Habari wakuu, nina marafiki wengi walio hitimu chuo mwaka jana lakini mpaka sasa wanahangaika sana na suala la ajira. Nimekuja kugundua kwamba elimu ya Tanznaia haizingatii mahitaji ya soko la ajira kwa sasa na bado tunatumia elimu ya wakolonia aisee. mimi ningeshauri hatua zifuatazo zifanyike...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi.
TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa Shirika hilo akiongea mbele ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyofanyika Viwanja...
Waziri Mkuu majaliwa ameipongeza TANESCO kwa kuzalisja umeme zaidi ya mahitaji yaliyopo sasa, "Leo tarehe 19 April 2024 uzalishaji wa umeme ni mkubwa, shirika letu la TANESCO limemudu kuzalisha umeme zaidi ya mahitaji tuliyonayo na bwawa la Nyerere limeanza kazi, tayari Megawati 235 ziko kwenye...
Habari!
Kumekuwa na kundi kubwa la watu hasa vijana ambao wanashindwa kujua namna ipi nzuri na rahisi ya kugawa pesa zao kulingana na mahitaji yao.
Naomba nitoe ushauri na kupendekeza njia rahisi inayoweza kuwa msaada kwa wengi katika kufikia malengo.
Njia hii ambayo imeelezwa kwenye kitabu...
SHALLOM WANABODI
Ajira imekuwa changamoto sana kupatikana bila kuwa na Connection au Bahati kama ilivyo kwa wengi.
Niliamua kufanya kazi ya udalali ambayo naona kwa kiasi kikubwa inalipa Japo unaweza kukaa mwezi mzima hujapiga dili la maana zaidi ya kupata dili ndogo ndogo za Elfu kumi...
Ni kuhusu kung'oa kabisa nyaya zao za Tanesco, Mita yao iwe toy ya mtoto kuchezea.
Ni nyumba yenye watu 7
TV ipo on kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne usiku,
Fridge haizimwi,
Pasi asubuhi na usiku
Kucharge simu kwa sana
kwa siku ni kama unit 4
Habari wandugu ...,
Nawaleteeni huduma bora kabisa na ya haraka zaidi kwa mahitaji tajwa hapo juu karibu nawe....
Zote zinapatikana Moshi mjini kona zote au mitaa yote na utazipata ka haraka zaidi .....
Na kwa ushauri wa sehemu nzuri ya kuishi , sehemu nzuri ya biashara ya fremu utapata...
Huu ndio ukweli mtupu.
Huwezi kuibuka na hoja zako za maslahi yako halafu ukataka uungwe mkono.
Watu wanataka Elimu bora na shule zinajengwa.
Watu wanataka Zahanati nazo zinajengwa.
Ajira zimeanza kutolewa kwa kasi halafu wewe unaibuka na Maandamano ya kupigania ulaji wa uongozi na ruzuku...
Nilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla.
Mtu alikuwa kwao hana mishe yeyote lakini anataka anataka maisha ya kifahari wakati kwao ni maskini.
1. Simu ya laki saba
2. Kusuka mtindo wa elfu 70
3. Begi la laki moja
4. Kiatu cha elf 50
5. Bundle...
Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka.
Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi...
Habari , nawaleteeni huduma ya upatikanaji vyumba vya kupanga katika hospitali ya KCMC MOSHI,
Maalumu kwa ajili ya INTERNS personels wanaokuja hapa hospital kuja kufanya mafunzo yao kwa vitendo (INTERNSHIP)
Vyumba /apartments zilizopo ni za 120,000 ambazo ni self rooms, vikubwa sana na...
Tumpate mtakwimu atuwekee orodha ya matumizi ya viongozi! (bajeti)
Huenda wanatumia 80% ukilinganisha na mahitaji ya wanamchi nchi nzima!
Maana haiwezekani hadi Leo miaka 60 ya Uhuru tuna umeme wa mgao, barabara mbovu, Hosp zetu hazina uhakika wa huduma!
Mfano; Ebu filkilia hapo ulipo sasa...
Karibu kwa mahitaji ya rim nzuri za kupendezesha gari yako, size tofauti tofauti kwa bei poa kabisa.
Tunapatikana Lumumba St, Dar es Salaam
Whatsapp/ normal call +255626682228
Sina mengi ya kusema ila Makonda ukiweza kutatua kero za wananchi on spot, kurudisha uwajibikaji kwenye ofisi za umma maana waajiriwa wote na watumishi wote wapo kwa udhamini wa CCM so unaweza kuvimba nao, huduma muhimu ziboreshwe, ikiwemo shule, hospitali, miundombinu ya maji, barabara na umeme...
Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN"
Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa budding( ya muda mfupi).
Pia tunauza MAUA mbalimbali yakupendezesha nyumba yko bila kisahau miti...
Habari wadau bila kuwachosha. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kwa ufasaha zaidi mwenye bidhaa hiyo au pengine anafahamu inakopatikana kwa wingi tupeana connection.
Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.
Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.
Hali ni ngumu sana.
Walevi wa pombe kali wanajifariji
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA), Mohamed Saif anafafanua:
"Kwanza sio kweli kwamba hatutoi taarifa kwa wateja wetu kuhusu mgao, mamlaka imekuwa ikitoa taarifa kupitia njia mbalimbali kupitia mitandao yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.