Rick ross kutua tanzania a.k.a bongo tarehe 6 oktoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rick ross kutua tanzania a.k.a bongo tarehe 6 oktoba

Discussion in 'Celebrities Forum' started by NEW NOEL, Sep 27, 2012.

 1. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  omarion1.png
  Rick ross wa pili kutoka kulia akiwa na kundi lake la MayBach Music Group

  Rapper bilionea kutoka USA William Robert a.k.a Rick Ross anatarajia kupiga show nchini Tanzania tarehe 6 mwezi oktoba. Rapper huyo ambae album yake aliyoachia tarehe 31 july imefanikiwa kushika namba moja katika chati za muziki zenye kuheshimika za Billiboard. Ni miongoni mwa wasanii wa marekani wenye kutajwa kuwa na mafanikio katika upande wa muziki na biashara. Rick Ross anamiliki kampuni ya muziki ya Maybach Music Group ambayo inamkataba na Kampuni ya Warner Bross Music Group ambao Roza aliwahi kueleza wakati fulani kuwa ni mkataba wenye thamani ya dola za marekani milioni 25. Huku akiwa ndio CEO wa MayBach Music Group ambayo inasimamia wasanii maarufu akiwemo Meek Mill,Wale,French Montana,Rockie Fresh na wengine kibao.
  Pia Rick Ross ana miliki mgahawa wa Boss Wings ambayo ni sehemu ya migahawa maarufu duniani ya Wing Stop. Wakati huo huo akiwa na mikataba kibao ikiwemo na kampuni ya Reebok,Ciroc vodka na kadhalika.
  Katika jarida la forbes mwaka huu alitajwa kama miongoni mwa wasanii 20 waliotengeneza pesa nyingi kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu.
  Zaidi tembelea POPOTE TZ: RICK ROSS KUTUA TANZANIA A.K.A BONGO TAREHE 6 OKTOBA
   
 2. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  angalia maelezo yooote utagundua HAKUNA MUZIKI unaozungumziwa, ambacho ndicho kinachomleta Bongo.
  Unless anakuja kufungua studio au label, our youth are like brainless or something
   
 3. k

  kinubi Senior Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Hata kwenye jingles zake hakuna mahali anataja fiesta!!!
   
Loading...