Kabila la Hamer na desturi ngumu
Kabila la hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha mila na desturi ya kuthibitisha uwezo wa mwanamke kuvumilia magumu kwenye ndoa!
Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahari inabidi ampime mwanamke anayetaka kumuoa...
Ili kuishi comfortably kwenye mazingira ya kidemokrasia, ni sharti uwe mwenye uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu maana halisi ya demokrasia yenyewe. Zaidi sana yafaa, ufanye mazoezi ya mara kwa mara na ya kutosha, ya kushinda ama kushindwa si tu uchaguzi pekeyake, bali pia hata yale yenye...
Kipindi cha mikutano miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China na mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China iliyomalizika hivi karibuni, ni kipindi muhimu zaidi kisiasa kwa China, kwani katika kipindi hili, kwanza demokrasia ya China huwa inapimwa na kukaguliwa, na pili...
Mtu ni magonjwa na kashafika 60 cha ajabu hajaandaa Wosia wowote wala kuandika Urithi, anaacha kivumbi na kutoelewana pindi akifa.
Mtu hawajulishi watoto wake kwamba ana mali fulani, matokeo yake kuna wapangaji wanaweza kujimilikisha nyumba ambazo hawajajenga, watu wanajimilikisha mashamba...
Kumekuwa na kawaida ya kwenda kinyume na mila, utamaduni na desturi za kiafrika kunakotokana na harakati za kijamii miongoni mwetu.
Ni jambo jema watu kusaidiana, hasa tunapopata matatizo na hatuna uwezo wa kukabiliana nayo kwa wakati huo, lakini hilo lisiende kinyume na maadili yetu.
Baadhi...
Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi.
Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania.
https://www.instagram.com/p/CxC5PRyuwra/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Japokuwa Nchi yetu inashika...
Makabila yote hapa Afrika au nchi nyingine za Ulaya, Asia na Marekani, wanayo miiko, mila au desturi zilizozoeleka kiasi cha kurithiwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
Hapa Tanzania, kwa mfano, kuna mambo fulani ambayo ni mwiko kufanyika katika jamii na ikitokea mmoja wa wanajamii akaenda...
Nimesikia Zanzibar mwanaume ukikutwa umesuka nywele unapigwa faini. Wanadai ili kulinda maadili na utamaduni wa Mzanzibari. Lakini wakati huo huo utamaduni wa Mzanzibar, kama ulivyo kwa Waswahili wote ilikuwa ni ruhusa kwa mwanaume na mwanamke kusuka nywele. Naona hawa wanaodai kulinda utamaduni...
Hili ni tatizo na ni tabia inayonikera sana.
Mtu usipost upo kiwanja flani utashangaa inaingia text "Mzee nisaidie elfu 10 hapo"..
Sawa tunapaswa kusaidiana kwa shida na raha ila ukipata request za kuombwa hela na watu zaidi ya 6 kwa siku mbili tu lazima hata ule moyo wa kiutu unaisha...
UNAFIKI UNAOLETWA KWENYE MAMBO YA MILA NA DESTURI.
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Kwa kweli wengine unafiki ulitupita pembeni. Leo nitauelezea unafiki uliopo katika jamii yetu unaosemwa Kwa Wakubwa na wadogo. Sitamung'unya maneno. Hivyo kama unajiona una Roho nyepesi ingefaa upuuzie andiko...
Muandishi: N. D. Yongolo, 1953
Unaweza kukisoma ndani ya maktaba app. TuPm Kuungwa.
1 WATOTO
2 MICHEZO NA DESTURI ZA WATOTO
3 NDOA
4 DINI NA IMANI YA WANYAMWEZI
5 SHERIA NA HAKI KATIKA NCHI
6 UCHAWI 417 MATUMIZI YA DAWA
8 HOFU NA MIIKO YA VIFO
9 MAMBO YA POMBE 6510 MAMBO YA URITHI
11 JINSI...
Kitabu hiki kizuri sana. Kina mengi ya kujifunza yenye msaada hata leo.
Kimetungwa na S. J. Ntiro
Kuchapwa 1953.
Unaweza kukisoma ndani ya maktaba app. TuPM Kuungwa.
DIBAJI YA WATOAJI KITABU
Juzi juzi mtaalamu mmoja wa mambo ya Afrika aliandika:
"Bila mikusanyo mingi ya hakika ya mambo ya...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzalendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo yamefanywa/Yanafanywa na chama chetu Cha CCM. Tujivunie uwazi uliopo ndani ya chama chetu Cha CCM na...
Makabila hayatofautiani lugha pekee, ila mila na desturi pamoja na mahusiano kwenye ndoa zao pia huwa ni jamii inayojitofautisha na jamii ya kabila au makabila mengine.
Kuchepuka kwa wanandoa kwa baadhi ya makabila ni jambo la kawaida na wala halileti misukosuko mikubwa kwenye mahusiano katika...
Baada ya kushuhudia vitabu vilivyopigwa marufuku kwa kweli ipo haja ya serikali kuanzisha kampeni kuwapa motisha wasanii hawa, vijana wa IT watutengenezee katuni za Kitanzania na pia magazine nzuri za rangi rangi kama miaka ile magezeti ya Sani.
Ili kupambana na vitabu hivi ni lazima kuingiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.