MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,724
- 4,048
Imani ni mtihani mzito sana kwa mtu mweusi
Nimekupata hawa ndio zaman walikuwa wanaitwa SILOAM kwa nabii Eliya.Huyo kanisa lake lipo tegeta masaiti na wiki iliyopita ilikuwa ni zamu ya bodaboda kwa ajili ya kufuta ajali sijajua kama ilifanikiwa au laa na anapopita na msafara wake huyo mr anakuwa na magari 3 ya kifahari vx v8 ikiwa moja wapo na anatembea na king'ola hasimamishwi na yeyote yule barabarani na waumini wake ndio wale wanaovaa nguo nyeupe mwanzo walikuwa pale mbezi makonde ila sasa wamegawanyika ndio wengine wapo tegeta ila ninachompenda anawafundisha waumini wake mbinu za kusaka pesa ktk nyanja mbalimbali
DahMwalimu Musa Mwacha wa Ngome ya Yesu kule Kimara yeye mahubiri yake yote ni Vita dhidi ya wachawi wa kufikirika,kuuza maji,mafuta, udongo na chumvi bila kusahau kadi za michango kila siku
Cha ajabu ni kwamba kwa mwamposa waislam wamejaa kibaokuliko hata wakristuHivi kwanini dini ya ukriso inachezewa Sana ? Lakini cha kusikitisha hao waumini wa kikiristo wanamuamini kila mchungaji anaejitikeza,wanajifanya wanapesa nyingi za kuwapa wachungaji ili wawe matajiri.Mchungaji anaweza leta papai akasema kaliombea na likagombaniwa kwa gaharama yoyote kisa mchungaji kaliombea.Wachungaji wanawaona wakristo kama vile hawana akili.
Na wanga hatar kuanzia mchungaji mpaka wauminNimekupata hawa ndio zaman walikuwa wanaitwa SILOAM kwa nabii Eliya.
Ha ha ha Siloam wana mambo ya ajabu sana. Ukijiunga unabadilishwa jina kwanza.Na wanga hatar kuanzia mchungaji mpaka waumin
Me mwanzo nilivyosikia jina lao nikahis ni watu wabadHa ha ha Siloam wana mambo ya ajabu sana. Ukijiunga unabadilishwa jina kwanza.