kulipa kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Matajiri 270 wanaohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani waomba kuongezewa kodi

    Matajiri 270 wanaohudhuria mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) wanawasilisha kwa mara nyingine tena ombi lao la kutaka kukatwa kodi zaidi kwenye utajiri wao uliokithiri. Kwa pamoja matajiri hao wamesema kumekuwa na gap kubwa kati ya maskini na matajiri na hivyo kuwafanya...
  2. polokwane

    TANESCO mnanigombanisha na TRA. Siwezi kulipa kodi kabisa wakati kutwa nzima umeme hakuna

    Naona kama mama nae anaenjoy tuu wala haoni kama hili ni tatizo kwake anakula tu good time na machawa wake huko DUBAI. Yani tunashinda mchana bila umeme, usiku ndio umeme unarudi hakafu asubuhi unakatika tena, mambo gani haya! nani unamuhudumia huo usiku huo. 😜😜😜😜😜😜😜Ila hata UNIT za LUKU...
  3. Influenza

    TRA: Taarifa ya Bodaboda na Bajaji kuanza kulipa Kodi sio taarifa rasmi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebainisha kuwa taarifa iliyotolewa awali na Afisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi wa Mamlaka hiyo kuwa bodaboda wataanza kutozwa kodi sio rasmi Afisa huyo, Hamad Mterry alieleza kuwa Kodi mpya za Pikipiki za Matairi Mawili (Bodaboda) itakuwa Tsh. 65,000 na Bajaji...
  4. UMUGHAKA

    Bodaboda na Bajaji mnapaswa kulipa Kodi kwa Mujibu wa Sheria Mpya ya Kodi. Acheni kuleta Blah blah!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Pesa za kuhonga huwa zinapatikana ila za kulipa Kodi mnaanza kuleta singeli za kipumbavu!. Huwa mkisikia kulipa mapato(stahiki ya serikali) mnaanza ngonjera kibao kana kwamba ni dhambi kulipa mapato. Kama unafanya kazi kila siku na unapata faida...
  5. tpaul

    SoC03 Wajibu wa kila mwenye kipato kulipa kodi

    Bunge limetunga sheria mbalimbali za kodi ili kwamba kila mtu mwenye kipato halali aweze kulipa kodi, hivyo kuchangia mapato ya serikali. Lakini jambo moja la kusikitisha sana ni kwamba wanasiasa, ambao ndio wanaotunga sheria hizi, wameamua kujisamehe kulipa kodi kwa manufaa ambayo wanayajua...
  6. Roving Journalist

    Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo wametoa malalamiko mbele ya Waziri Mkuu ambapo wameilaimu TRA kwa kutokufuata taratibu sahihi za...
  7. B

    Ni vigumu kulipa kodi halali labda unataka kufilisika

    Kwa mfanyabiashara mdogo na mkubwa kulipa Kodi Halali ni vigumu sana,akilipa Kodi Halali ajiandae kufunga biashara yake (kufirisika) viwango vya Kodi ni vikubwa mno. Wafanyabiashara wengi wanaamua kutumia mbinu kama kusema uongo juu ya mauzo ya Kila siku Ili akadiriwe Kodi kidogo,kufoji...
  8. A

    Kwa Pesa wanazoiba, inanivunja moyo kulipa kodi

    Nimeamua sasa rasmi. Kunikamata hawatoweza milele na nasema wazi kuanzia sasa sitolipa tena kodi wala tra hawatoniona tena kwenye makadirio. Kwa sisi mabingwa uhangaikie kodi ulipe halafu watu wamekaa ofisini wanajipigia wakati mvua na jua linatupata sisi mahustler hapana. Nasema tena hapana...
  9. Mhafidhina07

    Tukumbushane kulipa kodi

    Habari zenu, Kwanza nianze kwa kusema kuwa sijatumwa wala sina chembe ya uanachama wa itikadi yeyote ya chama cha siasa,mimi ni Mtanzania halali ambaye nimeamua kwa dhati na mahaba kwa nchi yangu kukumbusha wananchi wenzangu. NCHI HAIJIJENGI Ipo nadharia moja kwa waliosoma DS vyuoni inasema...
  10. ChoiceVariable

    Serikali: Wanaoanza Biashara kutolipa Kodi ya Mapato kwa muda hadi wa mwaka mmoja

    Hello Wadau, Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri. Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki. ==== Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa...
  11. BARD AI

    TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
  12. L

    Serikali Ya Rais Samia yapongezwa Na Wafanyabiashara, Waahidi kumuunga mkono kwa kulipa Kodi kwa uaminifu

    Ndugu zangu wafanyabiashara mbalimbali wameipongeza Serikali Ya Rais Samia kwa kuwasaidia kufanya Biashara kwa Amani na utulivu kwa kuzingatia Sheria kanuni na Taratibu,wafanya Biashara wamefurahishwa na namna wanavyopata ushirikiano kutoka kwa serikali yao,wanafurahishwa na namna Elimu hasa...
  13. EINSTEIN112

    Azimia kwa kulipa kodi miaka 15 nyumbani kwa mkewe

    Ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, yamemkuta Mwanaume mmoja huko nchini Zambia amejikuta anapoteza fahamu baada ya kugundua kuwa mke wake ndiye mwenye nyumba aliyokuwa analipia kodi kwa miaka 15. Nyieee hahaha wanawake mnasiri kubwa daah,Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Martin...
  14. R

    Hatukatai kulipa Kodi na Tozo ila inauma sana pesa zetu kuliwa na Watu wachache. Serikali yetu muonee huruma Mama ntilie wa Itigi

    Habari wana JF , Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu . Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo ni katika kuhakikisha pesa za maendeleo zinapatikana. Haijaishia hapo imefanikiwa kupata mikopo...
  15. MSAGA SUMU

    Kumbukizi katika Picha: Hapa Mwigulu alitakiwa aanze kulipa kodi

    Hapa waziri wetu alikuwa katimiza umri sahihi wa kulipa kodi,yaani zaidi ya miaka 18.
  16. Kurunzi

    TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi. ===== DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
  17. mfuga kuku

    Naomba kujua elimu hii kuhusu kulipa kodi za TRA

    Habari za asbh Wana bodi wenzangu! Naomba nijulishwe kwa mwenye uzoefu juu ya Jambo hili. Nina miliki kasteshenari huku mikoani, Mwaka Jana wakati nakaanzusha nikalazimika kutafuta leseni ya biashara, huko nikalazimika lazima nianze kwanza TRA ili kupata Tax clearance, nikafanyiwa makadirio ya...
  18. songo mwene

    Maendeleo huletwa na wananchi wenyewe kwa kulipa kodi

    Maendeleo huletwa na wananchi wenyewe kwa kulipa kodi, ni jukumula Serikali kuhakikisha inatengeneza sera na namna bora ya kuhakikisha kila Mwananchi analipa kodi, Serikali ya awamu ya Sita iliona ni bora kuziingiza kodi kwenye miamala ya simu ili kila unapofanya muamala ikatwe kodi moja kwa...
  19. MchunguZI

    Spika na Bunge lake; ni maadili au hasira ya kutotaka kulipa kodi? Mwigulu aliyeshauri tuhamie Burundi je?

    Haingii akilini kwamba bunge linatumia muda mwingi kujadili sehemu ya kazi za mbunge. Eti Gwajima Mbunge, anajadiliwa kwa kuhoji maamuzi ya serikali Eti Silaa Mbunge, anajadiliwa kwa kusema anachohisi ni ukwepaji kodi kwa wabunge! Sasa kinachoendelea ni muendelezo wa kuhojiwa na kamati baada ya...
Back
Top Bottom