halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kanisa la wasabato ndio pekee linalofata neno Maana halisi ya Mke wa ujana wako. Ndoa zifungwe wote mkiwa wadogo

    Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo. Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na...
  2. Majok majok

    Hii ni Yanga sio Simba, maana ya Kikosi kipana ndio hii! Hakuna Pacome, Aucho na Yao, unatoa sare na Mamelodi iliyokamilika kila idara

    Baada ya kikosi kinachoanza kutoka Leo Kuna mbumbumbu wengi walianza kushangilia na kupiga miluzi kwenye vibanda umiza wakisema yanga anachakazwa goli za kutosha Leo! Baada ya kutomuona pacome, yao yao na aucho, lakini wakashindwa kujua ya kwamba yanga inacheza kitimu zaidi na sio kutegemea...
  3. U

    Just Imagine Yanga imecheza bila key players na imetoa Draw kwa Mamemlodi, Ndio maana halisi ya kikosi kipana

    Nilipokiona kikosi hakina key platers kina Aucho, Yao na Pacome niliwacheka sana Yanga kwamba wamevamia mtumbwi wa vibwengo, Nilikdiria hazipungui nne 4G ila mambo yamekuwa tofauti. Japo mmecheza kwa kupaki basi na kuzidiwa possesion tena nyumbani 😂 ila mmeweza kuzuia aibu ya kufungwa, salute...
  4. Maleven

    Kuna wakati unahisi kama vile ni ndoto ila sio ndoto, ndiyo maisha halisi

    Kuna muda kila kitu kina kua shakarabaghara. Uchumi Mahusiano Basi tu
  5. NostradamusEstrademe

    Maana halisi ya Futari na daku

    KWA HISANI YA USTAADH Etugrul Bey Kuna post moja nimeiyona ingawa ilikuwa inazungumzia kwaresma lakini mwandishi wa post hiyo alikuwa na lengo la kukashifu dhana nzima ya Futari na Daku. Kwake yeye Kwa mujibu wa Imani yao wanakula chakula chochote kile tofauti na watu wa Imani nyingine ambayo...
  6. Mr Dudumizi

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani. Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia madarakani, haikupita hata miezi sita akaanza pangua pangua ya viongozi wakubwa pale ikulu akiwemo aliekuwa...
  7. Makox

    Hali halisi ya ajira ya Ualimu Tanzania

    KUMBUKUMBU Ni heri kukumbuka kwa kuwa tunao ubongo, mwezi march 2013 ndipo ilianza safari, ni safari ya Abunuasi ya kusubir kustaafu! Naacha ndugu zangu, na mali zao za thamaniiii, mashamba na vinyungu nikiwa ni mwenye nguvu. Siendi tena site kwenye kazi zangu za ujenzi kwa Santona naachana na...
  8. Uzalendo wa Kitanzania

    Rais Samia ndiye Profesa halisi wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika Unapozungumzia Viongozi walioleta mabadiliko makubwa ya kisiasa kwenye nchi zao duniani nina hakika jina la...
  9. Buhaya Empire

    Sipendezwi na picha halisi ya twiga katika ndege za atcl

    Habari, Bila kupoteza muda niseme tu kwamba binafsi kama mtanzania, nakerwa na kuchukizwa sana na picha halisi ya Twiga iliyopo katika mkia wa ndege katika kila ndege ya Shirika la ndege la Tanzania ATCL. Sipendezwi na uamuzi huo wa kuweka picha halisi ya mnyama (Twiga) isiyokuwa na ubunifu...
  10. Heparin

    SI KWELI NHIF yarejesha utaratibu wa kusajili watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi

    Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi. Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
  11. Colgate3

    Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

    Tutanyanyaswa hadi akili itukae. Tutanyanyaswa hadi tujitambue. Tutanynyaswa hadi Elimu itakapotusaidia. Nchi iko gizani tuko kimya. Kazi maofisini zinafanyika kwa kudra ya Tanesco, wakiamua wanakata, au wakupe umeme kwa muda wao. Tuna Rais ambaye hakemei huu ujinga, hachukui hatua za...
  12. Mjanja M1

    Video: Hii ndio maana halisi ya Fear Women

    Wanawake sio watu wa mchezo mchezo, kuwa makini sana na kiumbe kinachoitwa Mwanamke. ANGALIA VIDEO HAPA
  13. K

    Walimu wa kisasa kwaya za ibada za kikatoliki wanaua ladha halisi ya ibada za kikatoliki

    Zamani ilikuwa kwaya za kiibada zinavutia na kusisimua lakini wamekuja vijana wa hovyo wanajiita walimu wa kwaya yaaji Wana edit kila kitu mwisho wa siku kwaya za ibada hazigusi mioyo na kusisimua, ilikuwa kawaida mwanakwaya wa Bukoba kuimba kwaya Mtwara bila shidaa yoyote ila sasa ni ngumu...
  14. C

    Kama Mtanzania halisi nazitakia kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC katika kundi letu

    Yaani Morocco ina mastaa wake wa maana huku Zambia ina akina Chama na Musonda na kule Congo DRC kuna akina Inonga na Mayele halafu nipoteze muda wangu kuishabikia CCM au serikali Taifa Stars? Kila la kheri Morocco, Zambia na Congo DRC pale tu wakiwa wanacheza na Taifa Stars.
  15. Kinumbo

    Pata maziwa ya ng'ombe halisi kabisa

    Wakuu natumai mko njema kabisa. Kwa wakazi wa Dar es salaam nawasogezea huduma hii adhimu kabisa. Natoa huduma ya kuuza maziwa ya ng'ombe halisi kabisa, ni maziwa ya ng'ombe OG. Namanisha kuwa ni maziwa halisi yasio kuwa ata na tone la maji, ni maziwa ambayo ng'ombe anakamuliwa kisha unaletewa...
  16. Nehemia Kilave

    Nadhani kama Mbatia ,Mnyika na Lissu wataunda Chama basi hiki ndicho kitakuwa Chama halisi cha Upinzani

    Kiuhalisia ukitoa wana harakati kama kina Mdude ,Mwabugusi na wengine wachache nchi inabaki na watu wachache sana ambao ambao wazalendo wa kweli na mioyo yao kila siku hunena mema kuhusu Tanzania . Lisu , Mbatia na Mnyika ni moja ya watu makini sana na wazalendo Tatizo hawana nguvu za kichama ...
  17. Nigrastratatract nerve

    Dozi 24 za kuzuia watoto wetu wa kiume wasiharibikiwe

    Dozi 24 za Kuzuia Watoto Wetu wa Kiume kuwa Mashoga! Denis Mpagaze _________________________ Ushoga unakuja kwa kasi sana! Wahanga ni watoto wetu wa kiume. Unajua kwa nini? Ni kwa sababu tumewatelekeza watoto wa kiume. Nguvu nyingi tumeelekeza kwa watoto wa kike. Kuwainua watoto wa kike ni...
  18. Kiboko ya Jiwe

    Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki tuijue

    Kuna hii Tanzania ambayo utaikuta kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu. Na kuna Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki ifundishwe mashuleni. Tafakari haya matukio machache huenda utaiona hiyo Tanzania halisi. 1. Mama mmoja alifungwa miaka 22 kwa kosa la kukutwa na kg 1 ya nyama ya swala...
  19. S

    Hata Wapalestina wenyewe wameshinda kuelezea Historia yao halisi

    Kutoka Tovuti Rasmi ya Mamlaka ya Palestina, Nchi takatifu imeeanza kukaliwa tangu miaka 6000 iliyopita lakini cha ajabu wameshindwa kusema wao wanaundugu na watu gani wa enzi hizo https://travelpalestine.files.wordpress.com/2014/11/motaguide.pdf
  20. Mfilisiti

    Imani hizi! Je, unajua kanisa linaitwa "Chanzo halisi?

    Leo baada ya kifurushi changu DStv kukata (mpira), nikashawishika kucheki hizi chanel za ndani, ile naweka star tv nakutana na kanisa linajiita "Chanzo halisi" Cha kushangaza wanatumia bibilia ile ile Wanaenda kuhiji kigoma, ndugu msomaji ni kigoma hii hii ya karibu na burundi😂😂 Na huyo...
Back
Top Bottom