misikiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tpaul

    Nawachukia sana hawa matapeli wanaouza dawa mbele ya misikiti

    Kila baada ya swala ya Ijumaa utawakuta watu mbele ya misikiti wametundika tunguli, vibuyu na dawa wanazozinadi kuwa zinatibu maradhi mbalimbali ya binadamu. Mara nyingi wanaenda kwenye misikiti ya BAKWATA; ni nadra kuwakuta kwenye misikiti ya Sunni. Nimebaini hawa watu si waganga wala...
  2. Mwizukulu mgikuru

    Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

    Ndugu zangu waislamu, nimekuwa nikitembea maeneo mengi sana, misikiti inajengwa hata sehemu kusipokuwa na waumini wa kuswali ndani ya misikiti hiyo. Muda wote inakaa imefungwa tu, misikiti imekuwa ni nyumba za popo. Misikiti hii mingi inajengwa kwa fedha zinazotolewa na wafadhili. Vipo vitu...
  3. F

    Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

    habari wadau. Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine. kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu...
  4. Satirical Yet Awesome

    China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

    Hongera China kwa hiki mnachokifanya, hakika nchi yenu itabaki na amani kwa kudumisha tamaduni na dini zenu. Endeleeni na hizohizo dini zenu za Confucianism and Buddhism, waachieni waarabu na tamaduni zao. Chinese authorities have decommissioned, closed down, demolished, and converted mosques...
  5. F

    Tanzania haiwezi kuendelea kwa sababu Makanisa na Misikiti ni Mingi sana kuliko idadi ya Viwanda, Hospital na Shule

    Huu ni ukweli mchungu. Hakuna Taifa lililoendelea kwa kuweka mbele dini kuliko viwanda. Hata Saudi arabia wanaendelea sababu dini kwao ni biashara inayochangia pato lao la taifa matrilioni ya hela. Wanafurahi sana kuona watu wengi wanaenda kuhijj kwao. Hela za visa, hela za hotel kule...
  6. MK254

    Silaha za kila aina zakutwa ndani ya misikiti na shule, Gaza waliishi maisha ya ovyo sana

    Hawa watu waliishi maisha ya kishetani sana, ikiwemo kufundisha watoto namna ya kuchinja binadamu, ndio maana wanafumuliwa tu hamna namna. Hii picha hapa mtoto anafundishwa jinsi ya kuchinja mwenzake kama kondoo ====== The Israel Defense Forces says ground troops continue to find Hamas...
  7. Maleven

    Muft mkuu wa waislamu tusaidie kudhibiti misikiti mtaani, uhuru umezidi kwenye vipaza sauti

    Tangu saa kumi na dakika kumi hadi saa hii mtu amesha toa adhana lakini anaamua kuendelea kuongea anapiga story tofauti tofauti. Tunaomba asubuhi wanapotoa azana basi waishie hapo, hii asubuhi hata mawaiza yenyewe wanayoongea hatuyasikilizizi zaidi ya kuvuruga tu. Au ikiwezekana watumie speaker...
  8. R

    Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

    Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali. ================== ================== Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39)...
  9. R

    Kinacholeta mgawanyiko nchini ni mkataba wa bandari

    Nasoma post nyingi hapa zimeondoka kwenye hoja na kuhamia kwenye Udini; mfano kamata kamata inayoendelea na idadi ya wapinga hoja ya bandari imeleta picha kwamba watu dini moja kwa pamoja bila kujali vyama wanakubaliana na kinachoendelea wakiwemo hata wapinzani. Upande wa pili hali inaonyesha...
  10. M

    Afrika tunapaswa kubadilisha makanisa na misikiti kuwa viwanda

    Kitu cha kwanza kinachofunga akili na kudumaza jitihada za maendeleo ya mtu mweusi ni imani( za dini na uchawi). Imani haiwezi jenga barabara, jenga hospital, tengeneza gari, Leta siasa safi wa haiwezi ondoa ufisadi n.k Na huu ugonjwa wa dini au imani unatumiwa sana na washindani wetu ili...
  11. Jemima Mrembo

    Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

    Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa. Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti...
  12. BAKIIF Islamic

    Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

    Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu. Uislamu na maendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu. Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa kutumia mifano iliyo hai. Maeneo mengi ya Waislamu kuna tatizo kubwa la kukidhi mahitaji ya...
  13. enzo1988

    Alama za mwezi na nyota katika majengo ya misikiti

    Hizi ni alama kuu ambazo hupatikana katika majengo ya kufanyia ibada takatifu katika dini ya Kiislamu ambayo hujulikana kama msikiti(misikiti).Alama hizi ni mwezi mpevu pamoja na nyota. Historia yake: Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya kihistoria, hizi alama zilianza kutumika kuanzia karne...
  14. M

    Kagame anajisifia kufunga makanisa na misikiti: Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu!

    Kagame anajisifia ubabe wa kufunga makanisa elfu sita na misikiti 100!! Anaongea hayo kwa madaha wakati pumzi inayomwezesha kuishi kila dakika inatoka kwa Mungu!! Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu hapa duniani kwanza kisha jehanamu kama hatatubu. Akitubu Mungu ni wa rehema atamsamehe!
  15. Mtemi mpambalioto

    Suala la Tozo hamjaweka hata huruma kwa pesa za makanisa, misikiti, ada za watoto wetu, wazee wastaafu na mishahara ya wafanyakazi

    Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah. Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi. Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele...
  16. JanguKamaJangu

    Nigeria: Ashikiliwa kwa utapeli, awadanganya waumini wakavunja misikiti yao

    Misikiti 14 katika Jimbo la Jigawa imeathirika kwa kuvunjwa katika Jimbo la Jigawa Nchini Nigeria baada ya wakazi kuahidiwa kujengewa misikiti mipya mikubwa lakini mtoa ahadi akakimbia. Mtuhumiwa huyo, Abba Haruna mwenye umri wa miaka 21, aliwaambia Wanakijiji kuwa taasisi ya kigeni ingejenga...
  17. sky soldier

    London: Makanisa zaidi ya 500 yamefungwa na baadhi kugeuzwa misikiti, zaidi ya misikiti 500 imejengwa, Uislam unakuwa kwa spidi ya radi Ulaya

    Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu...
  18. Zanzibar-ASP

    Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

    Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanzibar. Sababu za kimsingi za hayo kutokea ni kukosekana kwa uvumilivu wa kidini kwa baadhi ya wakazi wa Zanzibar dhidi ya imani zingine, jambo...
  19. Erythrocyte

    CHADEMA: Matamanio ya IGP Sirro anayosema amejifunza Rwanda kuhusu Polisi kuingia Misikitini na Makanisani na kuandaa mitaala ni kinyume na Katiba

    Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina . Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo 14/9/2021 kitafanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwenye ofisi...
Back
Top Bottom