mashoga

  1. N

    HALI NI MBAYA:-Serikali itoke hadharani iseme wazi kama imeruhusu ushoga au imeshindwa kupambana na mashoga ituweke bayana.

    Jf salaam. Ukweli ni kwamba Hali ni mbaya sana uraiani sio Dar Wala mikoani Hali ni mbaya mno. Serikali ni vyema Sasa ikatoka hadharani kama imeshaidhinisha kisiri Siri kuruhusu huu ushetani iseme ama kama imeshindwa basi jukumu hili tukabiziwe wananchi tuwashughulikie sisi wenyewe ama Kwa...
  2. M

    Papa asema wanaopinga waraka wake wa baraka kwa mashoga ni kikundi cha "watu wachache" hasa waafrika ila polepole wataelewa

    Katika mahojiano yaliyorushwa na gazeti la Italia liitwalo La Stampa, Papa amesema kuwa waraka wake wa kuruhusu baraka kwa mashoga unapingwa zaidi na vikundi vichache vya kiitikadi hasa Waafrika. Papa amesema Waafrika wanapinga hili suala kwa sababu za kiutamaduni Akasema kuwa ukiondoa...
  3. T

    Kardinali Gerhard Mueller wa Ujerumani asema Papa Benedict asingeweza kuthubutu kubariki Mashoga

    Katika siku ya kumbukumbu ya maka mmoja toka Papa Benedict afeariki, Kardinali Gerhard Mueller wa Ujerumani amesema Papa Benedict asingethubutu kutoa maelekezo yasiyo na kichwa wala miguu ya kubariki mashoga. Kardinali Mueller amewahi kua mkuu ama mwenyekiti wa kanisa katoliki Ujerumani...
  4. S

    Ni lini Zanzibar itatangaza mashoga na mateja kuwa janga la kitaifa? Hali ni mbaya sana hapa visiwani

    Msione aibu wala soni kulisemea hili ili kuviponya visiwa hivi. Mficha maradhi kifo humuumbua. Kisiwa cha Unguja halli ni mbaya sana . Lkn sijawahi kusikia tamko la serikali ikilaani mashoga na mateja wanaoongezeka kwa kasi ya kumbikumbi. Huwezi kutembeza km 0.5 bila kukutana nao
  5. Teslarati

    Padri asioruhusiwa kumbariki marehemu mkatoliki ambae amefariki bila kuoa leo hii anaruhusiwa kubariki mashoga wakitaka baraka.

    Roman Catholic imekua comedy sasa. Yaan nakumbuka kuna mzee mmoja mtaani nilipokulia alikuaga mkatoliki mzuri ila alikua na wake wawili. Alipofariki yule mzee alizikwa na katekista tu, padri akasusia msiba hata hakuja kutoa baraka. Vile vile marehemu Ruge tuliona namna maaskofu wa bukoba...
  6. Zanzibar-ASP

    99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

    Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema...
  7. UMUGHAKA

    Ukweli Usemwe,Pamoja na Dini ya Kiislamu kutamalaki Zanzibar lakini ndiyo sehemu inayoongoza kwa kuwa na Mashoga Lukuki

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Zanzibar inanuka Ushoga, imejaa Ushoga na inaongoza kwa Vitendo vya Ufiraji kwa Bara zima la Afrika. Kisiwa cha Zanzibar nikisiwa kizuri sana ila kimenajisiwa na Mashoga. Nina visa lukuki kuhusu Mashoga hapo Zanzibar nadhani ipo siku nitaandika hapa,ni...
  8. ChoiceVariable

    Papa Francis amtimua Askofu anayempinga kuhusu kuruhusu ndoa za jinsia moja, kutoa mimba na waliobadili jinsia

    Ikumbukwe huyu Papa wa Vatican anaeongoza Kanisa la RC almaaufu Kanisa Takatifu la Mitume kama wanavyojiita wao ameamua kuwaburuza wenzake wafuate msimamo wake. Baadhi ya mambo ambayo anataka Kanisa lake lifuate ni - Kuwatambua Mashoga bila kukemea akisema wenye dhambi ndio wanatakiwa kwenda...
  9. mfichuamambo

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa...
  10. Maalim Raphael

    Ushoga katika taifa la Israeli

    Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 "๐‘ผ๐’”๐’Š๐’๐’‚๐’๐’† ๐’๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’– ๐’Œ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’•๐’–...
  11. LIKUD

    Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu. Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
  12. Nelson Jacob Kagame

    JAMII YA WATANZANIA WANAPINGA KUHUSU MASHOGA ILA WAMEKAA KIMYA KUHUSU WASAGAJI NA WAFIRAJI

    Wakuu tunapinga ushoga tu,,mbona dada zetu wanasagana sana na hatupingi na vipi kuhusu wafiraji maana jamii yetu ipo kimya.!!!Au wasagaji na wafiraji waga hawafanyi kinyume na maadili ya jamii yetu???
  13. Munch wa annabelletz47

    MASHOGA YAMEKUA MENGI MNO TATIZO NINI?

    Yani sasa kwa tathimini fupi niliofanya hawaviumbe waliotusaliti wanaume wameongeza kwa kasi ya MARCH 10 karibia baada ya kila nyumba kumi kuna ๐ŸŒˆ mmoja wa kisirisiri au walaivu bila chenga. Wababa na Wamama tatzo ni nini? Tunakosea kuwalea hawa watoto au ni tamaa au vishawishi? WITO: NAOMBA...
  14. Suzy Elias

    Maria Sarungi: Tanzania inahitaji Rais mbabe ili abadili mfumo wa ovyo tulionao

    Huyo ni Maria Sarungi binti wa Profesa msomi wa tiba za binadamu, Mbunge (mstaafu) wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri (mstaafu) wa Wizara ya Ulinzi ( W UL) mwana siasa mashuhuri ( mstaafu) nchini mzee Philemon Sarungi. Unadhani Maria huyo unayemsikia hapo juu akikutana na...
  15. Mtuturas

    Hatupo Serious na Hili Suala la Mashoga

    Kama nchi embu tuwe serious na hili suala . Yaani hawa watu wanaachiwa wanajitangaza hadi wanaweka kabisa na location kwenye Google map. Kwenye social media hivi Kwa nini makachero wasijifanye ni wateja ( undercover) na kuwakamata . Nimeattach picha ya Google map nilikuwa nasearch sehemu huko...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Inakuwaje wanafungwa mashoga lakini Mabasha wao wanaachwa, tupo serious Kweli?

    INAKUWAJE WANAFUNGWA MASHOGA ALAFU MABASHA WAO WANAACHWA HIVI TUPO SERIOUS KWELI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kwa Sisi Watibeli MTU Shoga anauawa, ni Kwa Sisi hilo lieleweke. Na hata ikitokea Mtibeli akashika uongozi WA juu kwenye nchi hii basi wananchi waelewe hivyo. Hii ni kumaanisha...
  17. Dalton elijah

    Malisa Gj: Naunga mkono "operesheni" ya kuwakamata mashoga inayoendelea nchini

    Naunga mkono "operesheni" ya kuwakamata mashoga inayoendelea nchini. Hata hivyo nashauri Polisi wasiishie kwa mashoga tu bali wakamate na mabasha pia. Shoga akikamatwa ataje "wanaomshughulikia" ili nao wafunguliwe mashtaka. Kukamata mashoga bila mabasha hakuondoi tatizo. Kuna "scenario" za...
  18. lord atkin

    Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

    Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David...
  19. MOSHI UFUNDI

    KAMPENI YA KATAA NDOA, NI MOJA YA MPANGO WA KUONGEZA IDADI YA MASHOGA.

    Straight to the point. Nimekuwa mtazamaji wa hiki kitu JF kwa muda mrefu ila leo wacha nitoe maono yangu katika hiki kitu ambacho vijana hasa wa kiume wanajinasibisha nacho. Katika vitabu vitakatifu karibia vyote, swala la NDOA limetiliwa uzito sana. 1. NDOA ni kipimo sahihi cha utuuzima...
Back
Top Bottom