Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,791
- 8,008
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini