mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    Mzee wa Upako: Mgogo siyo Mchungaji, ni Mchekeshaji mwenye Kipaji

    Mzee wa Upako amesema yeye binafsi akimuangalia Mugogo anaona siyo Mhubiri wala Mwalimu bali ni Comedian (Mchekeshaji). Pia amesema hawafahamiani sana zaidi ya kumuona kwenye Mtandao, na kipawa cha kuchekesha amepewa na Mungu.
  2. tpaul

    Mchungaji awashauri wachumba kutest mitambo kabla ya kuoana; adai yeye alitest ya kwake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ambayo ni kinyume na mafundisho ya kidini (kiislamu na kikristo), mchungaji mmoja wa kike amewashauri wachumba kutestiana mitambo kabla ya kuingia kwenye ndoa. Mshauri huyo wa ndoa alitokea kutoa mwanga zaidi kuhusu ni kwa nini kutalikiana kumekuwa jambo la...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Mchungaji aliyepigwa Kigoma kisa Kamchape ulikuwa wakati sahihi kuonesha nguvu za Mungu sio kupiga simu Polisi

    Kwema Wakuu! Tukio la kupigwa kwa mchungaji na wanakijiji kisa Watoa uchawi maarufu kama Kamchape limezidi kudhihirisha dini na uchawi kwa sehemu kubwa ni utapeli. Hakukuwa na sababu ya Mchungaji kuwazuia hao waganga kuja kutoa Uchawi. Zaidi hakukuwa na sababu hata moja ya kupiga simu polisi...
  4. M

    Mchungaji apigwa na wananchi wa Kigoma kwa kuzuia waganga wa kienyeji "Kamchape" wasiingie eneo la kanisa kutafuta uchawi

    Mchungaji avamiwa na wananchi na kupigwa vikali baada ya kugoma kukubali watu wenye imani potofu kuingia kwenye viwanja vya kanisa kutoa uchawi. waganga hao wa kienyeji wanakusanya 5,000/ kwa kila nyumba, kama malipo ya kuwatoa wachawi wote. Mchungaji aligoma kuwapa hela na aligoma kuwaruhusu...
  5. M

    Nimeacha kutoa sadaka baada ya kusikia kauli hii ya mchungaji

    Maneno ya mchungaji yamenivunja sana moyo wa kutoa sadaka. Nimeacha kutoa sadaka kanisani, maneno ya huyu mchungaji yameniumiza sana. Kwamba sadaka ni chakula cha wachungaji. Mungu hana Account ya kuwekewa pesa. wanatuambia Toa fungu la kumi , utabarikiwa!!!!, usipotoa umemuibia Mungu. halafu...
  6. MKATA KIU

    Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  7. BARD AI

    Mchungaji Paul Mackenzie ashtakiwa kwa Mauaji ya Kutokusudia

    KENYA: Siku chache baada ya kushtakiwa kwa Makosa ya Ugaidi, Mchungaji Paul Nthenge Mackenzie, mke wake pamoja na Wasaidizi wake 94 wameshtakiwa kwa mauaji ya kutokusudia ya Watu zaidi ya 400 anaodaiwa kuwataka Wafunge kula hadi wafe ili wakutane na Yesu. Hatua hizo zinafuatia Uchunguzi...
  8. Ivan Stepanov

    Hivi kikawaida sijui hapa tuchukue hatua gani dhidi ya huyu mchungaji...

    Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja. Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea. Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana). Jana wakiwa...
  9. Mjanja M1

    Video: Mchungaji Pilipili akiwa Club

    Mchungaji Mc Pilipili ameonekana akiwa Club na watu maarufu wakiwa wanakula bata. Nini maoni yako?
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    Kama Mchungaji anaweza kutudanganya wazi wazi anashindwa nini kutuibia sadaka?

    Nimekaa coco beach naangalia jinsi meli kubwa kubwa za mizigo zikikaa hapo takribani week 2 zikipanga foleni nimejikuta natafakari vitu vingi sana. Gwajima Mtumishi wa Mungu, mchungaji mkubwa ambaye anamiliki pesa nyingi sana pamoja na ndege binafsi( kwa mujibu wake). Machozi yamenifika...
  11. H

    Mchungaji Paul Mackenzie -Shakahola!

    Nimemkumbuka huyu Mchungaji aliyeweza kufundisha mafundisho yaliyopelekea wafuasi wake wa kukaribia 1000 kujiua/kuuwawa hapo Kenya mwaka jana Hii inafafa na Mchungaji Kibwetere wa Uganda naye aliua waumi wake karibia idadi hiyo hiyo hapo Uganda Kwa kipindi hiki nafikiri waumini wanatakiwa wawe...
  12. macho_mdiliko

    Zimbabwe: Wakamatwa kwa kuuza tiketi za kwenda mbinguni

    Tito and Amanda Watts mtu na mkewe, walikamatwa mwishoni mwa wiki kwa kuuza ''ticket za dhahabu za kwenda mbinguni'' kwa mamia ya watu. Wanandani hawa, waliokuwa wanauza tiketi hizo kwa dola za kimarekani 99.99 kwa kila tiketi, huku wakiwaambia wanunuaji kuwa zilikuwa zimetengenezwa kwa dhahabu...
  13. Baba jayaron

    Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

    Aiseeh wanajamvi habari zenu Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana. Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini. Wakati...
  14. Mjanja M1

    Mchungaji akitoa Mapepo kwa staili ya kipekee

    Wachungaji wamekuwa na staili tofauti za kutoa mapepo kwa waumini wenye shida mbalimbali. ANGALIA HAPA JINSI MCHUNGAJI ANAVYOTOA MAPEPO KWA WAUMINI.
  15. N

    Hata mchungaji wangu simuamini

    Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
  16. Mhaya

    Kiongozi wako wa dini hatakiwi kuunganisha ukaribu wako na MUNGU, hilo ni jukumu lako

    Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
  17. sky soldier

    Kwangu ni kituko kuona mtu anamwamini mchungaji anaejinadi kufufua watu, wao kwanini walishindwa kufufua watu wao wa karibu?

    Kinachotokeaga ni kwamba mchungaji anaejinadi anaweza kufufua mtu huwa ni filamu inachezwa mbele ya watu weye imani kubwa kuzidi akili, kila kitu kimepangiliwa na wahusika wanapewa script. Wenye imani na hisia kubwa kuzidi akili hasa wanawake ndio huwa wanachotwa akili hapa na ndio maana...
  18. Lior

    Mama na Baba Mchungaji Walinitega

    Ni mwaka mpya, amani kwenu Zingatia: Kuna jamaa yangu ameniomba ushauri, na mimi natumia nafasi hii kuwaomba ushauri/ mawazo kwa niaba yake. Story yake iko hivi.... Binafsi kuna changamoto nimekutana nayo ya kuzama kwenye penzi zito sana na mke wa mtu, ila mazingira ya kumpata yalikuwa...
Back
Top Bottom