papa francis

Francis: Pray for me (Spanish: Francisco – El Padre Jorge, lit. 'Francis – Father Jorge') is a 2015 Argentine film, starring Darío Grandinetti as Pope Francis. The film is based on the 2013 book, Pope Francis: Life and Revolution, which was written by Francis' close friend Elisabetta Piqué who is also a correspondent for the Argentine newspaper, La Nación in Italy and the Vatican since 1999. The film was released as Papa Francisco: The Pope Francis Story in the Philippines.

View More On Wikipedia.org
  1. Mama Amon

    'Dignitas Infinita': Misingi kumi ya ubinadamu kutoka kwenye mapokeo ya Kikristo iliyotajwa na Papa Francis inawafaa Watanzania kwa kiasi gani?

    I. Usuli Ujumbe mkuu wa waraka wa Vatican uitwao "Dignitas Infinita" unaweza kuwasilishwa kwa asilimia kubwa na nukuu zifuatazo: “[Human dignity] underlies the primacy of the human person and the protection of human rights…” (Dignitas Infinita, para 1). "[It is] fully recognizable even by...
  2. sanalii

    Papa Francis asema wanachokifanya Israel ni ugaidi

    My take: 1. Kwa sasa najikita katika haki za binadamu tu, as long as mtu hamdhuru mtu mwengine, kesi yake namuachia mwenyewe na Mungu. 2. Watu weupe hasa wa magharibi wana utu sana na wanajitahidi kutumia logic, hisia za dini haziwapeleshi. 4. Waafrika wengi wanaroho mbaya sana na...
  3. JanguKamaJangu

    Ukraine yapinga ombi la Papa Francis kujadili kusitisha vita na Russia

    Ukraine Jumapili ilipinga wito wa Papa Francis wa kujadili kusitisha vita na Russia, huku Rais Volodymyr Zelenskiy akisema Papa alikuwa akifanya “upatanishi kwa mbali” na waziri wake wa mambo ya nje akisema Kyiv haitasalimu amri. Francis alisema kuwa wakati mambo yanaelekea kubaya kwa pande...
  4. Chachu Ombara

    Padre Godfrey Jackson Mwasekaga ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Mbeya

    Baba Mtakatifu Fransisko amemteua mheshimiwa sana Padre Godfrey Jackson Mwasekaga wa Jimbo Kuu katoliki la Mbeya kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Mbeya , leo tarehe 09.03.2024 Mhashamu Askofu mteule Godfrey Jackson Mwasekaga alizaliwa Machi 17 mwaka 1976 Kyela, jimbo kuu Katoliki la Mbeya...
  5. MK254

    Rais Samia kukutana na papa Francis, ambapo watajadili mchango wa kanisa kwenye maendeleo ya Tanzania

    Kanisa katoliki lina mchango mkubwa sana Tanzania na Afrika, limewekeza sana kwenye elimu na vituo vya afya. ============= Tanzania President Samia Suluhu Hassan is set to visit the Vatican next month, shortly after a trip to Indonesia in southeast Asia and later a tour of Norway in northern...
  6. B

    Papa Francis Amualika Rais Wa JMT Dr Samia Suluhu Nchini Vatican 11-12 Feb 2024

    Hayo yameelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano africa Mashariki Mh January Makamba. Hata hivyo taarifa hiyo haijaeleza kama lengo na madhumuni ya Mwaliko huo. Wapo watu wanajiuliza kama Ni Mwaliko kutoka Vatican au Tanzania ndio imeomba kualikwa...
  7. M

    Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January...
  8. T

    Papa Francis ashauri kitendo cha wanawake kubebeana mimba kipigwe marufuku Duniani kote.

    Kiongozi wa kiroho wa kanisa katoliki Duniani baba mtakatifu papa Francis ametoa wito wa mataifa yote ulimwenguni kupiga marufuku kitendo cha wanawake kubebeana mimba ama 'surrogacy mothers' Baba mtakatifu amasema kubebeana mimba ni kinyume cha mapenzi ya Mungu na inapaswa kupiga marufuku hicho...
  9. Teslarati

    Padre wa Kanisa Katoliki Italia afukuzwa baada ya kuhubiri kwamba Papa Francis ni 'Masonic' na 'Anti-pope'

    Fr. Ramon Guidetti wa Italy amefukuzwa tar 3 January 2024 baada ya kuhubiri kwamba papa francis anakinajisi kiti cha Mtume Petro (anti-pope) na anatimiza matakwa ya wapinga Kristo. Hio ilitokea alipokua anahubiria tarehe 31 December 2023 siku iliokua ni kumbukizi ya kifo cha Papa Benedicto wa...
  10. Huihui2

    TEC toeni msimamo kama wa Nigeria na Ghana kuhusu kauli ya Papa Francis

    Mabaraza ya Maaskofu wa Katoliki huko Nigeria na Ghana pia wamesema hawatatoa baraka zozote kwa wapenzi wa jinsia moja. Kiuhalisia waraka wa Papa Francis umezua taharuki sana, Papa John Paul II na Benedict XVI hawakuwahi kuyumba wala kutoa matakamko ya kuzua taharuki kiasi hiki
  11. B

    Papa Francis, Lissu, machampioni halisi wa haki, usawa na uhuru duniani

    Tufike mahali tuvunje ukimya: 1. Kuzitambua jitihada za kupigiwa mfano za watu wengine ni jambo la kistaarabu. 2. Vita vya kupigania haki, usawa, uhuru, demokrasia na maendeleo ni vita vya kudumu. 3. Nani asiyeyapenda au kuyahitaji matano hayo? 4. Manne ya mwanzo ni ya msingi zaidi...
  12. sky soldier

    Afrika inalaani na kukemea: Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki nchini Nigeria nao wameungana na Malawi, Kenya, Zambia kuhoji waraka wa Papa Francis

    Wenye dini yetu ndio tupo mstari wa mbele kuhoji, YES!! Afrika ndio sehemu yenye wakatoliki wengi zaidi duniani na hatuwezi kukubaliana na huu waraka unaoenda kinyume kabisa na maadili yetu, Pongezi ziende kwa nchi za Afrika ambazo zipo mstari wa mbele kututetea waumini, Walianza Malawi, akaja...
  13. Webabu

    Papa Francis asema Israel ni magaidi walioua wafuasi wake ndani ya kanisa Gaza

    Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa. Kiongozi huyo akaendelea...
  14. ChoiceVariable

    Papa Francis amtimua Askofu anayempinga kuhusu kuruhusu ndoa za jinsia moja, kutoa mimba na waliobadili jinsia

    Ikumbukwe huyu Papa wa Vatican anaeongoza Kanisa la RC almaaufu Kanisa Takatifu la Mitume kama wanavyojiita wao ameamua kuwaburuza wenzake wafuate msimamo wake. Baadhi ya mambo ambayo anataka Kanisa lake lifuate ni - Kuwatambua Mashoga bila kukemea akisema wenye dhambi ndio wanatakiwa kwenda...
  15. Mr Why

    Papa Francis hapaswi kukosolewa dhidi ya uamuzi wake juu ya LGBTQ

    Ufafanuzi kuhusiana na uamuzi wa Papa Fransis kuwakaribisha wapenzi wa jinsia moja katika kanisa Katoliki. Watu wengi duniani hasa dini ya Kiislamu, Wahindu na wengineo wamekuwa wakituhumu Imani ya Kikristo pamoja na kiongozi wetu Papa Fransis kana kwamba dini zao zinawaumini Watakatifu pekee...
  16. M

    KWELI Papa Francis alikataliwa ombi la kwenda Urusi kuzungumza na Rais Vladimir Putin kuhusu Ukraine

    Nimeona mtandaoni kuwa Papa Francis amepigwa stop kwenda Urusi kukutana na Putin Kwa ajili ya mazungumzo. Je, kuna ukweli wa taarifa hii?
  17. Mrao keryo

    Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

    Baba mtakatifu Francisco leo tarehe 19.10.2023 amemteua padre Jovitus Fransis Mwijage wa jimbo Katoliki Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo hilo. Ikumbukwe Askofu wa Bukoba aliyekuwepo, Desiderius Rwoma alistaafu kwa mujibu wa sheria za Kanisa kutokana na umri. Pia kwa sasa Jimbo Katoliki Bukoba...
  18. Kingsmann

    Papa Francis: Suluhu ya amani ipatikane Niger

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ameelezea matumaini yake ya kupatikana kwa suluhu ya amani katika mgogoro wa Niger kufuatia mapinduzi ya Rais yaliyofanyika katika Taifa hilo la Afrika Magharibi. DW Kiswahili imeripoti kuwa Papa amewaambia Waumini katika uwanja wa St Peters...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mapokezi ya Mhashamu Askofu Mkuu Protase Rugambwa aliyeteuliwa na Papa Francis kuwa Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora

    Ifucha, Tabora Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Leo tarehe 25 Juni, 2023 ameungana na Waumini wa Kanisa Katoliki kushiriki adhimisho la Misa Takatifu ya kumpokea Mhashamu Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa alieteuliwa na Baba Mtakatifu , Papa Francis kuwa Askofu Mkuu...
  20. BARD AI

    Papa Francis kufanyiwa Upasuaji wa Ngiri leo Juni 7, 2023

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis atafanyiwa upasuaji wa tumbo lake leo Jumatano Juni 7, 2023 alasiri katika hospitali ya Gemelli ya Roma. Anatarajiwa kukaa hospitalini kwa "siku kadhaa" ili kupata nafuu kutokana na upasuaji wa Ngiri, Vatican ilisema. Hernia "inasababisha...
Back
Top Bottom