vituko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Matola PhD

    Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

    Duniani kuna mambo Sana, watu wengi wakiangalia mambo yanavyokwenda sasa hivi huwa wanaamini kuwa dunia sasa imekwisha. Sasa Mimi ngoja niwaeleze dunia ndio Kwanza inaanza, utakwisha wewe tu. Je unazijuwa sarafu za dollar ya Marekani prulibus unum ambayo ndio Motto wa Marekani kwenye National...
  2. M

    Vituko vya mamelodi mwaka 2016 alitolewa Champions league kisha akaenda akatolewa kombe la shirikisho. Maajabu akatwaa ubingwa wa champions league

    Mamelodi sundowns ni timu yenye CV ya ajabu sana. Imewai kutwaa kombe la africa mara moja mwaka 2016. Na hiyo mara moja walitwaa kwa vituko vingi sana. Vinachekesha. Baada ya kushindwa uwanjani waliamua Mpira uchezwe na wanasheria wa mamelodi mahakamani Mwaka huo 2016 mamelodi alishiriki...
  3. N

    Mikataba mingapi ya ujenzi ilisainiwa na Profesa Mbarawa mwaka jana 2023?

    Mikataba mingapi ya ujenzi ilisainiwa na Profesa Mbarawa mwaka jana 2023? Je, mikataba inasaiwa hadharani Tanzania kweli kuna vituko. Sijui ataendelea na mchezo huu huko Mawasiliano. Ni mingapi imeanza? Kumbe barabara nyingi za nyuma hazjakamilika halafu anafanya upuuzi wa hali ya juu kama...
  4. nzalendo

    VITUKO VYA MATAJIRI MOSHI....ARUSHA....MIAKA HIYOOO

    Namkumbuka Mzee Maeda...alikuwa na majumba na mabasi ya Kilimanjaro Bus Service (1967) Ltd. Yeye na mkewe walikuwa ni wachapa kazi balaa...mzee yuko stand anabeba mizigo kama kuli na kuipandisha juu ya carrier. Kuna siku basi imepakia abiria dereva kaingia kwenye basi kalewa,mama akamshusha...
  5. nzalendo

    Vituko vya matajiri Moshi na Arusha miaka hiyo

    Namkumbuka Mzee Maeda...alikuwa na majumba na mabasi ya Kilimanjaro Bus Service (1967) Ltd. Yeye na mkewe walikuwa ni wachapa kazi balaa...mzee yuko stand anabeba mizigo kama kuli na kuipandisha juu ya carrier. Kuna siku basi imepakia abiria dereva kaingia kwenye basi kalewa,mama akamshusha...
  6. Maghayo

    Vituko nilivyomfanyia huyu demu kwenye simu jana hatawahi tena kunitafuta

    Mzuka wanajamvi. Huyu demu tulikutana naye njiani mwaka jana mwezi wa 8. Nikampiga sound aka tick. Akawa girlfriend wangu. Ila baadaye akaanza kiburi na mimi nilishaanza kufall in love. Hanijibu msg zangu hanipigii simu mara kwa mara kama mwanzo namuona yuko online WhatsApp lakini hanijali...
  7. MK254

    Falme za Kiarabu (UAE) zalaani vituko vya Houthi

    Hii ni baada ya hayo magaidi ya kidini kupigwa na Marekani, sasa kila mmoja anajtokeza kuwalaani..... The United Arab Emirates (UAE) has voiced serious concerns regarding the impact of recent attacks by Houthi militants on shipping vessels in the Red Sea, deeming them an "unacceptable threat"...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia apokea taarifa ya Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji wilaya ya Nzega mkoani Tabora, leo tarehe 18, Oktoba, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji wilaya ya Nzega mkoani Tabora leo tarehe 18, Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/PLLdAPmreBQ?si=Je1yaQd5Nk5_cf-o
  9. Intelligent businessman

    Je, huyu ndiye mwamba wa Afrika kwa sasa?

    Katika siku za hivi karibuni, nime kuwa niki kutana na Picha za huyu mwamba. 👉 akiwa ana Pigana na wanyama was ardhini au hata majini. Jamaa ana pigana kwa Uwezo mkubwa. wanao mjua watu ambie je ni mtu wa wapi??? 👉Ona mfano wa mapigano yake🤔🤒 Kwa Sasa Africa, tuna kila sababu ya kujivunia...
  10. Andre-Pierre

    Mpira wetu vituko sana, sasa tunashindana nani kajaza mabasi mangapi?

    Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.🤣 Hivi ni nani...
  11. Webabu

    Tuburudike na kujifunza kwa vituko na tabia za wanyama, ndege na wadudu

    UKIPEWA SH.10000 UMFUKUZE KANGA KATAA, HUTAMPATA Tanzania inatajwa kama taifa linaloongoza kwa kuwa na mbuga pamoja na wanyama wengi duniani. Itapendeza iwapo tutakuwa tukizielewa tabia za wanyama tuliona pamoja na vituko vyao ambavyo huwa ni burudani kwa binadamu na watalii kutoka nje.Na vile...
  12. 404 Pages

    Ni kweli kwamba hatuna Software Developers, Web Developers, UX/UI Designers hadi tunatengeneza vituko?

    Yaan nimeduwaa sijaelewa una maanisha nini, sawa wewe umeijenga website kwa ajili ya desktop sawa sijakataa nakubariana na wewe lakini je huo muonekano wake UI umeangalia kwenye simu zetu hizi za smartphone inaonekanaje in accordance to UX umeuliza users wako kadhaa wanaonaje au ipo ipoje...
  13. Webabu

    Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

    Grereza la Kober analoshikiliwa aliyekuwa rais wa Sudan, Omar Albashir limevunjwa na mahabusu wote kukimbia. Vikundi vinavyopigana kila kimoja kinaonesha kutokuwa na uhakika wa sehemu alipo kiongozi huyo wa zamani anayetafutwa na ICC. Jeshi la Sudan chini ya generali Burhani limesema kiongozi...
  14. Restless Hustler

    Vituko vya Kigoma

    Aisee Kigoma kuna Mambo. Wanawake Ni mwendo wa ubishi na lugha ya ajabu tu. Nimjibuje huyu kwa mfano😅😅😅
  15. S

    Mradi wa nguzo za umeme za zege umeishia wapi? Nchi ina vituko hii!!

    Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda. Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo. #Tanzania yangu!
  16. kocha Nabi

    Vituko na vimbwanga safarini

    karibu tufurahishane, na kushare visa mbalimbali ambavyo umewahi kukutana navyo ukiwa safarini. kuna siku nilipanda basi(kilimanjaro exp) tanga (kabuku) ikitokea arusha to dar mida ya saa3 usiku wakati tumeiacha msata maeneo ya mwetemo tukiwa tunaitafuta kiwangwa, basi ilipata hitirafu na...
  17. Mtu Asiyejulikana

    Vituko vya Mwisho wa Mwezi

    Hatari sana. Asubuhi jamaa kaja na Uber kazini. Mwingine kaja na Bolt. Ila kuna tarehe zikifika hawa jamaa huomba hadi tsh 600 ya nauli. Mwisho wa mwezi english inapanda sana na bashasha ofisini ni kubwa. Husikii malalamiko kuwa mshahara ni mdogo au mwajiri anatunyonya. Gate man namsikia...
Back
Top Bottom