Mshiriki wa big brother the chase week hii imekuwa mbaya kwake kwani ameingia kwenye danger zone,watanzania na wana afica mashariki inabidi tumpigie kura mwenzetu ili aweze kubakia mjengoni
Wasanii wa movie apa bongo hususani wa kike wengi, wameonyesha juhudi za kutaka kumiliki kampuni zao binafsi za kutengeneza filamu.hili wazo ni zuri sana kwani inaonyesha jinsi walivyo improve...
Kati ya movie ambazo wabongo wamecheza ki umakini zaidi ni hii ya men in love ambayo inahusu mapenzi ya jinsia moja,nimependa characters na director jinsi alivyojitahidi kuchezesha character...
Mama khadija nakuhurumia kwa jinsi mlivokua mmeshibana na mumeo, na jinsi ulivokua ukimrusha hewani kila wimbo. Mume anauma, sisi wenye waume tunajua. Uchungu wa mume hakuna mfanowe, pole mama!
Jina lake halisi anaitwa issa mussa,anafahamika zaidi kwa jina la cloud.huyu ni muigizaji wa long time kidogo,aliwahi kushiriki michezo ya kuigiza apo awali kabla ya kuamua kujikita kwenye...
Tulihamasishwa sana kuchangia mpaka ile namba ya tigo ikawa inagoma kupokea masalio kwa kujaa.
Marehem kishazikwa, sasa tunaomba mchanganuo wenye ushahidi wa mapato na matumizi.
Ni hayo tu.
Taarifa hizo nimezinyaka kupitia clouds FM.
Inasemekana kwamba jamaa anasumbua sana maana anataka kuongea na mshikaji wake lakini hampati,na kutokana na hali yake ya sasa wameshindwa kumwambia...
Ukikutana na Diamond mtaani akiwa na mchuma mpya wenye rangi nyeusi, usishtuke sana, jua ni courtesy of Cocacola.
Inavyoonekana ni kuwa Cocaboy kama anavyojiita siku hizi, amenunuliwa gari jipya...
Sijawahi msikia mwadada huyu kuudhuria kwenye misiba ya ma celebrity wenzie,kuanzia ule wa sharo milionea,kanumba ambaye alikuwa anapenda sana kutembelea nyumban lounge pia sikumsikia wala kumuona...
GrandPa Records Ya Kenya Imevunja Mkataba Wake Wa kazi na Msanii Mr Nice kutoka Tanzania Baada ya miezi michache ya kufanya nae kazi. Fahamu Mr Nice alipewa mkataba na GrandPa Records huku...
Mwili wa albert mangwair umeairishwa tena kufika leo jumapili kama ilivyotangazwa apo awali,sababu za kufanya bado hazijajulikana,tarehe sahihi ya kuja kwa mwili huo itatangazwa soon....mhh apa...
Wafuatao ni baadhi ya wasanii wakike wacheza film bongo wanaofanya vizuri zaidi wawapo kwenye camera
1.monalisa(pay back)
2.riyama ally(fungu la kukosa)
3.wastara(hekima)
4.aunt ezekiel(young...
Leo nilikuwa nasoma nyimbo mpya ya mwanadada aliyerudi kwa kasi kwenye bongo fleva judith wambura ukipenda mwite jide au binti commando au ANACONDA.mashairi ya huu wimbo mpya ambao utatolewa soon...
Nilikua maeneo flani hivi;nikakuta jamaa wamekusanyka wakitazama video moja ya mtu akipasuliwa tumboni akitolewa dawa za kulevya eti ikisemekana ni ngwair;jamani nani mwingine kaiona video...
Hili ndilo jeneza ambalo mwili wa marehemu albert mangwair umeifadhiwa,bado mwenzetu aja rest in peace mpaka apo watakapoamua kumuifadhi kwenye nyumba yake ya milele,bwana ametoa na bwana...
Mara baada ya kutangaza kustaafu kucheza soka,david beckam ambaye kwa mara ya mwisho alichezea klabu ya paris saint-german ya ufaransa,yupo marekani na habari ni kuwa kuna uwezekano wa kujitosa...
Ni judith wambura mbibo au LADY JAYDEE,huyu mwanadada ana a.k.a zaidi ya tatu alianza na BINTI.MACHOZI,akalia weeee hatimaye akawa COMMANDO,kwenye ucomando akafaulu hadi kufikia kuitwa ANACONDA...
Wakati shoo ya mwana fa na lady jaydee ikiwa imearishwa ili kupisha msiba wa msanii mwenzao albert mangwair,habari mpya ni kwamba tarehe mpya ya shoo hizo imegongana tena kama ilivyokuwa...