memba wa kundi la zamani la hiphop,walikua watatu,mmoja ndo bado aantesa,wenzie wamefulia,tena mmoja ni teja hawa jamaa hawalipwi kama inavostahili kwa sababu ya kukosa ufahamu kuhusu sheria,sheria zipo lkn hawazijui,mfano leo ukitaka ufungue kampuni,kuna sheria lazima uzijue,la sivyo itakula kwako,sasa hawa jamaa hawana muda na hayo mambo,wao wanaangalia the bigger picture kwamba akiimba atapata madem na pesa,lakini hajui atazipata vipi,ndo hapo wahindi wanawaibia,kalaghabhaho
   
 5. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,536
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  hii kweli mkuu leo nimekutana na insipekta haron anakatiza mitaa ya msimbazi kama sio star wa bongo..sijui tatizo nini labda udhaifu wa serikari.
   
 6. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Yaah the need to be told the truth.
  But as for most of Tanzanians, if you tell them the truth, they will call you a hater!!!
  Hatupendi kuambiwa uweli ndio maana tumezidi na tunabaki kuwa wajinga!
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Friday, February 11th 2011
  Jose Chameleon gets BMW and 80m from Meddie by 1544c Ssejjombwe. 256 782233273


  [h=2]Celebrities and their Rides: Jose Chameleone[/h]
  [​IMG]
  [​IMG][​IMG]
   
 8. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  wewe una gari gani??
  Niambie kazi yako mjini hapa ni nini??then nitaweka gari la mtu anayefanya kazi kama yako wa nje tulinganishe
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Unaposema mjini hapa unamaanisha wapi!!??.....
   
 10. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  hujaelewa nini??
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Jibu swali then uliza swali.
   
 12. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mjini ni Bongo Dar es Salaam.
   
Loading...