Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 15,606
- 10,002
Ndugu zangu wafanyabiashara mbalimbali wameipongeza Serikali Ya Rais Samia kwa kuwasaidia kufanya Biashara kwa Amani na utulivu kwa kuzingatia Sheria kanuni na Taratibu,wafanya Biashara wamefurahishwa na namna wanavyopata ushirikiano kutoka kwa serikali yao,wanafurahishwa na namna Elimu hasa Elimu ya mlipa Kodi inavyotolewa katika kuwaelimisha masuala mbalimbali ya Kikodi.
Sasa wafanya Biashara wanajisikia fahari kulipa Mapato kwa ajili ya ujenzi wa Taifa lao,hawana wasiwasi na yeyote maana wanatekeleza wajibu wao wa kulipa Kodi vyema,Sasa watu wengine pia Wana hamasika katika kufungua biashara mbalimbali,Hakuna vitisho Wala kutishiana,hakuna kukomolewa katika ukadiriaji wa mapato Wala kuviziana mabarabarani, ma ofisa wa TRA wanazungumza na wafanyabiashara kirafiki na kutoa Elimu bila shida,
Hakuna anayefunga Biashara kwa sababu ya kufirisiwa kwa uonezi au chuki binafsi au Hakuna anayebubujikwa machozi kwa sababu kafungiwa Biashara kiuonezi, wafanyabiashara wote Wana amani na Imani na Serikali ya Rais Samia,wote Wana muunga mkono na kuwa Tayari kulipa Mapato kwa hiyari ili fedha hizo zisaidie katika kuinua na kujenga miradi ya kimaendeleo.
Hakika Rais Samia Amewasha Taa ya furaha na matumaini ya kusonga mbele kibiashara kwa wafanyabiashara, Wana Imani kubwa Sana na serikali yao, wanaona na kufurahishwa na namna serikali yao ikikusanya Kodi kwa haki pasipo kuwaliza na kuwaumiza,kuwadidimiza na kuwafirisi
Sasa wafanyabiashara wameamua kumuunga mkono Rais Samia na serikali Yake,wanataka faida waipatayo irejee katika jamii yao kuleta maendeleo ya pamoja,wanataka kuona serikali yao inakusanya fedha za kutosha kwa ajili ya kuwahudumia watanzania,wanataka serikali yao ikusanye Kodi za kuboresha Miundombinu ya Barabara kila mahali ili wasafirishe bidhàa zao bila shida na kwa gharama nafuu,
Hongera Sana Rais wetu Jasiri,shupavu , imara,Hodari, madhubuti Na mzalendo wa kweli, Hakika Rais wetu Anastahili pongezi kwa namna alivyoshamirisha Biashara hapa nchini kwa kuweka mazingira mazuri na rafiki kwa wafanya Biashara, Rais Samia amepanda na kuamsha mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya wafanyabiashara katika kulipa Mapato kwa hiyari na kwa wakati pasipo kutumia nguvu na mabavu
Uongozi Ni hekima na busara,Rais Samia Ni Mwingi wa Hekima Na Busara katika kifua chake na ulimi wake.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627