tatizo la umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nigrastratatract nerve

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
  2. D

    Pamoja na mtambo no 9 kuwashwa, na kuwekwa, megawati 235, tatizo la umeme lazidi kuongezeka Tunduru

    Hali ya umeme, kukatika kila saa imeendelea kuwa tatizo gumu na mfupa mgumu katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma licha ya, Serikali juzi kutangaza kuwasha mtambo no 9 na kuweka megawatt 235 katika gridi ya Taifa. Baadhi ya, wakaazi wa Tunduru wameonyesha wasiwasi wao mkubwa kwa shirika la...
  3. U

    Tatizo la umeme pekee linaweza kuiangusha serikali hii

    CHADEMA kuweni wepesi wa kunusa na kujua ishu rahisi ambazo ni kero kwa wananchi na mzitumie ipasavyo ku - instigate hasira kwa wananchi ili waichukie na waingushe serikali hii haramu kupitia maandamano yanayoendelea nchi nzima.. Umeme kwa sasa ndiyo kero namba moja kubwa Kwa sasa...
  4. R

    Ni wajibu wa TANESCO kutoa fidia pale Tatizo la Umeme linaposababisha hasara, umewahi kudai fidia hiyo?

    Wakuu kwema? Kulingana na Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa TANESCO, mteja ukipata hasara kutokana tatizo la umeme, TANESCO inatakiwa kumfidia mteja huyo. Kipengele hiki kinasema; "Kuwafidia wateja pale ambapo tatizo la umeme limesababisha uharibifu wa mali baada ya kuwa imehakikishwa kwamba...
  5. R

    Makonda alivae tatizo la umeme Nchini. Mie nadhani ndiye kiongozi pekee CCM anayeweza kuwatepetesha TANESCO

    Makonda nguvu yako inaitajika kwenye swala ukataji wa Umeme. Kama kweli unamoenda Mama msaidie kwenye ili awa jamaa wanamdanganya. Hawawezi wakawa wanakuja na sababu tofauti kila siku. Ni uwongo
  6. R

    Rais akielekeza vyombo vya dola umeme usikatike hautakatika kizembe; naamini wanahitaji maelekezo tu wakamate walanguzi

    Hii nchi miaka mingi wizara ya Nishati imekuwa ikihujumiwa pale anapoteuliwa Waziri mwenye malengo ya madaraka ya juu zaidi ya uwaziri. January hakupenda kuondolewa kwenye nafasi ile kwa sababu aliondoka akiwa amefeli . Doto amepewa hii nafasi na imemfanya aonekane kama Waziri asiye na mikakati...
  7. U

    Uhaba wa umeme nchini: Kwanini serikali ya CCM chini ya Marais wao watatu Kikwete, Magufuli na Samia imeshindwa kupata Suluhu ya kudumu?

    1. Tatizo lilianza seriously wakati wa utawala wa Jakaya Kikwete (2005 - 2015). Alijaribu kulitatua lakini serikali yake haikuwa na nia ya kutatua bali viongozi wa serikali kutumia tatizo hilo kufanya ufisadi ili kuiba pesa ya umma tu. Rejea kashfa ya Richmond. 2. Tatizo hili limedumu kwa...
  8. Mwizukulu mgikuru

    RC Batilda Buriani tatizo la umeme Tabora hulioni?

    Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita. Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili...
  9. voicer

    Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

    Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...
  10. Erythrocyte

    Tatizo la Umeme ni kielelezo cha kushindwa kwa CCM

    Tangu IPTL, RICHIMOND, DOWANS, PAP, Gesi ya Mtwara na migawo yote unayoijua, lakini bado tatizo halijaisha Huu ni ushaidi wa wazi wa kushindwa kwa ccm kuwasaidia Wananchi. Nashauri iondolewe Madarakani
  11. Etwege

    Mbunge alia kukatika katika kwa umeme mbele ya Rais Samia

    Dar es Salaam. Mbunge wa Nanyumbu (CCM), Yahya Mhata amemweleza Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme katika wilaya ya Nanyumbu pamoja na gharama kubwa ya kuunganisha umeme. Mbunge huyo ameeleza hayo leo Jumapili Septemba 17, 2023 wakati wa ziara ya Rais Samia katika...
  12. Yoda

    Ukosefu wa umeme na maji tatizo liko wapi hasa?

    Ni upungufu wa maji? Ni ongezeko la mahitaji? Ni uchakavu wa miondombinu? Ni upungufu wa rasilimali watu? Au haijulikani hasa chanzo cha tatizo ? Wizara husika, TANESCO na idara za maji waeleze kwa upana tatizo ni nini hasa ili raia waelewe na wachangie mawazo ya kujikwamua kutoka matatizo...
  13. Wakili wa shetani

    Kuruhusu watu binafsi kuzalisha na kuuza umeme inaweza kuwa suluhisho la tatizo la umeme?

    Habari. Nasikia zamani Dar watu binafsi hawakuruhusiwa kumiliki daladala za abiria. Usafiri ilikuwa shida sana. Baadaye serikali ikaja kuruhusu na ahueni ya usafiri ikapatikana. Serikali kuruhusu watu binafsi kuzalisha na kuuza umeme. Huku miundombinu ya umeme iwe kama barabara zinavyotumika na...
  14. S

    Tatizo la umeme na maji

    Nakaa chini najiuliza kila Mara haya mambo mawili yatakwisha lini nchini mwetu? Swala la umeme limekua sugu Sana huku Mwanza hazishiki siku mbili lazima mshinde masaa 12 Bila umeme na hii inachukuliwa kama sababu pia maji hayapatikani kabisa. Miaka 60 ya uhuru. Hivi nikwanini huu umeme Kama...
  15. Hemedy Jr Junior

    Tatizo la umeme Vingunguti Dar es Salaam, leo siku ya tatu umeme hakuna

    Umeme unapokosekana tambua pia maji yanakosa, maana hawa jamaa DAWASCO na TANESCO baba mmoja. Tunaomba mrejeshe umeme Vingunguti, mnakataje umeme siku 3 bila taarifa? Mnatukosea sana.
  16. saidoo25

    Mgawo wa umeme ulivyowaachia umasikini watanzania 2022

    12 Septemba 2021 ni siku ambayo Tanzania iliingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi baada ya kuteuliwa Januari Makamba(MNEC) kuwa Waziri wa Nishati. Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wa hali ya chini wamefilisika na wengine biashara zao nyingi zimekufa na...
  17. Robert S Gulenga

    Tatizo la maji limetatuliwa, la umeme litakwisha karibuni na miradi mingine yote inakamilishwa. Watanzania tuunge mkono juhudi za serikali yetu

    Serikali ya awamu ya sita haijawahi kupumzika katika kutatua kero za Watanzania, tatizo la maji lililokuwa limetokea hivi karibuni hasa kwa Wakazi wa Dar Es Salaamu limetatuliwa kwa asilimia 100, tatizo la mgao wa umeme liko mwishoni kuwa historia, kila kitu kinahitaji muda na fedha...
  18. Roving Journalist

    TANESCO yaelezea undani wa tatizo la umeme wa mgao, yataja uhaba wa maji na matengezo ya mitambo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amezungumia kinachoendelea kuhusu mgao wa umeme Nchini akitaja sababu na mipango yao ya wanachokifanya ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza. Amesema kuna upungufu wa Megawats 300 hadi 350 kwa siku kutokana na...
  19. Mwl Athumani Ramadhani

    Ili kukabiliana na tatizo la umeme nchini, Serikali ingetumia mpango kazi huu

    Kilio cha umeme kimetamalaki kila kona nchini kwa sasa na Hii inasababishwa na serikali kutumia chanzo kikuu kimoja cha umeme KWA zaidi ya asilimia 90 ya mikoa yote. Chanzo chetu kikuu cha umeme ni maji na Sasa ukame ndio kisingizio kikuu,serikali inapaswa kuwekeza Katika vyanzo vingine vya...
Back
Top Bottom