jiji la arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    RPC Arusha: Kundi la Wadudu ni kama Wasanii, wanafanya Sanaa sio Wahalifu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linao wajibu wakisheria wa kuwalinda raia na mali zao huku likibainisha kuwa limepokea maelekezo ya Mwenyekiti wa Ulinzi Mheshimiwa Paul Makonda aliyoyatoa hivi karibuni. Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP Justine Masejo...
  2. BARD AI

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha (Dkt. Pima) afunguliwa kesi mpya 2 za Uhujumu Uchumi

    Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP, amemfutia Kesi na kumfungulia mpya mbili za Uhujumu Uchumia aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. John Marko Pima na wenzake watatu. Kesi hizo zimefunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha zikimkabili na wenzake watatu. Kesi hizo zina mashtaka...
  3. JanguKamaJangu

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na wenzake wameshinda rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 20 jela

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Hukumu hiyo imesomwa leo Ijumaa, Februari 16, 2024 na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha...
  4. Roving Journalist

    Mkazi wa Arusha: Rais Samia tusaidie Jiji la Arusha ni chafu

    Maoni ya Mkazi wa Arusha kuhusu mazingira ya Jiji hilo na kero nyingine mbalimbali.
  5. Beginning

    Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha. Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo. Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo...
  6. benzemah

    Halmashauri ya Jiji la Arusha Yatenga Milioni 380 Kukarabati Maeneo Yaliyoharibiwa na Mvua

    Halmashauri ya Jiji la Arusha imetenga kiasi cha Sh milioni 380 ili kurudisha miundombinu ambayo imeanza kuharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Arusha. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jij la Arusha, Juma Hamsini alisema hayo juzi wakati akizungumza katika mkutano wa madiwani...
  7. morees

    Jiji la Arusha inaonekana bora zaidi bila daladala

    Leo hii nimebahatika kupita jijini hapa na kushuhudia hali ya jiji hili bila ya kuwepo daladala. Mbali na adha wanayopata raia wanaotumia usafiri huu wa ndani. Mji umekuwa nadhifu na wa kupendeza sana. Jam zimepungua lakini pia makelele na vurugu za daladala. Ni wakati sasa wa mamlaka...
  8. peno hasegawa

    Ni nini hatima ya maelfu ya hotel za kitalii zilizopo jiji la Arusha?

    Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani: 1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park. 2. Wakitoka National...
  9. JanguKamaJangu

    Wakili ajitoa kesi ya aliyekuwa Mkurugenzi Jiji la Arusha

    Wakili wa utetezi Valentine Nyalu, aliyekuwa anawawakilisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili wanaokabiliwa na makosa manane katika kesi mbili za uhujumu uchumi, amejitoa kuwawakilisha watuhumiwa. Wakili huyo amechukua uamuzi huo leo...
  10. Lady Whistledown

    Aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili wafikishwa mahakamani

    Aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili leo Juni 22, 2022 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita ikiwemo mawili ya utakatishaji fedha. Wengine ni Mariam Mshana...
  11. Nanyaro Ephata

    Serikali ivunje Baraza la Madiwani Jiji la Arusha

    Sakata la Mkurugenzi Jiji la Arusha, Halmashauri inapaswa kuvunjwa Jana Mbunge wa Michongo wa Arusha mjini alisikika akilalamika mbele ya Waziri Mkuu kuhusu tuhuma kadhaa ambazo zinamkabili Mkurugenzi wa Jiji! Mosi huyu Mbunge akumbuke kuwa hana uadilifu wa kukemea ufisadi wa aina yoyote maana...
  12. EMMANUEL JASIRI

    Vituko vya migambo wa jiji la Arusha

    Siku moja Kaka mmoja wa kimasai ,katika harakati zake za kutembeza mikanda ili kuiuza, Alikutana na mteja, akawa akimwonyesha hiyo mikanda bila kuweka chini bidhaa zake, Akaja mgambo akamkamata, Kijana akahoji kosa lake ni nini? Mgambo aka endelea kung'ang'ania zile bidhaa bila maelezo...
  13. M

    Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

    Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji. Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, licha ya upya wake. Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za private kwa...
  14. Jesusie

    Arusha Jiji Serikali yaachia TZS 5.2B kwaajili ya Vijana 4% Walemavu 2% na wanawake 4%

    === Chini ya Sheria ya fedha ya Serikali za mitaa sura namba 290 kifungu cha 37 ya mwaka 2019 kila halmashauri inatakiwa kutenga 10% ya mapato yake kwa mwaka kwaajili ya maendeleo ya watu wa halmashauri husika kwa mchanganuo ufuatao, 4% kwaajili ya wanawake, 4% kwaajili ya Vijana na 2% kwaajili...
  15. nyamadoke75

    Kimeumana! Gambo amshukia kama mwewe mkurugenzi wa jiji la Arusha

    Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amemchukia vikali Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dr John Pima kwa kumweleza wazi kwamba mkakati wake wa kumdhoofisha ili wananchi wa Jimbo hilo wamchukie hatafanikiwa kwani yeye ametokana na changuo la wananchi. Akiongea katika mkutano wa hadhara katika zoezi...
  16. Jembe Jembe

    TCCIA yaunga mkono jitihada zinazofanywa na jiji la Arusha kuboresha maeneo yenye uoto wa asili ili kukuza utalii

    Chama cha wafanyabiashara Mkoa wa Arusha TCCIA, Kimeunga mkono jitihada zinazofanywa na halmashauri ya jiji la Arusha kwa kuyaboresha maeneo yote yenye uoto wa asili ili kukuza kivutio cha utalii katika jiji la Arusha. Akiongea wakati wa zoezi la kuboresha mazingira hayo lililoratibiwa na jiji...
Back
Top Bottom