David beckam kuwa staa wa filamu hollywood


warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,212
Likes
6,652
Points
280
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,212 6,652 280
Mara baada ya kutangaza kustaafu kucheza soka,david beckam ambaye kwa mara ya mwisho alichezea klabu ya paris saint-german ya ufaransa,yupo marekani na habari ni kuwa kuna uwezekano wa kujitosa kwenye filamu.TOM CRUISE ambaye yupo karibu na staa huyo amesema yupo tayari kumsaidia rafiki yake huyo kuingia kwenye uigizaji wa filamu."siku zote david alikuwa na ndoto za kuwa staa wa filamu,tom amemuaidi kumsaidia ili atimize ndoto zake" alisema rafiki wa karibu wa mastaa hao.
 
bily

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
8,054
Likes
4,147
Points
280
bily

bily

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
8,054 4,147 280
becks anaweza pia ndoto zake zitambeba kwenye hili na appearance yake in general namtakia kila la kheri.
 
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
14,212
Likes
6,652
Points
280
warumi

warumi

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
14,212 6,652 280
Kweli kaka appearance yake itambeba sana
 
lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
1,668
Likes
151
Points
145
lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
1,668 151 145
Huyu bwana atafanikiwa katika kila kitu,ana mvuto sana kwa watu na anajua sana kuishi na watu,ana heshima sana hana majivuno ata kidogo ni mtu ambaye anasikiliza sana wakati unaongea naye yeye si kama ma celebs wngi wanavyo behave,nilikuwa personal butler wa becks kwa wiki 2 niligundua jinsi alivyo..big up
 
sifongo

sifongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Messages
4,787
Likes
3,110
Points
280
sifongo

sifongo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2011
4,787 3,110 280
sidhani kama atafanikiwa sana katka filamu,nikisema kufanikiwa nina maana ya kuingia mikataba na makamouni makubwa ya hollywood na pia madirector wa kueleweka,kuna mifano ya watu wengi maarufu wamejaribu hii fani imewashinda mfano ni 50 cent,jlo,ja rule,queen latifa na wengine wengi tu,ili kujua gani ni ngumu na sio rahisii km tunavyodhani angalieni hata ktk tuzo kubwa kubwa ni lini mumemuona van damme,rambo na wengine kibao tu wanaishia kucheza lkn hwafikii pale panapohitajika hasa,jackie bawa kama sio 24 hrs alishapotea kwenye hii fani na hata baada ya 24 amefurukuta kwenye mirror na haijafanya vizuri,akaja na min series inaitwa confession nayo haikuhit ki hivyo.....hii habari tuwaachie denzel,kaprio,matt damon,morgan freeman,jamie fox,sandra bullock,tom cruz wengine mnaojua movie mtajazia,beckham ajaribu ila panapomfaa ni kwenye mitindo.
 
lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
1,668
Likes
151
Points
145
lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
1,668 151 145
Atafanikiwa sio kutokana na kipaji cha kuigiza bali kutokana na BRAND,neno becks ni jina kubwa sana ambalo si lakulinganishwa na watu kama hao uliowataja (ja rule)ata kwenye mpira alifanikiwa sana kutokana na jina wala si kipaji cha kucheza,kila director/actor atapenda kushiriki na becks kutokana na mapato ambayo movie itapata..kocha kama wenger ungemwuliza kama anataka kumsajili becks angesema hataki lakini marketing department ya arsenal ungewauliza wangekuwa tayari kutoa bei yoyote kumpata becks,maana angeingiza $$nyingi kwa club
 

Forum statistics

Threads 1,272,942
Members 490,211
Posts 30,465,304