Rais Samia amewataka Viongozi kuhakikisha wanasimamia Bei Elekezi ya Sukari na kuwachukulia hatua Wanaokiuka bei iliyotangazwa huku akiwataka Wanaoshiriki kuharibu bei kuacha mara moja
Amesema "Tunashukuru Sukari imesambaa na nyingine inakuja nendeni kasimamieni, wale watukutu kashughulikaneni...
Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amezungumza kuhusu ongezeko la wagonjwa wa kusafisha figo ambapo amesema kwa siku hospitali hiyo inahudumia wagonjwa 120 hadi 130, hivyo ameihimiza jamii kuchukua tahadhari na kufuata mtindo bora wa maisha.
Profesa Janabi...
Sijui hawaoni - kila siku ninaulizia maduka niliyoyazoea ninaambiwa haijaja. Nikienda maduka ambayo sijayazoea bei bado ipo juu. Nimekuwa wa kununua nusu kilo au kilo moja kwa matumaini labda kesho itapatikana ya kutosha na bei itashuka lakini kesho inakuwa kesho na tena na tena.
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kupunguza mzigo wa gharama za maisha kwa Wananchi kwa kusitisha Nauli Mpya za Daladala na Mabasi zilizoanza kutumika Desemba 2023 pamoja na kushusha Bei ya Sukari inayolalamikiwa Nchi nzima.
Kupitia taarifa yake, ACT Wazalendo kimesema kitendo cha...
Kufuatia malalamiko ya Wananchi juu ya kupanda kwa gharama za Sukari, Serikali imetangaza Amri ya Bei Elekezi iliyoanza kutumika Januari 23, 2024 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara kwa lengo la kudhibiti Bei holela za Bidhaa hiyo
Kwa mujibu wa Tangazo la Serikali, Amri hiyo imesema Mtu yeyote...
Muwe na alasiri njema!
====
Moshi/Arusha. Sukari inakwenda wapi? Ni swali linaloumiza wengi, huku wakazi wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wakitaka vyombo vya usalama kuchunguza biashara hiyo, wakisema licha ya bidhaa hiyo kuingizwa sokoni, bado bei imesimama kati ya Sh3,500 na Sh4,000...
Mkoani kwangu kilo Moja ni Kati ya sh.3300-3500, Wafanyabiashara tupeni sababu Kwa nini bei Imepanda ghafla kiasi hiki? Ukiuliza wanasema Sukari haipatikani.
Serikali chonde chonde fanyeni hima bei ya Sukari irudi kule kule Kwa kilo sh.2700-3,000
----
Kupanda kwa bei ya sukari kumeanza...
HABARI WANA JAMVI
Nahitaji Ushauri, natamani nianzishe biashara ya Jumla kuuza kitu cha aina moja,mbili au tatu tu,sasa ninajaribu kuangalia kati ya Cement, Mafuta ya kupikia au Sukari; etc; Sehem ya biashara ni DSM, nina godown na Frame tayari, ni sehemu ambayo haina watu wengi but ni jirani...
Wakati Magufuli anaingia madarakani sukari ilikuwa kati ya 800 na 1200 Kwa Kilo Moja. Mwaka 2016, Magufuli akaingilia Biashara ya sukari na sukari ikapanda hadi 2400.
Mwaka 2016 Magufuli alisema Matajiri wataishi kama Mashetani...alidhamiria watanzania wakose pesa, na hakusema masikini wataishi...
Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.
Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.