mbagala

Mbagala is an administrative ward in the Temeke district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. The ward lies south of the Dar es Salaam central business district. According to the 2002 census, the ward has a total population of 70,290. It is also the site of an army base, which was hit by a deadly ammunition dump explosion on April 29, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Zeroiez

    Ubovu wa barabara ya Mbagala Kiburugwa

    Wakazi wa mbagala kiburugwa tunaomba serikali iwajibike ipasavyo, barabara hii ni kubwa sana ila ni mbovu haipitiki kipindi cha mvua na kikiwa kipindi cha jua kali ni vumbi na mchanga mwingi kiasi kwamba inahatarisha watumiaji wake. Watumiaji wa hii barabara tunateseka.
  2. GENTAMYCINE

    Ninachokiona zaidi kwa Fowadi Jobe wa Simba SC ni Kuinua tu Mikono juu kama Trafiki wa Mbagala ila hana Maajabu yoyote

    Nani ndani ya Simba SC aliamua Phiri na Baleke waachwe na waje hawa Mafowadi Michosho na Vituko akina Fred na Jobe.
  3. Y

    Mbagala Mbande

    Wakuu wanaoifahamu Mbagala vzuri ... Je kwa sasa Mbagala Mbande Kuna fursa gani za biashara kwa mtaji mdogo usiozidi 3M?
  4. TODAYS

    Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

    Kuna kitu sijui naweza kusema ni nini, maana si ndege kwa muonekano wa taa ulivyokuwa mrefu, ila nimeshindwa kuelewa kwa sababu ya giza. Kimetokea uelekeo wa Bagamoyo kwenda kigamboni, mliopo huko hadi mbagara mnaweza kutujuza au anayeweza kuelewa ni kitu cha aina gani. Kwenye komenti No. #7...
  5. 2019

    Baada ya BRT kukosa mabasi mradi wa Mbagala waanza kuchakaa kabla ya uzinduzi pamoja na kwamba umekamilika kwa 99.9%

    Nasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa. Zege lina majani, michanga kama vile limejengwa 80s, vituo vinapigwa vumbi tu. Pikipiki na Bajaji ndio zimejimilikisha njia hiyo...
  6. A

    INAUZWA Nyumba kuukuu inazwa Mbagala kwa Mangaya

    Nyumba ni ya zamani sana ina vyumba vinne, Ina eneo lisilo pungua 500sqm. Ni nyumba ya familia. Kwa mawasiliano: 0743244734
  7. PureView zeiss

    AFRICON 2027 inakuja na neema ya ujenzi wa barabara 4 ,kuanzia mbagala - chamazi- chanika

    Ni neema juu ya neema Kwa Sisi wakazi wa maeneo haya ya mbagala,chamazi,msongola,kitonga Hadi chanika baada serikali kutaka kuanza ujenzi ramsi wa barabara 4 ( 2 lanes).. Toka mwezi uliopita TANROAD wamepigwa alama ya X nyumba zote zilizopo kwenye hifadhi ya barabara pamoja na notes ya siku 14...
  8. GENTAMYCINE

    Wanafunzi wa Shule za Mbagala Wanajiamini makusudi Ugonjwa wa Red Eyes ili watege kwenda Shuleni

    "Watoto wetu huku Mbagala kwa Makusudi kabisa wakimuona Mtu tu mwenye Ugonjwa huu wa Macho wa Red Eyes wanaenda Kumshika na hata Kugusisha mikono yao na Macho ya hao Wagonjwa kisha kujigusa katika Macho yao ili Waugue na watege kwenda Shuleni" amesema Mzazi akiongea muda si mrefu na Mtangazaji...
  9. F

    Kata moja ya Tambani Mbagala Mbande wafadhili wamejenga misikiti 36 na bado wanajenga mingine, ila hawajajenga kiwanda hata kimoja

    habari wadau. Utafiti wangu binafsi katika Kata moja inayoitwa TAMBANI iliyopo Mbagala Mbande kuna misikiti 36 ambayo imejengwa na wafadhili taasisi za kiislamu za wa Arabu na bado inaendelea kujengwa mingine. kinachonishangaza kwa nini Wafadhili hao hawajajenga shule hata moja waislamu...
  10. Erythrocyte

    Ukweli ni kwamba Mbagala ina ardhi nzuri kuliko Bunju, Tegeta na Msasani

    Bei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko. Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
  11. 2019

    Mwamba ajenga fremu kituo cha mwendokasi Mbagala licha ya kupigwa stop na serikali

    Bila shaka huyu ni kigogo mzito sana, anajenga frem kwenye hifadhi ya barabara, ndani ya kituo cha mwendokasi Mbagala, kibali amepata wapi? Ilikuja Tanroad ikasimamisha ujenzi na kupiga X jamaa akafuta kwenye x za kijivu ujenzi unaendelea, wakaja tena wakarudia kupiga X bado mafundi wanapaua...
  12. Hismastersvoice

    Dar es Salaam Mbagala hali ni hii

    USINYWE BIA KUNYWA MAJI YASIYO YA BARIDI YA KUTOSHA.
  13. GENTAMYCINE

    Nilishauri Shamba la Mbagala tusilitumie kwani lina Nuksi na 'Citizens' wameshalizindika mno 'Kindumba' hamnielewi tu

    Sijui mnataka GENTAMYCINE niwe nawashauri vipi ili muwe mnanielewa na mfuate ninachowaambia. Yaani kila nikiwashtua mapema Wakulima wa Nyika ili msiumie huwa mnanipuuza. Na Wakulima wa Nyika tuna bahati sana leo kwani Nyuki Wakali waliotukamia kisawasawa, ila kwenye Vyura na Ice Cream huwa...
  14. BABA SANIAH

    LATRA njooni Mbagala, wenye mabasi ya kwenda Kusini wanajipangia nauli zao

    Habari za muda huu. Nawasihi na kuwaomba LATRA mkoa wa Pwani wake huku Mbagala stendi ya shamba, maana haya magari ya kwenda Mkuranga, Kibiti, Kimanzichana mpaka Rufiji wao wamejipangia nauli zao. Mfano Jana abiria wa Kimanzichana Mbagala wamelipishwa nauli 4,000 wakati nauli Hali ni 3,100 tu...
  15. Hismastersvoice

    Mkuu wa mkoa Dar es Salaam nenda Mbagala katatue mgogoro mliouanzisha kuhusu soko la Zakhiem

    Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli. Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye...
  16. Hismastersvoice

    Soko jipya la Mbagala Zakhiem halikidhi haja, limejengwa chini ya kiwango pia wafanyabiashara wa mwanzo wamenyimwa fremu.

    Soko jipya lililopo Mbagala Zakhiem limejengwa kwa gharama ya sh. 2Billion, ujenzi uliofanyika umeweka vifremu vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji ya wafanyabiashara. Fremu nyingi wamegawiwa watu ambao hawakuwepo awali japo mkuu wa mkoa aliahidi wafanyabiashara wa mwanzo ndio watakaopewa...
  17. GENTAMYCINE

    Hawa wahuni na vibaka wanaobaka na kuwaibia ovyo akina Mama na Mabinti kwanini wanachekewa hivi?

    Nashauri wale Wanajeshi MP wa Lugalo, waliowapiga ovyo ( bila Hatia ) Raia wa Kawe na Kuwatesa huku Wengine wakiwajeruhi vibaya wapelekwe huko Mbagala wakakabiliane na hawa Wahuni na Vibaka wa huko Mbagala ambao sasa wamekuwa ni Kero Kubwa kwa Wakazi wa huko hasa Wamama na Mabinti. Hali si...
  18. Hismastersvoice

    Mbagala chafu sana, CCM yatumia Rapid Force (kikundi cha uhamasishaji) kuficha malalamiko ya wananchi

    Jana Jumanne tarehe 21/11/2023 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alifanya mkutano Mbagala, mkutano huo ulikuwa ni wa kulifungua soko la Mbagala Zakhiem. Kama kawaida yao mabingwa wa kuficha ukweli huwa wanaambatana na kikundi cha vijana wapatao 30 hivi, hawa vijana wanaokusanywa sehemu mbalimbali...
  19. Erythrocyte

    DOKEZO Serikali isipoingilia kati, kuna siku yatatokea Maafa ya kutisha Mbagala

    Hawa ni wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea. Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki, lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta Maafa ya kukumbukwa milele. Baada ya Maafa Chalamila ataunda Tume ya Uchunguzi .
Back
Top Bottom