Vituko na Burudani kufuatia kuachiwa kwa Mbowe

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
28,180
36,177
Kufuatia kuachiwa huru kwa Mh. Mbowe na watuhumiwa wenzake na yaliyofuatia hadi Ikulu, kwa ujumla kumeleta furaha kubwa nchini.

Heko Samia, Mbowe na wote waitakiao mema nchi hii.

Mshindwe na mlegee enyi mliojawa na nyoyo za ufedhuli ambapo kwenu, mema ndiyo maovu na maovu ndiyo mema.

Angalia vituko hivi kujiridhisha:

IMG_20220306_053509_333.jpg

IMG_20220306_053535_000.jpg

IMG_20220304_161122_491.jpg

IMG_20220306_055045_611.jpg

Yote kheri.

Tunajenga nyumba moja.
 
Zito bwana,ukiwa wa kwanza huwezi kutuliatu?
Kwani wewe ndio umemuamuru aende? Au wewe ndio unayetoa vibali kwa wanaoenda Ikulu?
Kwanini usiwe wa kwanza kwenda ndio akafuata Mbowe?
Je ingekuaje kama siku alipomuombea Mbowe msamaha angeachiwa kesho yake?
Ndio maana Zito unaitwa Ndumilakuwili
 
Ushauri mzuri akiuzingatia.

Tatizo kubwa jitihada kubwa mno zilizopitiliza za kubakia relevant.

Wanasema, chema chajiuza.
 
Zito bwana,ukiwa wa kwanza huwezi kutuliatu?
Kwani wewe ndio umemuamuru aende? Au wewe ndio unayetoa vibali kwa wanaoenda Ikulu?
Kwanini usiwe wa kwanza kwenda ndio akafuata Mbowe?
Je ingekuaje kama siku alipomuombea Mbowe msamaha angeachiwa kesho yake?
Ndio maana Zito unaitwa Ndumilakuwili
Unao uhakika kuwa yeye aliyasema hayo maneno?
 
Zito bwana,ukiwa wa kwanza huwezi kutuliatu?
Kwani wewe ndio umemuamuru aende? Au wewe ndio unayetoa vibali kwa wanaoenda Ikulu?
Kwanini usiwe wa kwanza kwenda ndio akafuata Mbowe?
Je ingekuaje kama siku alipomuombea Mbowe msamaha angeachiwa kesho yake?
Ndio maana Zito unaitwa Ndumilakuwili
Kwahiyo umeshindwa kabisa kujua hiyo Ni Photoshop?

Anyway, lazima watu wenye akili kama zenu muwepo ili wajanja wapige PESA.
 
Viongozi wa dini wanatumika tuu. Halafu wanatumika vibaya. Freeman Mbowe kaachiwa kwa shinikizo la mabwana wa ulaya na marekani. Sijui hizi mbwembwe nyingine ni kwa faida ya nani.
 
Mama yenu kabanishwa na "mabeberu", akaona yaishe tu. Watanzania tusingekuwa kondoo, huu ndio ulikuwa muda wa kuwakomalia waturudishie nchi yetu kwa Katiba Mpya sababu wako dhaifu sana muda huu.
 
Kwahiyo umeshindwa kabisa kujua hiyo Ni Photoshop?

Anyway, lazima watu wenye akili kama zenu muwepo ili wajanja wapige PESA.

Kuna popote penye kanusho lolote au hili ndilo la kwanza mkuu?

Yote kheri lakini. Tunajenga nyumba moja.
 
Ila hajaonekana kukanusha popote mjomba. Au hilo jukumu ndiyo kulibeba sasa?

Yote kheri lakini. Tunajenga nyumba moja.
Ukiwa kiongozi inabidi ujifunze kutokujibu kila jambo, Hangaya alishindwa kuwaambia BBC kuwa kwa sasa sina jibu, ninauhakika unajua matokeo ya majibu yake.
 
Kutelekeza si kuanguka. Aliwaamini wasioaminika ambao eti nao leo hawaamini:

IMG_20220306_053509_333.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
hzo zilikuwq mbinu za kumchosha mbowe sidhan km ataendelea trna na mambo ya katiba mpya sidhani
 
Bahati mbaya ni kuwa hii mbinu nayo imefeli big time.

Badala yake hitajio la katiba mpya kwa mtizamo sahihi wa CDM sasa limefikishwa mezani kwa mama siyo na afisa vipenyo, Sirro wala na ile timu pendwa ya wananchi bali na Mh. Mbowe mwenyewe akitokea jela.

Waangalie wengine. Hawa hapa:

IMG_20220306_053509_333.jpg
 
Back
Top Bottom