Hii nchi haiishiwi vituko, Kumbe watu wana hela za kuchezea

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,132
4,846
wakati mimi nalalamika bei ya mafuta ya kula kufikia 7500 kwa lita kumbe kuna watu wanachezea hela namna hii,


hawa naona wameamua kuanzisha derby


FB_IMG_16402388251953874.jpg



FB_IMG_16402388211667254.jpg



Hakika tumerudi zama za mbuzi kunyweshwa bia
 
Pesa ni makaratasi kazi yake ni kufanya kile roho inapenda after all ukizingatia kama hatukuwasaidia kuzitafuta tusiwasaidie kupanga matumizi...

Tatizo ni Matumizi yao isiwe kero..., Kipindi ambacho traffic ni kubwa na barabara ni kwa ajili ya watu wote na sio mtu kupeleka gari la watu 50 na zaidi linalochukua nafasi kubwa ukiwa peke yako ni matumizi mabaya ya mali ya jamii (barabara) hivyo kila mtu akidhani huu ni ufahari kufanya hivyo hata kama pesa ni zake atakuwa hanitendei haki mimi mpanda daladala either kuchelewa kufika sababu ya ongezeko la traffic au kukosa usafiri sababu wachache wamekodi magari ili waende peke yao
 
Back
Top Bottom