vituko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Ghana: Timu ya AshantiGold FC imeshushwa mpaka ligi daraja la pili kwa kuhusika na upangaji wa matokeo

    Timu ya Ashantigold SC imepigwa faini na kushuka hadi Ligi Daraja la Pili baada ya kupatikana na hatia ya kupanga matokeo katika mechi ya Ligi Kuu ya Ghana 2020-21 dhidi ya Inter Allies FC. Klabu hiyo imekutwa na hatia kutoka kwa kamati ya nidhamu inayoongozwa na mwenyekiti Osei Kwadwo Adow...
  2. Stroke

    Vituko ulivyowahi kutana navyo stand.

    Nakumbuka miaka hiyo naenda sana mikoa kwa bus. Sikuhiyo nikiwa ndani ya basi jamaa kasubiria basi likiwa linaondoka ndio kanikimbizia gazeti kwakua lilikua na kichwa cha habari kilichovutia basi nikamrushia hela jamaa akanipa gazeti. Ile nalifungua aisee ni gazeti la wiki moja iliyopita...
  3. B

    Vituko na Burudani kufuatia kuachiwa kwa Mbowe

    Kufuatia kuachiwa huru kwa Mh. Mbowe na watuhumiwa wenzake na yaliyofuatia hadi Ikulu, kwa ujumla kumeleta furaha kubwa nchini. Heko Samia, Mbowe na wote waitakiao mema nchi hii. Mshindwe na mlegee enyi mliojawa na nyoyo za ufedhuli ambapo kwenu, mema ndiyo maovu na maovu ndiyo mema. Angalia...
  4. John Haramba

    Video: Vituko vya 'Mfalme Zumaridi', amchumu mwandishi Mahakamani

    Siku chache tangu Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kumkamata Diana Bundala maarufu kwa jina la Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Zumaridi, ameendelea kutrend mitandaoni kutokana na vituko vyake. Akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza alipofikishwa na wenzake, Machi 2, 2022...
  5. EMMANUEL JASIRI

    Vituko vya migambo wa jiji la Arusha

    Siku moja Kaka mmoja wa kimasai ,katika harakati zake za kutembeza mikanda ili kuiuza, Alikutana na mteja, akawa akimwonyesha hiyo mikanda bila kuweka chini bidhaa zake, Akaja mgambo akamkamata, Kijana akahoji kosa lake ni nini? Mgambo aka endelea kung'ang'ania zile bidhaa bila maelezo...
  6. mgt software

    Kwanini wanaume wanapenda watenda vituko kama MamaJ, na Ambarut unakuta waomba penzi kama 40 hivi

    Wana jf Wanawake wapenda vituko aubwanaofanya vituko vya kushtua ndio wanawaniwa sana na wanaume. Sasa unakuta aliyefanya na Fanta au milinda anatafutwa sana mbali na kufanya ufilauni usiovumilika. Kuna siku nilienda kumwona live MamaJ, uwezi amini mgahawa wake unajaa watu, alafu wanaomba namba...
  7. F

    shule vituko

    Tukiwa shule ya msingi watoto walikua wanabeba vinywaji wanaweka kwa dirisha .Ikifika wakati wa chai watoto wananywa vinywaji hivo. Kijana mmoja mtundu akaweka mkojo ndani ya chupa akawacha dirishani .Ulikaa pale mda wa wiki mbili ikaanza kutoa harufu ikatupwa
  8. muafi

    Hii nchi haiishiwi vituko, Kumbe watu wana hela za kuchezea

    wakati mimi nalalamika bei ya mafuta ya kula kufikia 7500 kwa lita kumbe kuna watu wanachezea hela namna hii, hawa naona wameamua kuanzisha derby Hakika tumerudi zama za mbuzi kunyweshwa bia
  9. mugah di matheo

    Nchi haishi vituko hii: Raul Ganzalez kutua Azam fc

    | Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿. ===== Former Real Madrid captain and Madrid's best ever forward Raúl González Blanco 🇪🇸 are among the top coaches who have applied...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Vituko vya madereva: Wimbo wa Umoja wa Vijana Tanu na Mzee Makongoro

    Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi mbalimbali vya redio kama TUIMBE SOTE na kipindi cha TUMBUIZO ASILIA kilichokuwa kikirushwa hewani na...
  11. Basi Nenda

    vituko vya viongozi wa Africa katika picha

    picha ya kwanza ni waziri wa fedha wa zimbabwe akizindua dampo na picha ya pili ni viongozi wa serikali huko Namibia wakiwa kwenye mkutano ambapo ndani ya ukumbi walifuata taratibu za kujikinga na covid ila badae walitoka nje na kupiga picha ya pamoja
  12. K

    Ubalozi wa Tanzania US ni vituko tupu

    Tunasikitika ubalozi wetu wa Tanzania US unejaa wafanyakazi wasiojua wanachofanya. Ili watu waelewe hili nimewapa barua mbili hapa. Barua yenye kumbukumbu namba moja imetumwa kwenye miji miwili tofauti. Ukipiga simu wanasema Dallas eti hawaendi. Cha kushangaza vilevile pamoja na viongozi wa...
  13. jitombashisho

    Ila ninyi Masai wana vituko jamani

    Juzi kati nikiwa kwa fundi msafisha viatu pale Kibaha Maili moja nikiwa sina hili wala lile ghafla nilishuhudia kituko cha karne hahahahaha! Ipo hivi mama wa kimasai wale wanaouza dawa za miti shamba ilionekana akitaka kumuita kwa jina lake jamaa mmoja aliyekuwa na wajihi wa ki Ustaadh. Sasa...
  14. T

    #COVID19 Wizara ya Afya itafutiwe Waziri mwingine

    Nimeona mtandaoni namna ambavyo Waziri wa Afya ndugu Dorothy Gwajima alipokua anajibu hoja za Askofu Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima na mbunge wa Kawe. Zaidi ya mipasho hakukua na majibu ya moja kwa moja ya kuwashawishi wananchi wakapatiwe chanjo ya UVIKO_19. Kwamaelezo ya waziri...
  15. Kiboko ya Jiwe

    Siasa za Tanzania zimejaa vituko

    Nimecheki hili bango nimeishia kucheka ingawa jambo lenyewe ni zito .
  16. BestOfMyKind

    Nani alitufundisha kuhusu Duka la mtandao (Postashop) Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?

    Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea? Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea...
  17. marcoveratti

    Vituko walivyofanya Yanga msimu wa 2020/21

    Yanga Sc wanao julikana kama timu ya wananchi hasa pale wanapo kua hawako sawa kiuchumi kakini hua wa kimataifa mambo yanapo kua byeeeee..!! Mashabiki wanachama na viongozi wa clabu hii yenye makazi yake eneo lisilo kauka maji na vyura wengi la Jangwani jijini Dar es salaam wamekua watu wasio...
  18. Suley2019

    Soka la Zanzibar lazidi vituko, timu yashinda 50-0, nyingine 46-0 zikiwania kupanda daraja la kwanza

    Na @abubakarkisandu Zanzibar. Jana katika Michezo ya mwisho ya kuitafuta timu moja itakayopanda Daraja la Kwanza Kanda Unguja kutoka Ligi ya Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Mchezo nambari 113 ulichezwa katika Uwanja wa Mau B timu ya Umoja wa Mbuzini ilishinda jumla ya mabao 50-0 dhidi ya New...
Back
Top Bottom