walinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    Kuelekea Kariakoo Derby nawashauri Simba watafute mganga mapema au wahonge walinzi mapema

    Raundi ya kwanza timu ya YANGA iliibuka na ushindi mnono dhidi ya SIMBA kuna mwamba mropokaji hapa jukwaani akasema Yanga iliroga na kuhonga walinzi pia walimwaga dawa vyumba vya kubadilishia nguo,nataka kushauri uongozi wa SIMBA mapema kabla matokeo kwamba wafanyie kazi hay Kama mpira Uchawi...
  2. M

    Kitanzi chamng’ang’ania aliyeua walinzi wawili wa Kimasai

    Jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani, limebariki adhabu ya kifo aliyopewa mmoja wa mafundi waliokuwa wanajenga kituo cha kuuza mafuta Jijini Dodoma, Menroof Haule aliyewaua walinzi wawili wa kimasai. Hukumu ya kubariki adhabu hiyo imetolewa Februari 20, 2024 na majaji Augustine Mwarija...
  3. M

    Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

    Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi. Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu? Written by Mjanja M1 ✍️
  4. M

    Video: Wamasai wazichapa na Walinzi wa kawaida

    Hii ni video inayombaa kwa kasi mitandaoni ikiwaonyesha Wamasai wakipigana na Walinzi wa kampuni binafsi. Inasemekana kuwa hili tukio limetokea Zanzibar, lakini sababu ya ugomvi kati yao bado haijajulikana. Written by Mjanja M1 ✍️
  5. Ritz

    Spain Italia, Ufaransa zimekataa amri ya Marekani ya kuwa walinzi wa Bahari Nyekundu.

    Wanaukumbi.. Baadhi ya nchi hazijathibitisha ushiriki wao, hata hivyo, huku zingine zimesema juhudi zao za kusaidia kulinda trafiki ya kibiashara ya Bahari Nyekundu zitakuwa kama sehemu ya makubaliano yaliyopo ya jeshi la maji badala ya operesheni mpya inayoongozwa na Marekani.. Ukosefu wa...
  6. Christopher Wallace

    Huyu dada ni miongoni mwa walinzi wazuri duniani

    Huyu mdada ni mrembo sana, hongereni sana “piesiyu” kwa kumchagua amlinde mama yetu
  7. GENTAMYCINE

    Walinzi (Makomandoo) na Wapishi wa Simba SC mliokuwa zamu Derby ya Novemba 5, 2023 Albadiri itatulipia machungu yetu kwa usaliti wenu

    Jamaa kweli Walituweza kila Kona kuanzia kwa Wachezaji Watano ( japo Wawili Kipa na Fowadi wamesamehewa na Wengine Watatu wakilindwa ili Kutuzuga Mashabiki na huenda leo Wasipangwe au Wapangwa baadhi au Wakaishia tu Bench ) kisha wakaenda hadi kwa Viongozi Wawili ambao hawapatani Mmoja akiwa na...
  8. Baba Tee

    Mbwa wakali wa ulinzi (mali dutchie puppies)

    Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi Aina: MALI DUTCHIE DOG Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois Umri : 3.5months Bei: 300,000/- kwa mbwa mmoja wamekwishapata chanjo Walipo: Kigamboni-Kibada Mawasiliano: 0713621678 au...
  9. Webabu

    Mbwa wa Biden aondoshwa ikulu kwa kung'ata ovyo mpaka walinzi wake

    Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15 Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13. Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata...
  10. M

    Walinzi holela (jadi) Ni hatari kiusalama

    1. Ndugu zetu wafugaji wamejipambanua kwa kazi za ULINZI, USUSI na kuuza dawa asili Sasa kuwaajiri hawa rafiki zetu bila mkataba Wala.mafunzo Ni mtihani na hatari Kwa usalama wako. Anaweza kukutaka kichwa bila kuuliza yeyote. 2. Zaidi, wapo wanaojihusisha mapenzi ya Jinsia moja bila kinga wala...
  11. Z

    Wakubwa duniani ni kama miungu watu: Boss yuko ndani ya Benz, halafu walinzi wanakimbia kwa miguu kuilinda!

    Huyo ni Rais wa Korea ya kaskazini akivuka mpaka kwenda kukutana na Rais wa Korea ya Kusini.
  12. BigTall

    Walinzi wa Mlimani City wafanya mgomo wa kudai walipwe mishahara yao

    Nipo hapa Mlimani City ndani ya Jiji la Chalamila (Dar es Salaam), taarifa ikufikie kuwa vijana wa security yaani wale walinzi wanaovaa yale mashati maupe wameandaa maandamanonmadogo ya mgomo wa ndani ya jengo hilo, wanadai hawajalipwa mshahara, imekuwa kero, hiyo maandamano yasiyo rasmi...
  13. Masandawana

    Then & Now: Walipo kwasasa waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli

    Kuna ambao wamerudi kuendelea na majukumu ya ulinzi kwa viongozi wengine. Na kuna ambao wapo katika majukumu mengine ya kitaifa. Baadhi yao ni kama ifuatavyo; Huyu kwasasa ni mlinzi wa Naibu Spika Huyu mwingine ni Mlinzi wa Mizengo Pinda Na huyu mwingine yeye ni Mbunge wa kule Nkasi Huyu...
  14. Masandawana

    Then & Now: Walipo kwasasa waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli

    Kuna ambao wamerudi kuendelea na majukumu ya ulinzi kwa viongozi wengine. Na kuna ambao wapo katika majukumu mengine ya kitaifa. Baadhi yao ni kama ifuatavyo; Huyu kwasasa ni mlinzi wa Naibu Spika Huyu mwingine ni Mlinzi wa Mizengo Pinda Na huyu mwingine yeye ni Mbunge wa kule Nkasi Huyu...
  15. JanguKamaJangu

    Askari Polisi 6, Maafisa wa TFS wawili na Walinzi Binafsi 11 watuhumiwa kujeruhi Bodaboda na kusababisha vifo vyao

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji kwa kina askari wa Kampuni ya ulinzi PASCO LTD 11, Maafisa wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) wawili na askari Polisi 6. Kushikiliwa kwa watu hao kunatokana na tuhuma za kujeruhiwa kwa watu wawili ambao baadae walipoteza...
  16. JanguKamaJangu

    Walinzi wa Saudi Arabia washutumiwa kuua mamia ya wahamiaji wa Ethiopia

    Shirika la kutetea haki za binadamu – Human Rights Watch, limewashutumu walinzi wa mpakani wa Saudi Arabia kwa kuua mamia ya wahamiaji wa kiuchumi wa Ethiopia. Wahamiaji hao walikuwa wakijaribu kuvuka mapakani kutoka kwenye taifa lililokumbwa na vita la Yemen. HRW imesema takriban watu 655...
  17. JanguKamaJangu

    Polisi: Walinzi wa makampuni binafsi watumike sehemu zenye wageni wengi wakati wa Msimu wa NaneNane

    Maonesho ya wakulima ya Nanenane Kimataifa yanatarajia kufanyika mkoani Mbeya ambapo taasisi, mashirika ya serikali, mashirika binafsi na watu binafsi watashiriki katika maonesho hayo. Mataifa zaidi ya 30 yanatarajia kushiriki maonesho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale...
  18. BARD AI

    Mike Sonko kuchunguzwa kwa kutumia Walinzi 33 na kuwalipa Tsh. Milioni 68 ndani ya siku 22 akiwa Gavana

    Kamati ya Uchunguzi ya Bunge la Seneti Nchini Kenya imeitaka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kumchunguza Gavana huyo wa zamani wa Jiji la Nairobi kutokana matumizi mabaya ya Fedha za Umma. Sonko anadaiwa kuwalipa Maafisa 33 waliokuwa wakimlinda wakati akiwa Ziarani Jijini Mombasa...
  19. BARD AI

    Serikali yaondoa Walinzi wa Raila Odinga na viongozi wengine wa Upinzani

    Uamuzi huo unakuja muda mfupi baada ya Odinga kutangazia Wananchi kuwa wajiandae kwa Maandamano ya Kimapinduzi kuanzia Julai 19, 2023, Maandamano ambayo yamepata pia kibali cha Mahakama. Kwa mujibu wa taarifa, Askari 10 wanaomlinda Odinga na wengine wanaolinda Makazi yake jijini Nairoi, Kisumu...
  20. peno hasegawa

    Meya ashushiwa kipigo kikali kikaoni, aokolewa na walinzi wa Manispaa, akimbizwa hospitalini

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuber Kidumo amejikuta akichezea kichapo kikali kutoka kwa diwani mwenzake, Abuu Shayo, wakati akiendesha kikao cha Kamati ya Mipango Miji na Ardhi katika manispaa hiyo. Tukio hilo limetokea leo majira ya saa sita mchana mjini Moshi, wakati kamati hiyo...
Back
Top Bottom