wito

Parque Luis A. "Wito" Morales (Luis A. "Wito" Morales Park) is a park in the municipality of Ponce, Puerto Rico. It is part of the Lake Cerrillos Dam recreational area.

View More On Wikipedia.org
  1. The Sheriff

    Marekani: Asasi za kiraia zatoa wito wa kutoathiriwa huduma ya intaneti Urusi. Matumizi ya VPN yaongezeka nchini humo

    Asasi za kiraia zimetoa wito kwa Serikali ya Marekani chini ya Rais Biden kuwalinda watoa huduma za intaneti nchini Urusi dhidi ya vikwazo. Mashirika hayo yameonya kwamba kukwamisha ufikiaji wa mtandao kutawaathiri wenye mawazo na misimamo tofauti. Wito huo umekuja ikiwa vikwazo dhidi ya Urusi...
  2. S

    Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

    Waziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta taharuki zaidi ktk eneo la Europe na kuhatarisha amani zaidi. Sweden kwa mara ya mwisho ilikuwa...
  3. N'yadikwa

    Wito kwa Serikali, TANROADS: Tunahitaji mkakati wa kupanua kipande cha barabara Mlima Kitonga, Iringa

    Kwa miaka mingi sasa eneo hili limekuwa eneo korofi kwa kusababisha ajali nyingi sana kila uchao. Kwa wanaotumia barabara ya TANZAM ni nadra sana upite KITONGA usikutane na ajali hasa ya magari makubwa.. Ajali nyingi kwenye kipanda-njia hiki ni za Malori na Mabasi kwa sababu zifuatazo:- 1...
  4. comte

    Afrika na Asia zaliokoa kanisa Katoliki duniani na janga la uhaba wa wito wa upadri

    According to Vatican statistics released this month, there were 410,219 Catholic priests in the world in 2020, down 4,117 from the previous year, the last available data. The steep drops in North America and Europe were offset by increases of new priests in Africa and Asia. --- ROME (AP) — The...
  5. Roving Journalist

    Waziri Mkenda atoa wito kwa Wabunifu kujisajili ili kushiriki Mashindano ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, amesema Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaanda Wiki ya Kitaifa ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu maarufu kama (MAKISATU) kwa mwaka 2022. Ameyasema hayo leo 16 Februari 2022 wakati akiongea...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Wito wangu kwa Vijana: Usiishi Kama mwenyeji

    "USIISHI KAMA MWENYEJI" Anaandika Robert Heriel, Mwanafalsafa. Moja ya makosa makuu tunayoyakosea Vijana wa Zama za leo tuendapo Mijini au nchi za mbali, ughaibuni kutafuta maisha mazuri Kwa. Ajili yetu na familia zetu ni pamoja na "kuishi Kama wenyeji" mara tuu tufikapo ugenini, Mijini. Hilo...
  7. Baraka Mina

    Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu

    Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar. Leo anatimiza umri wa miaka 62. Ni Rais wa kwanza mwanamke nchini kwetu na mfano wa kuigwa kwa wasichana, wanawake na watu wa...
  8. Pascal Mayalla

    Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma

    Wanabodi, Karibu, Nipashe ya leo Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya ki Hindi "Hindu" na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu...
  9. Bushmamy

    Wito watolewa kwa jamii kutoa taarifa za vitendo vya kikatili .

    Msaidizi wa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha ACP J. Kaijanante ametoa wito kwa jamii kushirikiana na jeshi la polisi katika kupambana na vitendo vya kikatili kwa kutoa taarifa za vitendo hivyo katika vituo vya jeshi hilo. Pia wadau wa haki za wanawake na watoto wemeaswa kutorudi...
  10. B

    Kesi ya Mbowe: Yatokanayo, yasipuuziwe

    Kesi ya Mbowe ingali ikirindima. Hata hivyo tayari kuna ambayo hatukuyajua ambayo leo tunayajua zaidi. Kumbe pana Makomando wengi wanaweza kuwa walipotea baina 2015 - 2021. Nani ajuaye huenda wanaendelea kupotea leo. Hawa ni watanzania, wananchi na binadamu wenzetu wenye haki zao za msingi...
  11. F

    Udaktari sio wito, madaktari mtaendelea kudharaulika

    Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito. Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na...
  12. Frumence M Kyauke

    Baba mzazi wa Diamond Platnumz Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na Harmonize

    Baba mzazi ya Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na mwenzake wa zamani Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize. Alipokuwa kwenye mahojiano na Mbengo TV hivi majuzi, mzee Abdul alimsihi Diamond ashiriki kikao na Harmonize wazungumzie tofauti zao na...
  13. M

    Wito wa serikali kuzitaka Taasisi za fedha kushusha viwango vya riba upewe mkazo

    Salam ndugu wana JF! Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi. Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
  14. Pascal Mayalla

    Wito RC Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo na Waziri wa Mifugo, Kufuatia Umuhimu wa Chakula, Baada ya Mungu na Pumzi ya Uhai, P'se Mpitisheni Uwanja Pasua

    Wanabodi, Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa haraka zaidi na kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe...
  15. La Quica

    Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood. Tutafute hela wakuu.
  16. VUTA-NKUVUTE

    Wito wa mpito kwa DPP: Wakili aliyemwandaa ACP Kingai aondolewe jopo la Mashtaka la akina Mbowe

    Jana nilikuwepo Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi. Sikwenda pale kwa minajiri ya kuhudhuria kesi ya akina Mbowe. Nilikwenda kufuatilia mambo ya mwanangu anayesoma pale Law School of Tanzania. Kwakuwa nilimaliza kilichonipeleka mapema na niliwaona hata marafiki zangu wakijumuika...
  17. Analogia Malenga

    #COVID19 Mrema atoa wito kwa viongozi wa dini kuhamasisha waumini kuhusu chanjo

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi mstaafu, Dkt. Augustino Mrema, ameyataka madhehebu na viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaelimisha waumini wao umuhimu wa kupata chanjo ya COVID-19 na kuchukua tahadhari za ugonjwa huo kama ambavyo wataalam wa afya wanashauri. Akizungumza jana wakati wa misa...
  18. mshale21

    Jerry Silaa aitika wito kabla ya kukamatwa

    Dodoma. Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa amefika katika Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa baada ya jana Kamati hiyo kutoa ombi kwa Spika wa Bunge Job, Ndugai kutaka akamatwe. Kamati hiyo iliomba kukamatwa kwa mbunge huyo na kufikishwa katika kikao cha kamati saa...
Back
Top Bottom