uhaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadiz

    Uhaba na Ubaguzi kwenye Pesa itakuwa nguzo kuu ya anguko la CCM miaka michache ijayo

    Nguvu ya kiuchumi inabeba ushawishi mkubwa sana katika nyanja mbalimbali za maisha hapa Duniani. CCM itavugika tu pale tu pesa itakapokuwa ni taabu miongoni mwao hasa ubaguzi wa fursa za kiuchumi Nawaibia siri tu shida za kiuchumi, fursa za kiuchumi na kipesa ndani ya CCM ndio silaha kubwa...
  2. BARD AI

    Muhimbili yakabiliwa na uhaba wa damu

    Wakati ikiwa na uhitaji wa chupa 150 za damu kwa siku, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imekua ikikusanya chupa 35 mpaka 60 pekee hali inayochangia uwepo wa uhaba wa damu hospitalini hapo. Makundi yaliyotajwa kuwa hatarini zaidi ni yale yenye idadi ndogo ya watu yaani asilimia 1 ya Watanzania...
  3. Erythrocyte

    Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

    Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari. Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
  4. Mwl Athumani Ramadhani

    Tatizo sio uhaba wa umeme nchini. Tatizo kuu ni mazoea tuliyojijengea

    Kama Taifa tumejijengea mazoea mabaya na yanatuumiza wenyewe! Mazoea ya kuwa maji ndio chanzo KIKUU cha umeme kwenye Taifa ndio yanatuumiza,ni nani alituloga!!? HIVI hapa nchini maji pekee ndio chanzo cha umeme!? Ina maana ukame ukitokea tu umeme wa kipimo na hakuna namna nyingine ya kufanya...
  5. R

    Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka bandari ya Mombasa kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki

    Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky. Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na...
  6. MK254

    Urusi yakumbwa na uhaba wa mafuta, ilhali ndio inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta

    Japo inaongoza kwenye uzalishaji wa mafuta lakini vinu vyake vimekumbwa na matatizo, haviwi maintained, na anguko la hela ya Urusi yaani ruble kumechangia pakubwa...... Hawa wazungu wa Urusi sijui kwanini waliingia kwenye huu uzombi, walikua vizuri sana, wamekua kama waarabu sasa. Empty...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Uhaba wa dola unaweza kuangusha biashara: Deogratius Temba, Mfanyabiashara

    "Wakati ule tunaanza kuagiza bidhaa nje ikiwemo magari, kwa mwaka 2010 dola tulikuwa tunanunua kwa shilingi 1530 mara ya kwanza kabisa wakati naanza kuagiza bidhaa nje ya nchi, baadaye ikapanda ikaenda 1600 lakini leo tunazungumzia kwenye 2550," Deogratius Temba, Mfanyabiashara "Benki wanauza...
  8. anti-Glazer

    Jiji la Dar es Salaam lakubwa na uhaba was Maji.

    Ni mawiki Sasa mji mzima sehem za milima milima maji hakuna. Hakuna kwenda toilets. Yaani ni mwendo wa kunawa. Tunakoelekea watu watafunga. Alichosema mh waziri wa tamisemi ni sawa kabisa viongoz wanajifungia maofisini
  9. K

    Ushauri: Kwako Waziri wa Nishati, Tumia mkakati huu kama mpango wa dharula kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Kwa kuwa Waziri wa Nishati umepewa na jukumu la kuratibu shughuli za serikali ukiwa kama Naibu Waziri mkuu, ninaamini jukumu hilo limekuja kipindi sahihi na linaweza kukusaidia katika majukumu yako kama Waziri wa nishati hususani kipindi hiki cha uhaba wa mafuta. Kwanza ninakushauri, katika...
  10. ChoiceVariable

    Mbunge Luhaga Mpina Alia na Uhaba wa Dola

    Serikali ilete majibu ya pesa Tilioni 280 zimeibwa na nani? My Take Tukiwa na wabunge wadadisi kama Mpina Nchi itanyooka tuu. --- MBUNGE LUHAGA MPINA ALIA NA UHABA WA DOLA "Sekta ya fedha hapa nchini na kwa ukanda wa SADC tunategemea dola, dola hakuna na zimeadimika. Wafanyabiashara hawapati...
  11. Vladivostok

    Dangote watangaza ongezeko la bei Ya cement uhaba wa dola watajwa.

    Kampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement ilipanda julai mosi kwa ongezeko la shilingi 2000 baada ya serikali kuongeza kodi katika bajeti ya...
  12. ACT Wazalendo

    Mchinjita: Serikali Imefeli Kuondosha Uhaba wa Petroli na Diseli

    Utangulizi Itakumbukwa kwamba tarehe 2 Agosti 2023 Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitangaza bei mpya za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa. Bei hizo ziliibua malalamiko na vilio kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, kutokana na kupaa...
  13. Msanii

    Uhaba wa Dola nchini: Badala ya kutupiana lawama tutafute mwarobaini. Tuishauri serikali

    Umofia kwenu. Mengi yamesemwa kuhusiana na hili sakata la upungufu wa dola nchini. Kimsingi Dola ya Marekani ndiyo inatumika kama fedha ya kununua bidhaa za kimataifa. Mojawapo ya bidhaa hizo ni pamoja na mafuta ghafi ambayo yanashikilia sehemu muhimu ya mfumuko wa bei nchini. Nasema yapo...
  14. Pascal Ndege

    Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani

    Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali. Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...
  15. Yericko Nyerere

    Uhaba wa Mafuta na Dola, nashauri Rais atumie fursa ya Mkutano wa Afrika na Urusi

    Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini. Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
  16. Artifact Collector

    U.S Federal Reserve wakiadopt expansion monetary policy uhaba wa dola uliopo dunian utaondoka

    Baada ya corona kuisha kulikua na inflation kubwa dunian marekani kupitia federal reserver waliamua ku-implement contraction monetary policy kwa kuongeza interest rate ili kupunguza fedha kwenye mzunguko na hatimaye kupunguza inflation Madhara ya contraction monetary policy Kuongeza riba ya...
  17. U

    Serikali iruhusu kilimo cha bangi na ipunguze masharti ya uingizaji wa fedha nchini ili kukabili uhaba wa dola

    Kwanza Niwaambie nyie wananchi inawezekana ndani ya Miezi sita ijayo Kwa hali inavyoendelea fedha zenu mlizoweka bank na kwenye vibubu zitashuka thamani na zitakukuwa na uwezo mdogo wa kufanya manunuzi. Hali hii inatokana na Shilingi ya Tanzania kuendelea kushuka thamani kadri siku...
  18. JanguKamaJangu

    Uhaba wa mafuta unaisogelea Dar, bei ya Petroli kwa Kibaha yapanda kutoka Tsh. 2,700 hadi 3,700 ghafla

    Changamoto ya uhaba wa Petroli sio jambo geni tena kwenye masikio ya watu hapa Bongo, lakini binafsi nilikuwa sijaona changamoto hiyo kwa Dar na maeneo ya karibu na Mji huo. Kila siku tumekuwa tunasikia mikoani tu kuwa uhaba wa mafuta na mara bei inapanda, inadaiwa kuna mgomo wa kimyakimya...
  19. Elli

    Uhaba wa Mafuta unazidi kutisha

    Sio Siri Tena, Hali ni tete huku Mkoani. Natokea Tanga - Mombo, hakuna Mafuta ya petrol, nasikia Hadi Same! Wenye nchi wanasema Mafuta yapo, anyway huenda Mafuta yapo hatutaki tu kujaza! Ila athari zake Kwa uchumi ni kubwa. Hili nalo Kamati ya CCM itoe tamko watume timu mikoani ikawaelimishe...
  20. R

    SoC03 Uhaba wa dawa na vifaa tiba ni kilio kikubwa kwa jamii ni vyema serikali kuhakikisha hali hii inakoma

    UHABA WA DAWA NA VIFAATIBA NI KILIO KIKUBWA KWA JAMII NI VYEMA SERIKALI KUHAKIKISHA HALI HII INAKOMA Utangulizi Uhaba wa dawa na vifaatiba kwenye hospitali, zahanati na vituo mbalimbali vya afya zikiwemo za serikali hapa nchini. ni hali ambayo kwa kweli bado imekuwa ni changamoto kubwa kwenye...
Back
Top Bottom