mzazi

Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwizukulu mgikuru

    Mzazi pambana umrithishe mtoto chochote kitu, elimu ni haki ya mtoto

    Wazazi wenzangu tupambane tuwaachie watoto wetu chochote kitu, elimu na malezi ni haki ya mtoto. Mimi Namshukuru mungu kwa hiki kidogo basi anachochakuanzia kwenye maisha yake. Tusiwe na ubinafsi, tupunguze uvivu wa kufikiri, mimi mzee wangu nilimuambia asinipe chochote ili niwe na amani...
  2. Litro

    Tumefikia huku? kwamba mzazi anapata taarifa ya kifo cha mtoto kwenye soshomedia?

    Mmeamshwaje wakuu poleni na mvua zinazoendelea kutufikirisha. Jana niliangalia interview ya Milad na baba wa Gadna nachelea kusema baba yule yupo kwenye mtikisiko na msikitiko mkubwa sana. Kilichonifikirisha na kuniuma ni yeye kusema siku hiyo alimtafuta mwana akamkosa akaenda jumuiya akiwa...
  3. Intelligent businessman

    Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi Cha kuji funza zaidi , ili kuwa mzazi bora? 1. Changamoto mlizo kumbana nazo, kabla na baada ya...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Mzazi jukumu lako ni kunifundisha jinsi ya kufanya maamuzi sahihi na sio unifanyie Maamuzi

    MZAZI JUKUMU LAKO NI KUNIFUNDISHA JINSI YA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI NA SIO UNIFANYIE MAAMUZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wewe ni wewe. Mimi ni Mimi. NI kweli wewe ni mzazi na mimi ni mtoto. Lakini hiyo haimaanishi kuwa wewe ni Mimi. Utabaki kuwa mzazi lakini hautakuwa mimi na mimi sitakuja...
  5. ndege JOHN

    Ni mambo gani huwezi kufanya au kumwambia mama yako mzazi

    Kwa wale ambao mmepata neema ya kuwa na mama Mpaka sasa Hivi ni mambo gani haupo comfortable kabisa kuzungumza na mzazi wako labda itokee yeye aanzishe. Mimi binafsi yako mengi ila.:- 1.Siwezi kupiga picha na mama ya pamoja labda itokee bahati mbaya tumepiga ile ya familia pamoja ila sisi mimi...
  6. tpaul

    Serikali yamtorosha mwanafunzi kwenda Marekani (USA); mzazi aomba Rais Samia amsaidie

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Ukiisikiliza hii stori kwa umakini bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, utagundua kuwa serikali ndiyo imehusika katika kutoroka kwa mwanafunzi huyu 100%. Kwa maana nyingine naweza kusema serikali ndiyo imemtorosha baada ya kupuuzia...
  7. BARD AI

    Dalili 5 za Mtoto aliyekosa umakini au uhusiano Mzuri kutoka kwa Mzazi

    Anatafuta Kupewa Umakini Kila Wakati: Mtoto huyu anakuwa ni mwenye kutaka sifa au kutambulika kwenye kila kitu hata vitu vidogo Kuwa na Hasira za Haraka: Mtoto anatumia hisia za Hasira katika kuonesha vile anavyojisikia ili tu apewe umakini kwenye mambo yake Anakuwa Sio Mtulivu: Mtoto...
  8. Chachu Ombara

    SI KWELI Mzazi akipata mimba wakati bado ananyonyesha hudhoofisha afya ya mtoto anayenyonya

    Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa kwangu mimba kulisababisha afya ya dadangu kudhoofu na kupelekea kifo. Hili suala ni kweli au vihoja...
  9. M

    Mtoto wa miaka mitatu awekwa unyumba na Baba yake mzazi

    Kuna msemo unaosema ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, tukio la Baba mzazi mkazi wa mtaa wa Mafisa, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kudaiwa kumuweka unyumba mtoto wake wa kike wa miaka mitatu limewachukiza wengi huku baadhi ya wananchi wakiiomba serikali kuchukua hatua kali...
  10. M

    Video: Angalia hapa jinsi Single Mother anavyosumbuliwa na mzazi mwenza

    Single Mother wanachangamoto sana, angalia hapa jinsi mzazi mwenzake anavyomuharibia mahusiano yake (Vitimbi).
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Huna Wajibu wa kumtunza au kumhudumia Mzazi wako akiwa chini ya miaka 60 kama haumwi

    HUNA WAJIBU WA KUMTUNZA AU KUMHUDUMIA MZAZI WAKO AKIWA CHINI YA MIAKA 60 KAMA HAUMWI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Mada hii inaweza kuwa ngumu kwa baadhi ya Watu. Lakini nitakachojadili hapa ni Haki, kweli, akili na upendo kama ilivyo kwa Watibeli wote. Kama ilivyo kwa mzazi hana wajibu...
  12. GoldDhahabu

    Ni halali mzazi kumwachisha mtoto shule ili akamhudumie?

    Kipindi fulani, nilifuatwa na kijana mmoja aliyekuwa akiishi jirani na nilikokuwa nikifanyia kazi, na kuniomba nimsadie kumtafutia nafasi ya kujifunza masuala ya ufundi kwenye kampuni fulani. Alikuwa bado kijana mdogo, under 18. Aliamua kutafuta hiyo nafasi baada ya kufeli mitihani ya kidato cha...
  13. S

    Nalazimishwa kuwa baba wa mtoto

    Wadau habarini, Kuna mwanamke mmoja nilikuwa na mahusiano nae, baada ya miezi mitatu ananiambia ana ujauzito nilipomwuliza kwa kina akasema ni wangu. Baada ya wiki mbili akanionesha mstar uliochora katikati ya tumbo akisema mimba Ina miezi mitatu kwenda wa nne huku Ina mstari...
  14. S

    Hivi ni kweli kwamba mtu akiziona nyeti za mzazi wake analaaniwa?

    Kuna nadharia imezagaa ktk jamii nyingi kwamba mtu akiziona tupu za mzazi wake analaaniwa, yaani anapata ukichaa/gundu na mikosi kisha mambo yote yanakwenda kombo. Na inadaiwa mzazi akitaka kumlaani mwanaye huwa anavua nguo zake kisha kumuonesha mwanaye nyeti. Halafu anapata laana. Hii ni kweli??
  15. sky soldier

    Kwanini vijana wengi walioharibika waliolelewa na mzazi moja hutokea upande wa single mama?

    Kuna wanaokuwa vizuri lakini tuwaangalie wale walioharibika Husika na kichwa cha habari, Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers?
  16. Pleasepast

    Je, inawezekana mzazi akawasaliana na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili kusaidia ombi la uhamisho

    Habarini za asubuhi wapendwa Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa...
  17. Mjomba Fujo

    Mzazi akikokotana na mwanafunzi mlevi alietoka kuhitimisha mitihani ya sekondari

    https://vimeo.com/896717216?share=copy Haya haya Mtoto kajipongeza baada ya kumaliza mitihani yake. Tukio hili limetokea huko kwa majirani 254. Mkanye mwanao.
  18. Mwizukulu mgikuru

    Kwanini kushindwa kuowa kwa binamu yangu ilikuwa ni faraja kwa mama yake mzazi (shangazi)

    Habari zenu wakuu, kuna jambo lilikuwa likiniacha njia panda sana, Kuna binamu yangu umri wake kwa sasa ni 33 to 34 hajaowa mpaka sasa na amekuwa akipambana kujiweka sawa kiuchumi na huku akitafuta mwenza wa maisha yake. Baba yake mzazi amekuwa akimshauri mwanae umri umekwenda na muda...
  19. Melki the Storyteller

    Hivi ni halali kumuadhibu mwanafunzi kwa kosa la mzazi?

    Yaani unakuta mwalimu anamuadhibu mwanafunzi na baridi hili kwa kosa la eti mimi mzazi nimeshindwa kuhudhuria kikao cha wazazi. Ama mwanao anaadhibiwa kisa wewe umeshindwa kufuata taarifa ya Masomo ya mwanao (Report) Ama aadhibiwe kwa kuwa hujatoa hela ya mchango wa ujenzi wa darasa. Hivi hii...
Back
Top Bottom