Mwenye namba ya Banza Stone!.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye namba ya Banza Stone!..

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Nyakwec's Bro, Sep 18, 2012.

 1. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Jana nilisikia habari zilizonisikitisha sana kuhusu mwimbaji anayenivutia sana katika kazi zake Mwalimu wa Walimu Banza

  Stone kwamba alikiri katika radio hiyo amekata tamaa ya maisha na sasa anatunga nyimbo ambazo ikitokea akifa basi

  zitabaki kumbukumbu ya sisi mashabiki wake.

  Kwakweli nilisikitishwa sana,ninahitaji kuonana na huyu msanii niongee naye kuweza kumpa matumaini mapya.
   
 2. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  kufulia kubaya sana,eti ameota anakaribia kufa
   
 3. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Anahali mbaya sana huyu bro lakini hayo ni maisha tu yanampa hofu,ninahitaji kuonana naye ninamatumaini ninaweza kufanya kuwa na matumaini mapya kwa neema ya Mungu!....
   
 4. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  CD4 zimeshuka tena ?

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 5. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,532
  Likes Received: 5,682
  Trophy Points: 280
  Banza anahitaji msaada wa Kiroho tu! Tumuombee afunuliwe atua sahihi za kuchukua hasa Kiroho!
   
 6. Buntungwa

  Buntungwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 343
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  kwanikakaetuhuyuanaumeme
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kwani yupo kwenye grid ya taifa?
   
 8. data

  data JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,799
  Likes Received: 6,579
  Trophy Points: 280
  njaa mbaya sana...
   
 9. l

  lasix JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  we zako mara ya mwisho kupima zilikua ngap?acha hizo au kwa sbb unaandika nyuma ya keyboard huonekani?usimsemee mwenzako usiyopenda kusemewa,na unaonekana unahitaj elimu khs stigma,hujui km wenye tatizo hili ni binadamu wenzetu nao wana hisia?grow up!
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  namba yake ni 0713341108
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Maskini! He was a good musician. Asije aka-backslide into drugs!
   
 12. M

  Mice Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namba zake ni 0713494126 na 0767494126,mtwangieni mumpe nasaha asije akajikanumba buree!!!!
   
 13. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  mara ngapi!!
   
 14. ram

  ram JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,224
  Likes Received: 918
  Trophy Points: 280
  Maskini Banza, yaani amekata tamaa kabisa, Duh I like nyimbo yake ya elimu ya mjinga na Mtu pesa
   
 15. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Maskini Makaveli pole sana, usikate tamaa maisha yanaendelea.
   
 16. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Jamaa alikua anabwia Unga utazani Nyoka!
   
 17. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kwani na ngoma anayo?... mi najua madawa ya kulevya ndiyo yalimuathiri kivile!....
   
 18. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Uko sahihi kabisa kaka hicho ndicho kitu anakosa akipata msaada wa kutosha katika jambo hili na yeye akawapokea msaada huu atatamani kuishi zaidi!....
   
 19. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Bora adui yako akuroge lakini siyo akuombee njaa,lakini pamoja na njaa lakini huyu bro ninahisi shida yake ni zaidi ya njaa!....
   
 20. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ninashukuru sana Gang Chomba ..............
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...