Hapo vipi?
Awali ya yote nadeclare yakwamba ni kisasi cha milele na shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake. Nije kwenye mada husika ya kwamba ninaposema hii vita kati ya mwanadamu na shetani sio sawa na haki ni kwasababu zifuatazo.
1. Vita hii mwanadamu ni kiumbe ambacho kwa namna...
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele.
Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa...
Wadau leo wacha nianze na hii story fupi kisha nitaingia moja kwa moja katika kuconnect story hii na mada tajwa hapo juu .
Ok let's start:),
Ilikua ni jioni tulivu katika kijiji cha Mazingira Salama, mkutano wa jamii ulikuwa umepangwa kujadili haki za wananchi chini ya Katiba ya Tanzania. Mzee...
Ni muda tena.
Katika tafuta tafuta zake akaje kunicheki na kuniomba ushauri kuhusiana na duka kiujumla duka la vyakula kama muitavyo nafaka.
Maswali aliyouliza. Je, kuanzisha biashara ya kuuza unga, mchele, mafuta, maharage nk inahitaji awe na nini (Vibari gani kisheria)
Anamaanisha je...
Mara nyingi viongozi wakigusiwa jambo hili hutoa wito kwa mashirika mengine ya umma kuongeza ubunifu na uzalishaji ili nao walipane vizuri.
Kuna mashirika ya umma
Kuna taasisi za umma
Kuna wakala wa serikali.
Kuna Mamlaka za udhibiti na usimamizi.
Kuna bodi mbalimbali
Kuna tume mbalimbali...
Salaam shalom!!!
Mtu na asikudanganye, Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke,
Lakini hakuna usawa kati ya Mke na Mume.
Kabla ya NDOA, mtoto wa kike atakuwa chini ya uangalizi wa familia, Baba akiwa kiongozi mkuu Hadi pale atakapokuwa tayari kuingia katika NDOA na kuwa mke wa mtu Mume...
Tusidanganywe na lugha zenye hadaa nyingi za wabunge wetu wanaojadili miswada ya sheria za Uchaguzi. Hawana nia njema kwa nchi
Hawana maono mema kwa nchi
Hawana huruma kwa nchi.
Kinachojulikana sasa ni kwamba, Serikali na Chama cha Mapinduzi ni wamoja dhidi ya uhalali, haki na wajibu kwa...
Tufike mahali tuvunje ukimya:
1. Kuzitambua jitihada za kupigiwa mfano za watu wengine ni jambo la kistaarabu.
2. Vita vya kupigania haki, usawa, uhuru, demokrasia na maendeleo ni vita vya kudumu.
3. Nani asiyeyapenda au kuyahitaji matano hayo?
4. Manne ya mwanzo ni ya msingi zaidi...
Serikali hii ya CCM ina mambo ya ajabu sana. Ni aibu kwa serikali inayojinasibu kuzingatia usawa kufanya uhuni wa kiwango hiki. Sijawahi kuona serikali yenye ubaguzi mkubwa kwa wananchi wake hapa ulimwenguni kama serikali ya CCM.
Katika uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha kwanza...
Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe.
Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati mwingine mikopo.
Alipokuwa neutral kwenye online TV alipata wafuasi na mafanikio yakaonekana. Soon...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada mbalimbali zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia.
Mhe. Mwanaidi ameyasema hayo Oktoba 29, 2023 wakati wa maadhimisho ya...
Sheria na sera zinazoendeleza usawa wa kijinsia ni msingi wa mabadiliko katika jamii. Nchi zinazoongoza kwa kuwa na sheria zinazolinda haki za wanawake zinapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya unyanyasaji wa kijinsia. Kwa mfano, nchi zilizo na sheria dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia katika ndoa...
Katika ulimwengu wa leo, mjadala kuhusu usawa wa kijinsia umekuwa na umuhimu mkubwa zaidi kuliko wakati wowote ule. Wanawake wameonesha uwezo mkubwa katika nyanja zote za maisha, na kwa hivyo, kuna haja kubwa ya kuwapa nafasi sawa katika uongozi wa kisiasa, serikali, na biashara.
Ni muhimu...
Kampuni yenye ofisi zake jijini Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatafuta wanawake 10 wa kushusha lori 4 za saruji. Yaani kwa siku ni kushusha saruji kwenye malori manne. Hii ajira ni ya kudumu. Changamkieni fursa kina dada.
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUIMARISHA USAWA WA KIJINSIA
Utangulizi
Usawa wa kijinsia ni moja ya malengo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kuimarisha taifa kwa ujumla. Ili kufanikisha lengo hili, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu yanayohitajika...
Utawala bora ni lengo linalotamaniwa na kila jamii inayotamani maendeleo na ustawi. Ni msingi wa uongozi unaojali haki, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Kuleta mabadiliko katika nyanja zote za utawala bora ni changamoto kubwa, lakini pia ni fursa adhimu kwa...
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Sarah Mwaipopo ameiwakilisha Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango mjini Songea yenye kauli Mbiu isemayo...
Takwimu nyingi sana zimefanyika kuonesha idadi ya wasomi wenye sifa za kupata ajira zimeongezeka kwa kasi kubwa sana mwaka hadi mwaka na hii imepelekea awsomi kuwa wengi sana mitaani huku idadi ya wanaopata ajira za kudumu au za muda mfupi katika serikali kuwa ni chache kulingana na idadi ya...
Sera ya Taifa ya TEHAMA ya Tanzania (2016) inasasisha mkakati wa serikali wa 2003. Inalenga kuimarisha uongozi na kukuza mtaji wa watu katika nyanja hii, huku ikipanua utoaji wa mtandao wa kutegemewa.
Kuanzia mwanzoni mwa 2021, kuna mipango ya kuanzisha shirika la uidhinishaji kwa wataalamu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.