Nini kifanyike wananchi waanze kutokeza kwenye mikutano ya viongozi wa CCM na serikali wakiwemo mawaziri?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,105
Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa.

Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya.

Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro ameenda Katavi na Rukwa lakini alichokutana nacho huko its like siyo kiongozi mkubwa wa chama.

Katika tafakuri ya nafasi ya siasa katika jamii inaashiria watu wanaendelea kuvunjika moyo. Watu wanaendelea kutoona mambo makubwa yanayofanywa na serikali.

Unashauri waliopo madarakani wafanye nini kurejesha imani ya wananchi?
 
Dawa ni wenuebiti wa mitaa kuwabia wananchi wahudhulie ,ikowa ni pamoka na kuwasomba kwenye moroliikokoteni,matrekita na kuwaamlisja walimu wawalete wanafunzi kwenye mikutano ya CCM,hapo ndipo tunaweza kupata watu,
Mbona Mtwara na Lindi waliweza luwasba ?
 
Attachments

  • 20230918_181227.jpg
    20230918_181227.jpg
    27.5 KB · Views: 2
  • 20230918_175844.jpg
    20230918_175844.jpg
    72.2 KB · Views: 2
Dawa ni wenuebiti wa mitaa kuwabia wananchi wahudhulie ,ikowa ni pamoka na kuwasomba kwenye moroliikokoteni,matrekita na kuwaamlisja walimu wawalete wanafunzi kwenye mikutano ya CCM,hapo ndipo tunaweza kupata watu,
Mbona Mtwara na Lindi waliweza luwasba ?

Kwamba?
 
Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa.

Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya.

Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro ameenda Katavi na Rukwa lakini alichokutana nacho huko its like siyo kiongozi mkubwa wa chama.

Katika tafakuri ya nafasi ya siasa katika jamii inaashiria watu wanaendelea kuvunjika moyo. Watu wanaendelea kutoona mambo makubwa yanayofanywa na serikali.

Unashauri waliopo madarakani wafanye nini kurejesha imani ya wananchi?
kazi rahisi mno kuliko zote duniani ni kupinga kila kitu, na
kusema uongo.
 
Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa.

Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya.

Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro ameenda Katavi na Rukwa lakini alichokutana nacho huko its like siyo kiongozi mkubwa wa chama.

Katika tafakuri ya nafasi ya siasa katika jamii inaashiria watu wanaendelea kuvunjika moyo. Watu wanaendelea kutoona mambo makubwa yanayofanywa na serikali.

Unashauri waliopo madarakani wafanye nini kurejesha imani ya wananchi?
Hiyo ni code. Kuna mty anatakiwa afanye decoding.
 
Hiyo ndio tofauti ya upinzani na CCM, viongozi wa CCM wanapokelewa na wapiga kura ila viongozi wa upinzani wanapokelewa na watoto wa shule ya msingi. I stand to be corrected
 
Dawa ni wenuebiti wa mitaa kuwabia wananchi wahudhulie ,ikowa ni pamoka na kuwasomba kwenye moroliikokoteni,matrekita na kuwaamlisja walimu wawalete wanafunzi kwenye mikutano ya CCM,hapo ndipo tunaweza kupata watu,
Mbona Mtwara na Lindi waliweza luwasba ?
Hoja yako ni nzuri, ila mwandiko Sasa duh!
 
Hiyo ndio tofauti ya upinzani na CCM, viongozi wa CCM wanapokelewa na wapiga kura ila viongozi wa upinzani wanapokelewa na watoto wa shule ya msingi. I stand to be corrected
Nobody will stand to correct you with such blanket statements. Lucking truth....
 
Nimeliona hili jana huku Mpanda wakati Chongolo akihiitimisha ziara yake ya mkoa wa Katavi pale viwanja vya Shule ya msingi Kashato. Mkutano huo ulijawa na wananchi waliokokotwa na kusombwa na magari yaliyo kodiwa kufanya kazi hiyo kila kona ya mkoa. Kimsingi hakukuwa na wenyeji pale bali wageni waliomangwa na maroli , mabasi ili kuhadaa umma ionekane kwamba mikutano ya CCM ina nyomi la kutosha kumbe sivyo. " CCM IJITAFAKARI NI KWA NINI WANANCHI HAWAENDI KWENYE MIKUTANO YAO."
 
Kuwe na viburudisho

Juisi, keki, biskuti maji 😁😁😁 wanaeza hata kukesha hapo
 
Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa.

Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya.

Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro ameenda Katavi na Rukwa lakini alichokutana nacho huko its like siyo kiongozi mkubwa wa chama.

Katika tafakuri ya nafasi ya siasa katika jamii inaashiria watu wanaendelea kuvunjika moyo. Watu wanaendelea kutoona mambo makubwa yanayofanywa na serikali.

Unashauri waliopo madarakani wafanye nini kurejesha imani ya wananchi?
Wakiacha kumtaja taja Hangaya kwenye speeches zao tutakuja vikaoni.

Kodi yetuhaimillikiwi na mtu mmoja wanayemtaja kuwa kazitoa kana kwamba ni zake
 
Back
Top Bottom