mchungaji amtabiria kifo" Ney wa mitego"

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,209
42,071
Mtu anayejiita mchungaji hivi karibuni amemtabiria kifo rapper Ney wa Mitego kwa kudai kuwa atafariki kwa kuchomwa na kisu au kupigwa risasi.

Ney amesema mchungaji huyo alimfuata nyumbani kwake na mpaka picha zake anazo.

“Nilimrekodi pia, alikuwa anaongea kwa confidence sana, lakini mimi sitishiki na wala siogopi, mimi namtegemea mwenyezi Mungu. Hiki ninachokifanya ni kipaji cha pekee na hawajui kwanini najiamini na siwezi kuacha kukifanya hiki,” Ney alikaririwa jana Jumamosi kwenye kipindi cha Tagz Weekly chaDTV.

Ney amesema mtu huyo alimwambia kuwa ameoneshwa na mwenyezi Mungu, kwamba yeye ni nabii na ni lazika amfikishie ujumbe huo.
“Mwanzo alifika home, aliwakuta wadogo zangu, mimi nikasema amekuja from nowhere siwezi kuongea naye, alianza kuongea na madogo, akawaambia anataka kuonana na Ney mwenyewe, nikawaambia mwambie aondoke.
Nikaona haina haja kwanini nisiongee naye, aliacha namba za simu, dogo akampigia akarudi, kurudi ndio akaongea aliyokuwa anaongea.”
”Watanzania wajue kuwa wameanza kutokea watu ambao wanatabiri kifo changu ila nawaambia mimi najua siku yangu ya kufa labda wao waendelee kufanya harakati zao ili kunifelisha na hawawezi kunifelisha, mwenyezi Mungu ndio anajua mimi nafanya nini na wapi ambapo ntaishia.”alisema ney

Ngoja tuone huu utabiri utaishia wapi maana siku hizi watabiri ni wengi, wengine wanaangalia mazingira tu unavyo ishi na watu alaf wanasema wameoteshwa. Mimi sidhani kuwa hule wimbo ndio unaweza kuzaa haya yote.
 
Kuna nyimbo yake amesema yeye ni mtoto wa LUCIFER sasa leo nashangaa anaposema anamtegemea mungu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nina wasiwasi huyo Mchungaji ni mafia,anaweza akaunda kundi la vijana akawalipa fedha wakamfanyia kitu mbaya Ney,Cha msingi Ney mkamate huyo mchungaji weka ndani...
 
Kweli kabisa anatakiwa achukue hatua!

Nina wasiwasi huyo Mchungaji ni mafia,anaweza akaunda kundi la vijana akawalipa fedha wakamfanyia kitu mbaya Ney,Cha msingi Ney mkamate huyo mchungaji weka ndani...
 
Wasanii wakiona wamekaa muda bila kuandikwa magazetini wanatafuta kituko tu almradi wapate kuandikwa,..Who is Ney bwana..
 
kila nafc itaonja mauti ishu ni time ya kusepa 2,kwan wengi twaogopa kuwahi.hata hivyo ney amekuwa akijitengenezea maadui kwa kuwadis wenzie coz hana talent,akiacha kuwaimba wenzake ataimba nini?ukizingatia ajira zenyewe hakuna, elimu finyu, so kila kijana nowdays either ni msanii wa kuimba au kuigiza.too sad sijui baada ya miaka 20 ijayo tutakuwa na taifa gani!!!!!!!
 
Km ataendelea hv nahic kua huu utabiri unawez ukatimia kwl.Yeye baad y kukomaa n game anaendekez mipasho hajui kua anajitngnezea maadui bure bila y sbb kwan ht baadh y shutuma anazowatolea wnzie nyngn zinamuhusu.Kwa mfano inshu y makahab wny vwngo ajue kua demu wk(Nisha) mwnyw n kahab mwny kiwang tena n teksi bubu y maana na ameshakutw na maskendo kbao ikiwemo ya usagaj japo anakataa kua c demu wk.Hasipobadilik Bwana anawez kutwaa kwel na km kun m2 wk w karib humu ajarib kumshauri kuwa akomae n game tena yy n mwan hiphop taarab z nn ss?.
 
Attachments

  • NISHA01.jpg
    NISHA01.jpg
    52.1 KB · Views: 735
  • NISHA02.jpg
    NISHA02.jpg
    66.7 KB · Views: 235
wasanii wakiona wamekaa muda bila kuandikwa magazetini wanatafuta kituko tu almradi wapate kuandikwa,..who is ney bwana..

ney charity begins at home hebu shughulika na huyu kwanza utakufa cku c zk.
 
Attachments

  • mchana.jpg
    mchana.jpg
    53.2 KB · Views: 180
  • NISHA001.jpg
    NISHA001.jpg
    42.5 KB · Views: 183
ila pia huyo ney apinguze kuimba pumba we mtu anasema anampenda demu wake kuliko mama yake hadharani si viroba hivyo kweli
 
Mkuu jaribu kuandika kiswahili kizuri.
Kuhusu nisha, Ney alimkana waziwazi kwenye kipindi cha hot mix, alisema hana uhusiano wa kimpenzi.

Km ataendelea hv nahic kua huu utabiri unawez ukatimia kwl.Yeye baad y kukomaa n game anaendekez mipasho hajui kua anajitngnezea maadui bure bila y sbb kwan ht baadh y shutuma anazowatolea wnzie nyngn zinamuhusu.Kwa mfano inshu y makahab wny vwngo ajue kua demu wk(Nisha) mwnyw n kahab mwny kiwang tena n teksi bubu y maana na ameshakutw na maskendo kbao ikiwemo ya usagaj japo anakataa kua c demu wk.Hasipobadilik Bwana anawez kutwaa kwel na km kun m2 wk w karib humu ajarib kumshauri kuwa akomae n game tena yy n mwan hiphop taarab z nn ss?.
 
Kweli kabisa mchungaji ka take advantage.

Back
Top Bottom