serikali na wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 1

    Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

    Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria. Akawapotezea muda wanachama wenzake kwa kuona njia pekee ni maandamano, ameandamana weeeee wananchi...
  2. K

    Siku ya nne leo wilaya ya Kaliua hatuna umeme

    Hatimaye zimefika siku 4 bila ya umeme wilayani Kaliua huku meneja wa wilaya na mkoa wakitoa tangazo limesababishwa na kuanguka nguzo 10 zilizopo mbugani. Kwanini Serikali inalea watumishi wazembe hivyo?! Meneja wa TANESCO mkoa Tabora pamoja na wilaya ya Kaliua wapaswa kuwajibika. Nguzo kumi...
  3. R

    Mamia ya wakimbizi wauwawa mpakani Saudi Arabia

    Mamia ya wakimbizi wauwawa kinyama kwenye mpaka wa Saudi Arabia. Alafu hawaa ndio tunawapigania kwa nguvu zote waje kwetu. Jamani tufumbue macho na kutafakari tena na tena na hii mikataba. ====== Saudi border guards are accused of the mass killing of migrants along the Yemeni border in a new...
  4. masopakyindi

    Mwanasheria Mkuu Feleshi unaitia aibu Serikali na wananchi, umeshindwa kutetea nchi unawatafuta vidagaa kujiridhisha

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Feleshi ni mtu wa ajabu. Kwanza ana historia ya ufisadi (suala la Plea Bargaining hatujapata jibu). Pili, ameshindwa kuitetea serikali au kushauri invyotakikna katika sula la mkataba wa DP World na serikali. Mpaka sasa hajatoa kauli ya kueleweka kwa nini...
  5. Robert S Gulenga

    Anachokifanya Hamisi Kingwangalla kuhoji kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa ni kwa nia ovu, ni vyema ajibiwe

    Hamisi Kingwangala (Mb), Nzega Vijini, amekuwa akitoa maneno yenye nia ya kuchonganisha kuhusu mabehewa yaliyonunuliwa katika ukurasa wake wa tweeter. Kwa nafasi yake anapowauliza Watanzania kama mabehewa ni ya mtumba? Na kuonyesha tumepigwa bila ushahidi, huku akisema hajayaona mabehewa hayo...
  6. R

    Suala la vyumba vya kujisitiri wasichana shuleni kipindi cha hedhi ni kitu cha kujadiliwa bungeni na kutolewa maagizo mpaka leo?

    Takwimu zimekuwa zikitolewa miaka nenda rudi, kweli hili ni swala ambalo mpaka leo halijapatiwa ufumbuzi mpaka kutolewa maagizo bungeni kuwa vijengwe vyumba vya wasichana kujisitiri kipindi cha hedhi? Tunataka kumkomboa mtoto wa kike katika elimu lakini juhudi ni ndogo sana katika kufanikisha...
  7. samwel phanuel

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi wanaosimama kama walinzi wa msaada jamii 1) Hawa walinzi shirikishi wanareport kwa nani je? Kwenye jeshi la polisi ngazi ya kituo cha polisi au Ofisi yq uhamiaji ? 2)Uhalali wa utendaji kazi wao na jinsi wanavyopatikana hadi kuingia kufanya...
  8. Daniel Levert

    SoC02 Uwajibikaji wa sekta ya kilimo katika mfumuko wa bei na uchumi

    UTANGULIZI Kilimo ni dhana pana inayojumuisha uzalishaji wa mazao, ufugaji na uvuvi. Katika andiko hili nitaangazia kilimo kwa upande wa uzalishaji mazao. Sekta ya kilimo ni sekta mama ya uchumi wa Tanzania. Huchochea maendeleo ya sekta zingine kama usafiri, viwanda na masoko. Mfumuko wa bei...
  9. Max Mwinuka

    SoC02 Thamani ya Elimu katika Ukombozi wa Jamii

    Elimu ni jumla ya maarifa aliyonayo mtu yanayomuwezesha kutatua changamoto za maisha yake ya kila siku. Elimu si ile tu inayopatikana shuleni na vyuoni bali ni maarifa yote yapatikanayo katika mazingira husika au mazingira yanayo tuzunguka. Elimu ni kitu muhimu sana katika mapinduzi ya kifikra...
  10. M

    Ni huduma gani ya Serikali ambayo ungependa iwe kwa njia ya mtandao?

    Binafsi nimekaa na kutafakari sana kuhusu Serikali yetu inapambana kuanzisha mifumo ya kielektroniki ili kurahisisha utoaji wa huduma zake. Mimi pia nimenufaika moja kwa moja kwa jitihada hizi maana napata/nalipia huduma za Serikali kwa njia rahisi sana huku nikiwa naendelea na shughuli zangu...
  11. WilsonMwalukasa

    Ili kuendelea kitaifa, Kuna umuhimu wa masikilizano baina ya Serikali na Wananchi wake

    Kwa sababu tumeshindwa kusikilizana ndio maana hatuendelei. Kwa muda mrefu, tumekuwa tukishindwa kutatua mizizi ya matatizo yetu. Tumeshindwa kutatua vyanzo vya matatizo yetu. Taifa kiujumla na serikali zetu kwa awamu mbali mbali, kwa ujumla tumeshindwa tafuta suluhu ya matatizo yetu ya siku...
Back
Top Bottom