hadhara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Mkutano wa hadhara wa Chadema Mbulu Wafana

    Chama kinachoongoza kwa kuungwa mkono na watu wengi Nchini Tanzania , leo kimefanya Mkutano wa Hadhara huko Mbulu , kwenye Kata ya Mbulu. Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Nabii wa Mungu Godbless Lema ameongoza semina kali ya kumkataa Shetani na mambo yake yote. Hali ilikuwa hivi
  2. Morning_star

    Kujianika mbele ya hadhara kisa unaongea na simu ni uzwanzwa!

    Nilikuwa nasafiri kutoka Dodoma kuja Dar! Njiani jamaa anaongea na simu mwanzo mwisho na kujionyesha anafanyakazi gani na matumizi ya hela na miradi aliyonayo na mahusiano na blahblah nyingi! Gari zima lilijua yeye ni nani hadi ikawa kero na kutuboa! Mpaka jamaa mmoja kamtolea mbovu ya kwamba...
  3. D

    Mikutano ya hadhara sio fursa wala zawadi, Rais Samia lijue hili

    Nilikuwa napitia hotuba mipasho ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan kwa vyama vya siasa. Samia anasema, "ndio maana tumetoa fursa hiyo ili vyama viende kwa wananchi mkajijenge mkue. Hatukutoa fursa hiyo ili mkatukane, kukashifu nakadhalika". Samia tambua kuwa mikutano ya hadhara kwa...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia afanya Mkutano wa Hadhara, Ruangwa mjini, leo Septemba 18, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kwenye Mkutano wa Hadhara - Ruangwa Mini leo tarehe 18 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/n2bRFA5-Vtw?si=EaD4yvTy59ujimsi === Rais Samia amesema kuwepo Ruangwa ni mwendelezo wa ziara yake ya...
  5. Dr Akili

    Hivi CHADEMA wamemuelewa kweli Rais wetu? Kwamba hicho wanachozunguka kukihubiri ni ukiukaji wa malengo ya kuruhusu mikutano ya hadhara

    Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo. Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa...
  6. R

    Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

    "Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya...
  7. britanicca

    Swali chokonozi: Ni sababu gani ya msingi inaweza kuzuia mikutano ya hadhara kufanyika maeneo haya?

    Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini? Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba? Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya. Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu...
  8. Sildenafil Citrate

    Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho! Tundu Lissu...
  9. D

    Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

    Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini...
  10. Ulimbo

    Sababu za kuzuiliwa Mikutano ya hadhara.

    Salaamu wana JF. Nimekuwa na maswali mangi ya kwa nini kuna mikutanoinazuiliwa kufanyika bila kupata majibu ya kutosha. Kumekuwepo na tabia ya viongozi hasa wa ccm wakishitikiana na jeshi la polisi kuzuia mikutano na makungamano bila kutoa sababu za kutosha. Kwa uchache tu: 1:Kuna kipindi...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Shonza Afanya Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Songwe

    Mhe. Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Songwe Kata ya Magamba na kufanya Mkutano wa Hadhara na kuchangia kikundi vya wanawake wajasiriamali katika shughuli zao za kiuchumi. Mhe. Juliana Shonza akiwa Kata ya Magamba Wilaya ya...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Shonza aendelea na mikutano ya hadhara Kata ya Ifwekenya Wilayani Songwe

    MBUNGE JULIANA SHONZA AFYA MKUTANO WA HADHARA KATA YA IFWEKENYA WILAYA YA SONGWE KUELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara katika Kata mbalimbali za Mkoa wa Songwe huku alitembelea Wajasiriamali wa vikundi...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Jafari Chege Afanya Ziara na Mkutano wa Hadhara katika Kata ya Kitembe

    MHE. JAFARI CHEGE WAMBURA AFANYA ZIARA NA MKUTANO KATIKA KATA YA KITEMBE Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Chege Wambura ameanza ziara rasmi na kufanya Mkutano wa kwanza katika Kata ya Kitembe Wilaya ya Rorya "Wakati nawaomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Rorya mwaka 2020...
  14. Nanyaro Ephata

    CHADEMA Arusha kufanya mkutano mkubwa wa Hadhara 4/07/2024

    MKUTANO WA HADHARA CHADEMA Arusha inapenda kutangazia wananchi wote wa Arusha na viunga vyake kuwa,tutakuwa na mkutano wa hadhara tarehe 4/7/2023 siku ya Jumanne eneo la Soko Kuu Arusha kuanzia saa nane mchana. Viongozi mbalimbali watahutubia na kuweka wazi ufisadi wa serikali hii,pamoja na...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Sijaona positive impact ya mikutano ya hadhara tunayofanya. Wananchi wapo busy kutafuta maisha

    Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano. Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule na hata kupata hela ya kupoza akili. Alafu waje wawasikilize watu wanaoamini wanakula meza moja na...
  16. B

    Babati: Chongolo kuongoza mkutano wa hadhara wa CCM leo Machi 10, 2023

    Na Bwanku M Bwanku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo leo Ijumaa Machi 10, 2023 anatarajia kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM Mjini Babati kwenye viwanja vya Stendi ya zamani. Mkutano huo ni wa kufunga baada ya ziara yake ya siku 6 mkoani humo akiambatana na Wajumbe wengine wa...
  17. Zanzibar-ASP

    WanaCCM Arusha wamtaka Mrisho Gambo naye aitishe mkutano wa hadhara kujibu mapigo ya Lema

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Arusha kumekucha upya baada ya Godbless Lema kutua nchini na kulitikisa jiji lolote la Arusha kwa kishindo cha mapokezi, shamrashara mitaani na mkutano mkubwa wa hadhara. Sasa makundi mbalimbali ya wanaCCM yameamua kupiga kelele kwa mbunge wa Jimbo la Arusha mjini...
  18. peno hasegawa

    Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Serikali ya Awamu ya Sita ili kudhihaki Magufuli?

    Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini. Ninaomba michango yenu.
Back
Top Bottom