nato

The North Atlantic Treaty Organization (NATO, ; French: Organisation du traité de l'Atlantique nord, OTAN), also called the North Atlantic Alliance, is an intergovernmental military alliance between 30 European and North American countries. The organization implements the North Atlantic Treaty that was signed on 4 April 1949. NATO constitutes a system of collective defence whereby its independent member states agree to mutual defence in response to an attack by any external party. NATO's Headquarters are located in Evere, Brussels, Belgium, while the headquarters of Allied Command Operations is near Mons, Belgium.
Since its founding, the admission of new member states has increased the alliance from the original 12 countries to 30. The most recent member state to be added to NATO was North Macedonia on 27 March 2020. NATO currently recognizes Bosnia and Herzegovina, Georgia, and Ukraine as aspiring members. An additional 20 countries participate in NATO's Partnership for Peace program, with 15 other countries involved in institutionalized dialogue programs. The combined military spending of all NATO members constitutes over 70% of the global total. Members agreed that their aim is to reach or maintain the target defense spending of at least 2% of GDP by 2024.

View More On Wikipedia.org
  1. Sir John Roberts

    Russia Yafungua maonesho ya Silaha za NATO zinazotekwa Huko Moscow.

    Russia leo imefungua maenesho rasmi ya silaha na zana za kivita wanazoteka huko Ukraine kutoka nchi za magharibi. Hii lwa upande wangu dharau kubwa sana na kwa jicho la mbali hii vita hata wampe Ukraine dollars trillion 100 hawezi kushinda hii vita . Wameanza kupeleka wanajeshi ngoja tuone...
  2. Emmanuel Mkwama

    Mtazamo wangu kwa kinachoendelea huko (Ukraine vs Russia) pia (islael vs parestina,Iran etc). Pamoja na NATO

    Habari waungwana Wana jamii forum wenzangu. Inshu ya vita mashariki ya kati imekaa kimkakati sana. Ukweli ni kwamba mhusika mkuu Bado hataki kujulikana ambaye ni mmarekani, lengo limekwisha julikana. Ambalo kumpiga muiran, lakini Kuna mtu anasubiliwa ambaye mrassia, yeye akithubutu kumsaidi...
  3. L

    NATO inaigeuza vita ya Russia na Ukraine kuwa vita ya dunia

    Katibu mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg hivi karibuni alifanya ziara nchini Marekani, lengo likiwa ni kujadili mwendelezo wa kuiunga mkono Ukraine na kuhakikisha mwendelezo wa upatikanaji wa silaha kwa Ukraine, wakati vita kati ya nchi hiyo na Russia ikiendelea. Hii inajumuisha kuridhiwa kwa...
  4. green rajab

    Kamanda wa NATO atenguliwa kushukiwa kuwa na mahusiano na Russia

    Baada kipigo cha Russia kwenye maficho ya NATO huko Ukraine NATO wameanza kumtafuta mchawi... #BREAKING Polish Lieutenant General Jaroslaw Gromadzinski, a commander of Eurocorps, a joint military group of some EU and NATO states, has been removed from his post after a counter-intelligence...
  5. green rajab

    Base ya NATO yalipuliwa, Jenerali Adam kauawa

    🚨Top NATO general killed in a Russian Iskander missile strike on NATO underground base near Chasov Yar. ⚡️The Operational Command of the Polish Armed Forces have confirmed the death of Brigadier General Adam Marczak but are covering up the fact that he was killed in Ukraine. 🤡The official NATO...
  6. FaizaFoxy

    Siri nzito ya NATO imevuja; Kigogo wa NATO asilimu

    Wakati huu, Siri ya Kigogo wa NATO kua Muislam ipo wazi na sio siri tena. Mkurugenzi wa Habari wa NATO, Dk Murad Wilfried Hofmann. Dr Hoffman, aliukubali Uislamu na kutamka shahada katika Kituo cha Kiislamu cha Colonia kinachoongozwa na Imam Muhammad Ahmad Rasoul. Alizaliwa katika familia ya...
  7. M

    Ndoto ya Marekani na NATO kuishinda Urusi kwa kutumia mikono na damu ya Ukraine inaishia mdogo mdogo!

    Sasa hivi Marekani na NATO kwa ujumla wanajiondoa mdogo mdogo na zigo lote wanamwachia Zelensky na Ukraine yake! Ushindi ungepatikana wangesema ni wao wameshinda, lakini kwa sasa wanadai Ukraine inashindwa! Hata yule aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza aliyeizuia Ukraine kufikia makubaliano...
  8. L

    Vita ya Ukraine ni alama nyingine ya kushindwa kwa Marekani na NATO

    Moja ya maeneo tata ya siasa za kimataifa ni kuwa nchi kubwa na zenye uwezo zaidi wa kijeshi zimeshindwa vita katika nchi ndogo katika miaka 50 iliyopita, kuanzia vita ya Vietnam mpaka ya hivi sasa ya Ukraine. Hapa “kushindwa,” maana ni kushindwa kijeshi, kulazimishwa kuondoka (kama ilivyotokea...
  9. FaizaFoxy

    Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu

    Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran. Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai"...
  10. M

    Kwanini hadi leo NATO na Israel haijangia kwa miguu gaza?

    Palestina hana silaha kubwa. Yeye anatumia manati na jiwe huku NATO na Isreal wakitumia mabomu yenye kuangamiza na yaliopigwa marufuku duniani. Lakini kwanini hadi leo wanaogopa kuingia kwa miguu? Soma kidogo waislam wanavyopigana. SOMA Siku ya tarehe kumi na saba ndani ya mwezi mtukufu wa...
  11. SNAP J

    Mkutano mkubwa wa siri wa NATO unafanyika Poland bila ya uwepo wa Marekani

    Jijini Lublin nchini Poland kuna mkutano mzito unaoendelea wa nchi wanachama wa jumuiya ya NATO, lakini cha kushangaza Kiranja wao Marekani hajaalikwa katika mkutano huo. Baadhi ya maswali ni mengi ninayojiuliza: 1. Thima kuu ya Mkutano huo ni nini hasa? 2. Ni kwa nini Marekani hajaalikwa? 3...
  12. Mpinzire

    Mgongano wa NATO na USSR Mpaka sasa na Urusi

    NATO, au Shirika la Mkataba la kujihami Kaskazini, lilianzishwa mnamo Aprili 4, 1949, kwa sababu ya hali ya kisiasa na kijeshi iliyokuwa ikijitokeza baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Sababu kuu zilizopelekea kuanzishwa kwa NATO ni: 1. Tishio la Ukomunisti wa Kisovieti: Baada ya Vita Kuu ya...
  13. MK254

    Urusi yaonekana kulegeza masharti yake, yasema almradi Ukraine watoe ahadi hawatajiunga NATO

    Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine...
  14. Mhaya

    Unabii wa mchungaji Moses Kulola wa mwaka 1997 kuhusu vita ya Urusi watimia mwaka 2023

    Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi. Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
  15. The email

    NATO hatakiwi kishinda vita hii maana hana nia nzuri na dunia hii

    Natumai hamjambo wana JF wenzagu, Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiuchukulia mzozo/vita ya Ukrein kwa mitazamo tofauti tofauti na hata baadhi yao kumtupia lawama Putin kwa kuanzisha balaa hilo,ila ukweli ni kuwa si Putin wala Urusi kuwa ndio mwanzilishi...
  16. kwisha

    Ni faida gani ambayo wanapata NATO kwa vita hivi vya Urusi na Ukraine?

    Hali ya maisha katika nchi za nato na wengine sio nzuri kabisa. Maisha yamekuwa ghali kinoma Makato ya serekali yamepanda vyakula vimepanda bei na mambo mengine mengi. Lakini kila kukicha Kama hapa Canada [emoji1063] serekali wanatenga bajeti ya mabilioni ya pesa sio Canada pekee hata usa watu...
  17. Suley2019

    Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  18. M

    Maonyesho ya silaha za NATO zilizotekwa na Urusi yafana mjini Moscow

    Nchi za magharibi zimeshuikwa na kugugumizi!! hazijui ziseme nini. Akitambulisha maonesho hayo, waziri wa ulinzi wa urusi alisema silaha Marekani na NATO kwa ujumla hazifui dafu mbele ya makali ya silaha za urusi. Alisema hata silaha za kizamani enzi za kisoviet bado zina makali kuliko silaha za...
  19. Webabu

    Tangu NATO kujiingiza kuisaidia Ukraine Alshabaab, Alqaida na Boko haramu wamepotea

    Takriban kwa miaka 23 iliyopita haikupita siku usisikie habari za kusisimua kuhusu mashambulizi ya Alqaida ,Boko haramu.Makundi hayo kila siku yalizalishwa vitoto vyao kuanzia Alshabaab kuteremka chini mpaka ISIS na vijukuu kama viel Saheli ni West Afrika. Mitandao hiyo ilionekana kila siku...
  20. M

    Baada ya kuzichakaza kwenye uwanja wa mapambano: Urusi yaziponda silaha za NATO

    Marekani na nchi zingine za NATO zilipeleka silaha nyingi sana ukraine kama maandalizi ya kujibu mashambulizi na kurudisha tena majimbo yaliyotekwa na urusi. Lakini silaha hizo nyingi ziliishia kwenye mdomo wa mamba!! Nyingi zililipuliwa na zingine kutekwa!! Magari ya kivita ya marekani...
Back
Top Bottom