kupotosha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi maarufu kama Babu G. ambaye picha yake imeambatanishwa kwenye taarifa hizo kuwa alipotea tarehe 11 Aprili, 2024 na...
  2. 1

    Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

    Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria. Akawapotezea muda wanachama wenzake kwa kuona njia pekee ni maandamano, ameandamana weeeee wananchi...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Joyce Kiria ana upeo mdogo kuhusu haki, aache kupotosha jamii

    JOYCE KIRIA ANAUPEO MDOGO KUHUSU HAKI, AACHE KUPOTOSHA JAMII. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Baada ya kuishiwa kifurushi nikajikuta nipo Channel 10, huko nilikutana na mwanamama aitwaye Joyce Kiria ambaye kwa mazungumzo yake ni dhahiri anapotosha jamii. Joyce Kiria elewa kuwa kwenye nchi...
  4. S

    Dkt. Mollel acha kupotosha maudhui ya hoja ya Mpina kuhusu makalio

    Dk. Mollel Naibu Waziri wa Afya acha kutumia ofisi na kodi za umma kuendesha propaganda na kupotosha maudhui ya hoja ya Mheshimiwa Mpina kuhusu Hospitali za Umma kutoa huduma za kuongeza Makalio badala ya kutumia fedha hizo kuboresha huduma za afya za msingi. Kama umeamua kumjibu Mpina hoja...
  5. M

    Peter Madeleka: DPP acha kupotosha umma, hakuna sheria inayomzuia wakili kuweka nyaraka mitandaoni

    Nataka kumwambia DPP aache KUPOTOSHA UMMA. Hakuna SHERIA yoyote inayomzuia WAKILI kuweka NYARAKA kwenye MTANDAO. Kama DPP anataka kuwa MWANAHARAKATI wa KUMTETEA ndugu PAULINE GEKUL, basi, AACHE Ofisi ya Umma na AJE TUPAMBANE JUKWAANI. Ni muhimu JAMII ifahamu kwamba, HASHIM ALLY hakuridhika na...
  6. LIKUD

    Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu. Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
  7. Webabu

    Waislamu waishtukia serikali kutaka kupotosha mafunzo ya dini yao

    Waislamu waingiwa wasiwasi na Serikali baada ya kuona Tayaar mtaala wa ELIMU ya dini katika website ya serikali na somo hilo kuanza kutumika Mwakani wakati wazir wa ELIMU alikwisha waahidi na kuwaomba radhi serikali itawashirikisha lakin Sasa Kuna DALILI zote za kutoswa...
  8. Idugunde

    Mzee Wasira acha kupotosha watu, dini na siasa havitengamani. Ndio maana Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa kumkosoa Herode

    Acha zako bana👇. Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili kuepusha mivutano ya kisiasa kwa waumini na kuleta umoja. Ameyasema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa...
  9. Zanzibar-ASP

    Walianza kupotosha hotuba ya Dkt. Slaa, na sasa wanapotosha hotuba ya Askofu Shoo, watawala wanajua nini kitafuata?

    Mara ya kwanza Dkt. Slaa akitoa maoni yake rasmi kuhusu sakata la bandari za Tanganyika kupewa waarabu wa DP world, aliweka wazi msimamo wake kuupinga mkataba ule. Jambo la ajabu ni kuwa vyombo rasmi vya habari hapa Tanzania (hususani magazeti) yakaja na upotoshaji mkubwa huku yakitengeneza...
  10. Suley2019

    Chalamila: Namuonya Dkt. Slaa aache kupotosha taifa, Bandari haijauzwa

    "Nimeona kwenye mtandao, ndugu yangu balozi Dkt. Wilbroad Slaa na yeye akieleza mambo yake kwenye mtandao, moja ya watu ambao kwa miaka mingi nimewaheshimu, kwa umri wao, kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt Wilbroad Slaa. Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake, kwa hadhi...
  11. Suley2019

    Tundu Lissu: Sabaya siyo mkosaji wa kisiasa ni jambazi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alihojiwa na Dar 24 Media siku chache zilizopia. Akiwa katika mahojiano hayo Lissu amezungumza masuala mengi yanayohusu mwenendo wa kisiasa nchini. Aidha alipoulizwa kuhusu kumchukulia Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Hai, Lengai Ole Sabaya kama Mkosaji wa...
  12. Nyankurungu2020

    Gazeti la Mwananchi acheni kupotosha umma. Chato bado ipo imara tokea Hayati Magufuli afariki dunia

    Maisha ya wananchi wa Chato yanaendelea kama kawaida. Hakuna tawi la CRDB Chato lililofungwa. Hakuna mahala kuwa stendi imekwa stendi ya mabasi inatumika na mabasi ya mikoani yanapita stendi na kuchukua abiria. Mmeandika habari kwa uongo na unafiki. Chato sio Gbolite. Mnatakiwa kufungiwa kwa...
  13. T

    Bodaboda ni ajira China na nchi nyingine. Ni aibu kwa Lissu kama kiongozi kupotosha Umma

    Wengine wanafikiri bado tupo kwenye zile zama za ulimbo na ulimbombo, zile zama za kuambiwa Jambo na kukubali bila kujiridhisha. Wanaofanya hivyo wanatambua watanzania ni wavivu sana wa kutafuta ukweli hivyo lolote analosema linabebwa kama lilivyo. Kitendo Cha Lissu kusema China hakuna...
  14. Lycaon pictus

    Kusema lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka ni kupotosha

    Kumekuwa na haka kamsemo ka kizembe kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Huu ni upotoshaji. kwanza chama cha siasa ni kitu gani? chama cha siasa ni umoja wa watu wenye mawazo(Sera) zinazofanana juu ya kuendesha nchi. Mwanachama wa chama cha siasa lengo lake kuu ni kuona sera...
  15. B

    Kwa nini Zungu anaachwa kuendelea kuupotosha umma?

    Amesikika Zungu akiongelea masuala ya Internet: Zungu hana ufahamu wowote wa kuhusu Internet zaidi ya kuwa yeye ni mtumiaji kama mtu mwingine tu. Cha kushangaza ni kuwa ameachwa kuendelea na upotoshaji wake tena kwa raha zake. Wataalam, TCRA, wasomi, vyuo nk wapo ila wote kimya! Utadhani...
  16. BARD AI

    Twitter yashutumiwa kupotosha kuhusu ulinzi wa taarifa za watumiaji

    Akitoa ushahidi wake mbele ya Bunge la Marekani, Mkuu wa zamani wa usalama wa mtandao huo, Peiter Zatko amesema data za watumiaji hazijalindwa vya kutosha na kwamba wafanyakazi takriban 4000 wanaweza kuzipata. Amezitaja taarifa za mtumiaji ambazo Twitter haijaziweka salama kuwa ni namba ya...
  17. MAHANJU

    DC Jerry Muro acha kupotosha umma kwa kutetea Ukatili wa Elibariki Kingu

    Ndugu yangu Jerry Muogope Muumba wako na kama wewe ni mkristo nenda katubu achana na roho ya Kinyama kiasi hiki. Jerry Muro unakuja na Balaah Blaah za kipuuzi eti CHADEMA wanakusanya Pesa kwa kusingizia kua wana mgonjwa anayeitaw Petter kama kisingizio. Achana na roho ya Kishetani Jery...
Back
Top Bottom