Nataka nianze kufanya mazoezi rasmi na iwe my daily routine

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Nov 9, 2022
1,054
2,427
Wakuu, am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona ni vyema niwe na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi.

Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym.

Naombeni muongozo Nini vya kuzingatia na nifanye mazoezi ya aina gani
 
Cha kwanza mazoezi ni kama bia bila mziki utakuwa bored.. kuwa na mziki na nyimbo kazaa za kukumotivate. Kama singeli au amapiano.

Kwenye aina za mazoezi inategemeana na wewe lengo lako ni lipi haswa.. ila mazoezi kama Squat, mount climbing na mengine ni common hayakosekani.
 
Wakuu am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona Ni vyema niwe Na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi......Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym...naombeni muongozo Nini vya kuzingatia Na nifanye mazoezi ya aina gani
Mazoezi ya kergel,angalia YouTube
 
Cha kwanza mazoezi ni kama bia bila mziki utakuwa bored.. kuwa na mziki na nyimbo kazaa za kukumotivate. Kama singeli au amapiano...


Kwenye aina za mazoezi inategemeana na wewe lengo lako ni lipi haswa.. ila mazoezi kama Squat, mount climbing na mengine ni common hayakosekani...
Lengo hasa kucontrol uzito na afya ya mwili
 
Back
Top Bottom