Msaada kuhusu elimu za hawa ma_Celebrity

jokate nilikuwaga napishana naye nkurumah kwenye lecture au c tunatoka wenyewe wanaingia au vs, then tuliwahi kuishi naye hall 4 japo rooms tofauti. sasa cjui alikuwa faculty gani vile? huyo wema hata cjui.
 
Wema la nne b na jokate st mathew mbagala a level na LEMA na Maria
 
jocate alikuwa UDSM akisoma political science and Philosophy, huyo mwingine cjui mara tunasikia kaenda kusoma malaysia na kufeli
 
Back
Top Bottom