Je, ni kwanini Tanzania haijawaji kukumbwa na uhaba wa chumvi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
Nimeshuduia mara kadhaa nchii ikiingia kwenye uhaba mkali sana wa sukari na bei kupanda juu sana.

Sasa je, ni kwanini uhaba huu haujitokezi kwenye chumvi?

Je utoaji wa vibali vya kuagiza chumvi ni tofauti na utoaji wa vibali vya kuagiza sukari?

Je, viwanda vya chumvi nchini vina ufanisi zaidi kuliko viwanda vya sukari?

Je, viwanda vya chumvi vina Tanesco yao isiyo na mgao tofauti na viwanda vya sukari?

Ikimbukwe, enzi za Yesu watu walilipwa mshahara kwa kutumia chumvi. Neno ‘Salary’ limetokana na neno ‘Saline’, Saline ina maanisha chumvi. Hii ni kuonyesha ni jinsi gani chumvi ina umuhimu kuliko hata Sukari, ila bado hakuna uhaba wa Chumvi, uhaba upo kwenye sukari tu, Why?!.
 
Mtibwa, Kagera na Kilombero vinapatikana Uganda sio?
Je, hakuna mavitalu ya mashamba ya sukari Kagera, Kilombero, Mtubwa na Bagamoyo Sugar?

Process ya kuzalisha sukari haipo complicated kama ya kupata chumvi...

Ushawahi fika maeneo ya fukwe za Tanga kama unaelekea Mombasa au Lindi na Mtwara, kuna maeneo makubwa sana yenye vitalu vya chumvi...

Same process ingekuwa inafanyika kwa sukari, yaani kuwe na bahari yenye sukari halafu tuvukishe tu maji, isingekuwa ishu kama ilivyo sasa ambapo unahitajo ulime miwa kwa wingi, then uiprocess hadi iwe sukari
 
Back
Top Bottom