wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Papaa Mobimba

    Hashim Rungwe: Hayati Magufuli alikuwa anachukua pesa za umma na kuwapa wapinzani kumuunga mkono

    Rais akishakuteua kafanye kazi hachana na mambo ya kumpenda Rais ni wajibu wake kuteua maana hawezi kufanya kazi mwenyewe, watu wa CCM wao kila wakati wanahangaikia uteuzi tu, Rais Magufuli yeye alikuwa anachukua pesa ya umma anawapa wapinzani wamuunge mkono. Pia soma Hakuna Rais aliyekuwa...
  2. Chizi Maarifa

    Wapinzani wamepoteza Mwelekeo? Hawana Sera?

    Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki. Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni Makonda hivi Makonda vile. Wakalalamika tu Magufuli ni Dikteta n.k. Magufuli akafariki. Wakajaribu...
  3. Logikos

    Je, tutegemee wapinzani kuibua madudu ya Chama Tawala au tupate Wanahabari wazalendo wenye nguvu za Kisheria kuibuia madudu ya wanasiasa

    Tumetukuwa tukitegemea Vyama vya Upinzani kuibua Madudu ya Chama Tawala; Binafsi naamini kwamba Vyama ni Muunganiko wa Watu wenye Mawazo yanayofanana ya jinsi gani tunaweza kutoka hapa na kufika pale..... Kama tunakwenda mjini wengine wanaweza kuamini tutembee kwa miguu ili tujenge Afya na...
  4. R

    Chawa wa Makonda wanapambana na Amos Makalla mitandaoni kuliko hata wapinzani

    Mzee Makala natabiri atakaa kwa muda mfupi sana kwenye nafasi mpya. Changamoto kubwa iliyopo ni kukalia kiti cha mtu anayeamini yupo sahihi na anaweza kuliko wote. Team Makonda are not happy na kilichotokea, awataki kuamini kwamba Makala anaweza akawa smart kuliko bosi wao. Wamegoma kukubaliana...
  5. Mr Dudumizi

    Hawa ndio wanasiasa ambao tayari wameshapitishwa kimkakati kuwa wabunge katika majimbo yao ya zamani, Kinachosubiriwa ni wao kutangazwa tu

    Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu... kama ilivyo ada, mimi huwa sipendi kuficha ficha mambo haswa yanayohusiana na maslahi ya taifa letu, hata kama mambo hayo kuna watu yatawagusa na kuwaumiza au kuua mipango yao, hiyo ni shauri yao, kikubwa mimi nafikisha ujumbe ili kila mtu...
  6. CCM MKAMBARANI

    CCM imefanikiwa kuwashinda wapinzani kwa hoja mtandaoni

    Hello JF Members. Tangu kuasisiwa kwa siasa za mitandaoni mwanzoni mwa miaka ya 2010 hakika ni ukweli usiopingika kuwa vyama vya upinzani hasa wachaga na chama Chao,kwakweli walitukaba koo kisawasawa na ukuzingatia chama chetu kilipitia mnyukano wa ndani. Chama tawala tulikuwa na kashfa nyingi...
  7. Miss Zomboko

    Rais wa Senegal atangaza msamaha wa jumla kwa wapinzani wa kisiasa

    Taifa hilo la Afrika Magharibi linakabiliwa na mzozo mbaya wa kisiasa katika kipindi cha miongo kadhaa baada ya Sall kuahirisha gafla uchaguzi wa rais wa Februari 25 saa chache kabla ya kampeni ya uchaguzi huo kuanza. Sall ameitangaza hatua hiyo ya msamaha kama njia ya kuiunganisha nchi, baada...
  8. Suley2019

    Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa. Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema...
  9. T

    Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  10. Pfizer

    Azim Dewji: Lissu amuombe radhi Biteko; Matamshi wanayotoa wapinzani hayapaswi kuumiza watu wengine

    Mfanyabiashara maarufu nchini Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukataa kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Mhe. Dotto Biteko aliyekuwa jijini Mbeya kikazi, Februari 20, 2023 "Mimi ni mshabiki wa vyama...
  11. MK254

    BBC: Wapinzani Afrika Kusini waagiza wanajeshi wao waondolewe DRC baada ya kuuawa kwa baadhi

    Kambi ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliopo DRC ilishambuliwa kwa bomu na kusababisha vifo kwa baadhi ya wanajeshi, hii imechangia wanasiasa wa mlengo wa upinzani kuagiza serikali iwarejeshe nyumbani vijana wake. Pale DRC panahitaji busara, kupigana pigana hakujasaidia kitu kwa muda mrefu, kuna...
  12. Lycaon pictus

    Waliopigania uhuru walipigania ili wajinufaishe. Hata wanaharakati na wapinzani leo wanapambana ili kujinufaisha

    Viongozi wa mapambano ya uhuru walifanya yote yale ili waishi maisha waliyokuwa wanaona wakoloni wanaishi. Waliudanganya umma kuwa wanapigania maslahi ya umma lakini ulikuwa uongo mtupu. Baada ya uhuru wakaishia kujitajirisha wao na familia zao. Wafanya mapinduzi ya kijeshi nao hufanya hivyo...
  13. Mjanja M1

    Diamond awataka Wapinzani wake kwenye Muziki waongeze Juhudi

    Msanii anaetamba na kibao cha "Mapozi" alicho washirikisha Jay Melody na Mr Blue msanii Diamond Platinumz, amewataka wapinzani wake waongeze juhudi maana hawamsumbui kabisa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ameandika, "Dah Wapinzani wangu embu jitahidini basi jamani, maana namna hii...
  14. T

    Politics is a strategic minds set- game; upinzani unatakiwa uwe na watu wenye high level ya intelligence na uzoefu wa manipulative strategies

    Yes, politics is a strategic minds set- game; playing around the mind set of the target audience. The strategy is to capitalize on the weakness (udhaifu na ujinga), njaa, shida na manyanyaso ya target audience; hata kama baadhi ya vitu hivyo ni wewe umevisababisha, once you win their mind set...
  15. Mganguzi

    Wapinzani wa nchi hii hawajui wanachotaka. Kila rais anaeingia madarakani hawamtaki

    Wana laana isiyoisha au tuseme hawajui wanachotaka Mkapa walimwita dikteta na kumtukana Kila aina ya matusi, amemaliza salama amelala! Kikwete alipoingia alikula matusi Kila mahali yaani huyu ndio rais mwenye roho ngumu kwa sababu huyu walimuonea kwa kuwa alikuwa anakaa kimya! Matusi...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Kwa udhaifu wa rais Samia 2025 ndio itakuwa fursa mujarabu kwa wapinzani kuchukua nchi kwa mara ya kwanza.

    Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi. Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais. Hata kama wakiiba kura.
  17. J

    Wanaharakati na wapinzani mbona kama washamba sana, hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda?

    Mtandaoni kuna picha na video ya muwindaji Mmarekani ambaye ana brag kuua Mamba anayesema ni mkubwa kuliko wote Sasa watu wanaanza kutoa mapovu mtandaoni kuwa Serikali imefumbia macho ujangili kwa kuwa ni mzungu blah blah blah Hivi kweli hawa watu hawajui kuwa kuna utalii wa kuwinda na watu...
  18. J

    Yanga ipo nafasi ya pili kwa sababu Wapinzani wao hawajacheza

    Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
  19. olimpio

    Wapinzani hawana hoja kuelekea 2024/2025

    Wapinzani wa Tanzania wanakwama pakubwa sana. Huwezi amini baada ya kulia kwa miaka kama 6 kua wamezuiwa kufanya mikutano, leo hii wanaruhusiwa kufanya mikutano and guess what they are into? kumtukana waziri Nape pekee real? Tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwaka mmoja baadae...
Back
Top Bottom