Orijino komedy wameishiwa

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,627
Nipo naangalia program yao kupitia TBC,yaonekana wamechoka.Hata kipindi cha leo,just imagin mambo ya jairo na igunga ya mwezi wa kumi mwaka jana.IVI KWA NINI WALIMTUKANA MAMBA HALI HAWAJAVUKA MTO?mean Mengi.maana naskia wamebaniwa mkataba na TV iyo bomu..nijazieni nijue
 
Nao huwa wanaigiza siasa mpenzi,na pia wanatumika na magamba majukwaani
 
Nadhani walioishiwa ni TBC 1 na sio OK. Habari zilizoko mjini ni kuwa mkataba umeisha kati ya OK na TBC na wako busy wanatafuta chaka lingine. Huku nyuma TBC wanajikuta wanagonga marudio tu hata ya enzi za Igunga.

Wapenzi wa hii Tv mtamkumbuka sana Tido Mhando kwani mazuri yote aliyofanya yameshindwa kuendelezwa. Hata kuonyesha mpira wanapigwa bao na Tv ya mtaani iitwayo CLOUDS TV ambao walionyesha mechi za Simba na Yanga za kimataifa kwa kutumia KAMERA ZA SIMU bila hata replay or side views...
 
mod unaweza ukahamishia hii kwenye chit chat au celebrities? hapa jukwaa la siasa inatuchafulia venue
 
Hivi hakunaga jukwaa la Comedy? Kama hakuna hapa ni mahala pake kwakuwa inacomedia siasa za bongo.
 
Dhambi ya kuwapigia debe magamba ndio inawahukumu sasa!walikua hawataki kusoma alama za nyakati,watakimbilia station gani?tbc choka wao wenyewe orijino komedi choka!!labda wakimbilie station nyingine ya magamba yaani clouds tv!
 
Nadhani zekomedi ni CDM, ni njaa tu iliwafanya wapigie debe magamba.cheki salam anayoanza nayo masanja, PIPOOOOOOOOOZ?
 
So everything has become political in Tanzania?

Tanzania is a Sovereign state, under leadership of a Politician. The Constitution of this country was implemented by the politicians. This means that everything is so political. If you have any idea plse get in touch Sweety!
 
Nipo naangalia program yao kupitia TBC,yaonekana wamechoka.Hata kipindi cha leo,just imagin mambo ya jairo na igunga ya mwezi wa kumi mwaka jana.IVI KWA NINI WALIMTUKANA MAMBA HALI HAWAJAVUKA MTO?mean Mengi.maana naskia wamebaniwa mkataba na TV iyo bomu..nijazieni nijue

Ha ha haaaa wameirusha hiyo ya Igunga ili~kuremba ile ya East Arumeru.
 
Waberoya,heshima yako mkuu

mkuu chuki zetu kwa ccm zinapitiliza mpaka tunakulana wenyewe

comedian kuchuja ni kitu cha kawaida sana, hata wangekuwa huko walikokuwa ingetokea tu hv hv kina bambo wako wapi, kwani waligombana na nani

dhana ya pili ni ujinga kutokusema ukweli au kutodai haki yako, eti kwa sababu kuna siku unaweza kwenda kumpigia magoti aliyekudhulumu au uliyemdai...

hii dhana ndio tunatawaliwa nayo makanisani na msikitini, ukimweleza ukweli mkuu wa dini eti utalaaniwa!! ccm Wanasema eti wao wakiondoka madarakani CDM haitaweza kuongoza au nchi itakuwa na vita!!!

Original comedy kama walifanyiwa zengwe uko EATV na walikosoa au walipinga udhulumaji huo ilikuwa sahihi...kinachowatokea wao sasa is just a life!!

nani anayeijua kesho!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom