Nilikua maeneo flani hivi;nikakuta jamaa wamekusanyka wakitazama video moja ya mtu akipasuliwa tumboni akitolewa dawa za kulevya eti ikisemekana ni ngwair;jamani nani mwingine kaiona video hii,nasikia inasambazwa katika mtandao wa watsup.Naomba anaye jua ufeki au uhalisia wa video hiyo atudadafulie hapa;maana nilivyo itazama nikaishiwa nguvu INATISHA BALAA.