Kanumba arudi tena!!mama yake amrudisha.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanumba arudi tena!!mama yake amrudisha..

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ma2mbo, Sep 24, 2012.

 1. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Msanii wa filamu marehemu Steve Kanumba amerudi na filamu mpya inayoingia mtaani wiki hii,inaitwa 'Ndoa Yangu' ..ni filamu iliyotabili kifo chake na ipo chini ya usimamizi wa mama yake..get your copy now.

  Source:chanel10
   
 2. data

  data JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  naomba u edit hyo title ya post yako... imekaa ki shigongoshigongo
   
 3. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  mkuu itafute movie,mama kawa promota siku izi..shigongo kamtumia sana Kanumba na jina lake kupiga pesa..kufa kufaana!!
   
 4. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Hiyo title sio, jamani tuwe waungwana na tujaribu kutumia busara sio Masaburi.
   
 5. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 482
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  For promotion only!!!!!!!!!
   
Loading...