Takriban Nchi 16 zakabiliwa na uhaba wa Chanjo ya Kipindupindu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
AFYA: Nchi za Zimbabwe, Malawi na Msumbiji zinakabiliwa na uhaba wa Chanjo za Kipindupindu huku Ugonjwa huo ukiwa umeathiri takriban Watu 96,000 na kusababisha Vifo zaidi ya 1,600 katika Nchi hizo.

Taarifa ya Madaktari Wasio na Mipaka (DWB) imeeleza kuwa uhaba huo umeathiri zoezi la Chanjo katika Nchi 16 za Afrika na hivyo kuvisisitiza Viwanda kuharakisha uzalishaji ili kupunguza athari zinazoendelea kuongezeka kutokana na maambukizi.

Nchi nyingine iliyotajwa kuathirika zaidi na Kipindupindu ni Zambia ambayo takwimu zinaonesha hadi sasa zaidi ya Watu 700 wamefariki kutokana na Ugonjwa huo.

============

The vaccine shortage comes as southern Africa battles a protracted cholera outbreak which has killed 700 people in Zambia alone.

Medical charity Doctors Without Borders said that the shortage has affected its teams trying to respond to outbreaks in more than 16 countries.

Public health experts have urged manufacturers to speed up the production of the oral vaccine. All drugs currently in production have already been booked.

In January, Zambia rolled out a UNICEF-backed campaign to vaccinate 1.5 million people against cholera. The outbreak which started in 2023 has now spread to all regions of the country, forcing authorities to convert a stadium into a treatment centre and to delay the reopening of schools.

According to Save the Children, cholera cases increased fourfold in Malawi, Zimbabwe, and Mozambique from 2022 to 2023.

The number of infections rose from 26 250 to over 95 300, with more than 1 600 deaths in the three nations, making it one of the worst cholera epidemics in decades.

AFRICA NEWS
 
Back
Top Bottom