China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

Satirical Yet Awesome

JF-Expert Member
Oct 11, 2023
338
652
Hongera China kwa hiki mnachokifanya, hakika nchi yenu itabaki na amani kwa kudumisha tamaduni na dini zenu.
Endeleeni na hizohizo dini zenu za Confucianism and Buddhism, waachieni waarabu na tamaduni zao.

Chinese authorities have decommissioned, closed down, demolished, and converted mosques for secular use as part of the government's efforts to restrict the practice of Islam. The authorities have removed Islamic architectural features, such as domes and minarets, from many other mosques.

Maya Wang, the acting China director at Human Rights Watch, said the "closure, destruction and repurposing of mosques is part of a systematic effort to curb the practice of Islam in China."

Mfano mmoja kati ya misikiti mingi ilibomolewa/kubadilishwa na serikali ya China kwa matumizi ya kiserikali.
Before👇
Screenshot_20240114_203218_Chrome.jpg

After👇
Screenshot_20240114_203257_Chrome.jpg

Huku misikiti mengine ikibadilishwa na kuwa Public toilets.
demolished-mosque_5f3b61a653ee6.jpg

Link👇;
Systematic Uighur Oppression: China Demolishes Mosque, Builds Public Toilet In Its Place

I can't write everything, for more information go to these websites;

Clashes at ancient China mosque over planned demolition

China closing hundreds of mosques in northern regions, rights group says

China: Mosques Shuttered, Razed, Altered in Muslim Areas.
 
Hongera China kwa hiki mnachokifanya, hakika nchi yenu itabaki na amani kwa kudumisha tamaduni na dini zenu.
Endeleeni na hizohizo dini zenu za Confucianism and Buddhism, waachieni waarabu na tamaduni zao.

Chinese authorities have decommissioned, closed down, demolished, and converted mosques for secular use as part of the government's efforts to restrict the practice of Islam. The authorities have removed Islamic architectural features, such as domes and minarets, from many other mosques.

Maya Wang, the acting China director at Human Rights Watch, said the "closure, destruction and repurposing of mosques is part of a systematic effort to curb the practice of Islam in China."

Mfano mmoja kati ya misikiti mingi ilibomolewa/kubadilishwa na serikali ya China kwa matumizi ya kiserikali.
Before👇
View attachment 2872615

After👇
View attachment 2872616

Huku misikiti mengine ikibadilishwa na kuwa Public toilets.
View attachment 2872619

Sisi bado tunapigiana makelele usiku mzima watu hawalali mtaani, wanaopanga kwenda kazini asubuhi hawapati muda wa kulala sababu ya kelele za makanisa alaf ukiingia kanisani unakuta watu watatu tu. Waumini washakuwa masikini wakutupwa kwa kutajirisha wajanja wachache wanaomiliki kanisa.

Ukija kwa upande wa kobaz saa 10 asubuhi washaamshwa watu na maspika yao wahusika na wale ambao sio wahusika.

China wangefuata huu upuuzi wa kizungu na kiarabu mpaka leo nchi yao ingekuwa masikini. Maana wangekuwa wanalala makanisani kutoana mapepo yasioonekana, badala ya kutumia muda huo kulala viwandani kutengeneza utajiri wa raia mmoja mmoja na kukuza uchumi wa nchi.

Mtu kama masanja alieishia darasa la saba anapiga hela ndefu kutoka kwa waumini masikini, huku maprofesa wenye vyeti vyao wakishindia mihogo na maji ya kunywa.
 
Attachments

  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    67.3 KB · Views: 3
Sisi bado tunapigiana makelele usiku mzima watu hawalali mtaani, wanaopanga kwenda kazini asubuhi hawapati muda wa kulala sababu ya kelele za makanisa alaf ukiingia kanisani unakuta watu watatu tu. Waumini washakuwa masikini wakutupwa kwa kutajirisha wajanja wachache wanaomiliki kanisa.

Ukija kwa upande wa kobaz saa 10 asubuhi washaamshwa watu na maspika yao wahusika na wale ambao sio wahusika.

China wangefuata huu upuuzi wa kizungu na kiarabu mpaka leo nchi yao ingekuwa masikini.
Dini hazileti umasikini
 
Hongera China kwa hiki mnachokifanya, hakika nchi yenu itabaki na amani kwa kudumisha tamaduni na dini zenu.
Endeleeni na hizohizo dini zenu za Confucianism and Buddhism, waachieni waarabu na tamaduni zao.

Chinese authorities have decommissioned, closed down, demolished, and converted mosques for secular use as part of the government's efforts to restrict the practice of Islam. The authorities have removed Islamic architectural features, such as domes and minarets, from many other mosques.

Maya Wang, the acting China director at Human Rights Watch, said the "closure, destruction and repurposing of mosques is part of a systematic effort to curb the practice of Islam in China."

Mfano mmoja kati ya misikiti mingi ilibomolewa/kubadilishwa na serikali ya China kwa matumizi ya kiserikali.
Before👇
View attachment 2872615

After👇
View attachment 2872616

Huku misikiti mengine ikibadilishwa na kuwa Public toilets.
View attachment 2872619
Link👇;
Systematic Uighur Oppression: China Demolishes Mosque, Builds Public Toilet In Its Place

I can't write everything, for more information go to these websites;

Clashes at ancient China mosque over planned demolition

China closing hundreds of mosques in northern regions, rights group says

China: Mosques Shuttered, Razed, Altered in Muslim Areas.
hii ilifanyika mwaka 2017, 2018 na 2019 ambapo waliona hiyo sehemu ya kaskazini ina Waislam wengi sana na misikiti mingi na watu hawafuati tena Dini yao ya Kimila.
Hivyo wanasiasa waliamua misikiti isikae karibu karibu (iliyopo karibu iunganishwe uwe mmoja - kwa kuvunja mingine)
Lakini lengo likiwa ni kuvutia watoto na Vijana warudi kwenye Dini yao ya Kimila
 
Sisi bado tunapigiana makelele usiku mzima watu hawalali mtaani, wanaopanga kwenda kazini asubuhi hawapati muda wa kulala sababu ya kelele za makanisa alaf ukiingia kanisani unakuta watu watatu tu. Waumini washakuwa masikini wakutupwa kwa kutajirisha wajanja wachache wanaomiliki kanisa.

Ukija kwa upande wa kobaz saa 10 asubuhi washaamshwa watu na maspika yao wahusika na wale ambao sio wahusika.

China wangefuata huu upuuzi wa kizungu na kiarabu mpaka leo nchi yao ingekuwa masikini. Maana wangekuwa wanalala makanisani kutoana mapepo yasioonekana, badala ya kutumia muda huo kulala viwandani kutengeneza utajiri wa raia mmoja mmoja na kukuza uchumi wa nchi.
Well said
 
😀😀😀😀😀😀😀😀.
 
Hata angola hawakutaka kitu hicho, kule america ya kusini sijui kama kuna misikiti kule, mexco, colombia, uruguay, peru, argentina, brazil, costa rica, equardo, venezuela, cuba, dominica, haiti na kwingineko huko kama kuna misikiti ni ya kuhesabika. Huo utamaduni wa kiarabu tuwaachie waarabu allah wao, wengine hatumjui na hatuhitaji
 
Back
Top Bottom