Aunt Ezekiel utamu nje nje!

mwakajila

Senior Member
Apr 2, 2012
188
29
Kioo cha jamii kikionyesha taswira yake halisi...

Picha kwa hisani ya Shigongo (Global Publishers)

attachment.php
 
Bongo Movie ni kituo cha Makahaba
Sio wote bwana, kuna ambao wanabehave sana tu
ila nyie mnayapenda haya na mnayapa promo sana
Hata wale walio tulia inabidi waanzishe vituko kwanza
ndio watajwe na waalikwe kwenye local media. sasa?
BTP: Ila aunty ezekieli ana rangi nzuri mashallah...
 
Si mmuache? Hayo ni maisha yake na hayawahusu. Mi naona atajijua yeye na sio sisi.
 
Si mmuache? Hayo ni maisha yake na hayawahusu. Mi naona atajijua yeye na sio sisi.

Mkuu kama una familia ya watoto wadogo ndo utajua kama inakuhusu.. Hawa waigizaji wa bongo wamekuwa ni favourite wa watoto.. So ninapoona mwanangu anasema anataka kuwa mwigizaji kama Anti Ezekiel unajua ninajicikiaje..? Ninapoona picha kama hizi ndo ninajua kwamba ujuha wake wanihusu mie sana.. Maana yeye ni kioo cha mwanangu japo ninajitahidi sana kumuondoa mwanangu kwenye akili hizo.. So Mkuu in 1 way or another inatuhusu sana..
 
Huko nyuma kwa Anti - Ezekiel hakufai..... maji maji tu.... watu washakula wamemwacha na shimo kubwa na anasogeza siku kuuza uza apate vijisent....
 
Aah mi nilishapiga marufuku movie za kibongo kwangu,japo nina uzalendo lakini maadili lazima yazingatiwe,sizitaki kwangu!!
 
wakuu wanafunzi wetu ambao ni watoto wetu tujitahidi sana kuwahandle kielimu na pia kimaadil,maana wakiweza kujitambua wataepukana na haya ya kudhalilishwa!
 
Mkuu kama una familia ya watoto wadogo ndo utajua kama inakuhusu.. Hawa waigizaji wa bongo wamekuwa ni favourite wa watoto.. So ninapoona mwanangu anasema anataka kuwa mwigizaji kama Anti Ezekiel unajua ninajicikiaje..? Ninapoona picha kama hizi ndo ninajua kwamba ujuha wake wanihusu mie sana.. Maana yeye ni kioo cha mwanangu japo ninajitahidi sana kumuondoa mwanangu kwenye akili hizo.. So Mkuu in 1 way or another inatuhusu sana..

Kweli inatuhusu, sasa kama huyo msanii hataki kubadilika tumuue? Au tumtenge?

Kwanza sio vizuri kwa watoto kufundishwa kuwa kama mtu fulani ila ni vyema kumuandaa mtoto kutengeneza unique positive attitudes na personality yake na sio kuiga stars.
 
Mkuu unaweza kujitahidi kumfundisha mtoto na kumuandaa na kwa hizo positive attitudes.. but bado mazingira yanayomzunguka mtoto yana nafaci kubwa katika maisha ya mtoto.. Mazingira hayo ni pamoja na nyimbo pamoja na tamthilia.. filamu na michezo.. Jamii ambayo ambayo haijaharibika kimaadili suala la Aunt Ezekiel lingekuwa ni la bahati mbaya na licingejirudia.. But lazima tukubali jamii yetu imeharibika kiaci suala la Aunt Ezekiel linaonekana ni la kawaida.. Na kwa sababu anaruhuciwa kuendelea kuigiza kwenye mikanda yao.. ataendelea kuwa "a role model" wa mtoto.. Na kwa vile mtoto ataona wakubwa wakipingana kuhuciana na tabia ya Aunt Ezekiel ataamini anachofanya ni sahihi.. Only ukiwa mtoto ndo huruciwi kufanya hayo.. (akili ya watoto hiyo)..
 
Back
Top Bottom